Monday 29 June 2015

Re: [wanabidii] KUPIGWA NA KUDHALILISHWA KWA DR. KALOKOLA, CCM ILITOA TAMKO LOLOTE?

Siku zote tumekuwa tukiambiwa wapinzani ndo wenye vurugu lakini tukio hili limetuonyesha nini kilichopo ndani ya CCM na maana na madhumuni ya Green Guard

2015-06-27 7:55 GMT+03:00 'godfred mbanyi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

Binafsi nilikuwa sijaiona clip inayoonyesha jinsi Mtangaza nia ya kugombea urais kupitia CCM, Dr. Muzamil Musa Kalokola alivyopigwa na Green Guard huko Tanga! Nimeshitushwa baada ya kuiona jana kupitia youtube.
Nimejiuliza mengi kuhusu udhalilishwaji huu. Hivi kweli Green Guard wamefikia hatua ya kumpiga mgombea urais kupitia chama chao namna ile? Na kama wanafanya haya kwa viongozi wao wenyewe, itakuwaje kwa wapinzani? Haya ndiyo mafunzo na maelekezo wanayopewa?
Baadae nikajiuliza, hivi hawa waliompiga na kumdhalilisha Dr. Kalokola wamefikishwa mbeke ya sheria? Na je, CCM imechukua hatua ganu? It is a shame!

Sent from Yahoo Mail on Android

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment