Tuesday 30 June 2015

Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)

Ahaaaa ahaaaaaa.. vijana wenzangu mnasahau kuwa Mwembe wenye matunda ndio upurwao (Kupura ni kuchuma/kuponda/kuangua n.k).


Omary Iddy,DAGROFORESTRY RESEARCH TANZANIA FORESTY RESEARCH INSTITUTE(TAFORI)P.O BOX 1257,SHINYANGATANZANIA.Tel:+255 28 276 3249MOBILE:+255 713 728 672FAX:+255 28 276 2198EMAIL:eidomari@yahoo.com

--------------------------------------------
On Tue, 6/30/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, June 30, 2015, 2:57 AM

Hilder dada wee na wee nshakuona
hujui unachozungumza bse akways ur against lowasa'hv haaya
unyoyasema yako monduli tu sister....amazing words or a
serious long served researcher,mbn wasomi wetu mnashindwaga
kua analytical,wee,aaaggh napata shaka na watu hawa
Najibu kdg kdg...suala la mifugo sidhan kama ni ng'ombe toka
monduli ndo zikomihefu sister,wafugaji can come from
simanjro na tena simanjiro na kiteto ndo wanaopakna na hayao
maeneo ulotaja na si wamasai tu,ni wafugaji na sio suaka la
lowasa pekee hili na si mbaya watu kua na wafugaji kisarawe
au hata mbeya issue ni hii,arre those land properly planned
to allow all activities to be done,si dhambi hata kdg
mfugaji kuwepo kisarawe...nimefanya mradi pale kisarawe na
ngo yangu 2010 nikiwa na ufadhili wa action aid uk na
nikifanya vjj kumi na vie vya wafugaji tulifanya kule
gwata,nyani,marumbo etc.....lakin shida wanasiasa
wanaingilia technical matters na ndio maaana land planning
bado hazifanikiw
Shortly nisiingie ndani...ni hv lowasa si kweli kuna
asiloweza na amefanya mengi jimbon kwake usitake kuaminisha
wt kasoro chache ambazo zipo monduli kua ndio iwe weakness
ya kumfanya asiwe presida,hujui kua leo mikoa ya
shy,geita,wana mai ya victoria na huyu mwanaume ndo kapigana
na wamisri,huju kabisa wee,staki sina muda wa kuandika
meengi wee mchukie lakini usitushawishimkwa hoja dhaifu
kumchukuia lowasa,hata kama kweli utagombea ubunge unatakiwa
ujipange kweli hoja zako ziwe realistic maana naona
unaokoteza hazina mashiko ,unapotaka kumshushia mtu basi
mpime kwa haki,look at membe,jauar,wasira,sumaye et al
halafu sema hawa wamefanya vyem a but lowasa hajfanya kitu
na uje na option or your choice,acheni kulalamikaaaa bila
kuja na suluhu,argue kisome sio'kitoto

Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

>Ngulupa,
>Sema linakuudhi wewe and the likes. Mimi hainiudhi kwa
sababu nisingependa kuona fisadi mwingine ndani ya Ikulu. I
am speaking for myself lakini nitafarijika kuona kuna
Watanzania wengine wenye msimamo huu.
>em
>
>Sent from my iPhone
>
>> On Jun 29, 2015, at 2:52 PM, "'ngupula' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>>
>> Kama kuna jambo linaudhi watu kwa kiasi kikubwa ni
hili la kumpinga Lowassa kila kukicha....hivi hao wengine
hawahaidi? Mbona Lowassa tu? Inawezekana hili ndio jiwe
wanalolikataa waashi? ....swali langu bado ni
lilelile....kumbukeni, mnapompinga Lowassa mtupe na jibu
nani anafaa na kwa lipi?........kwa kuwa ni kwel wananchi
wanampenda, nashauri tu ni vema kuwa makini na huyu
jamaa.....  bila kumungunya maneno...nasema Tanzania
watu wanaoweza kuisadia ni Lowassa na Mwigulu
tu   hawa ndio wenye muarobaini wa shida za
watz......hawa hawaamin katika misaada ni ni watenda kazi
hodari........na mtu akitaka kuzungumzia Richmond asisahau
kuwa...ipo escrow na mwenyewe wanamjua...
>>
>> 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>>
>>> Lowasa akatatue tatizo la maji kwa mwaka mmoja
au muda mfupi ambapo mifugo ya kutoka kwao na Mwanza imejaa
kwa mamilioni au maelfu hadi Milima ya Uluguru kwenye vyanzo
vya maji? Kilombelo kwenye Ramsa Site kwa malaki, wetlands
zinazopeleka pia maji Rufiji-kwisha; Ruaha imezagaa baada ya
kuondolewa Ihefu Ruvuma, Tunduru, Rukwa, Kisarawe, Rufiji,
Morogoro vijijini wanakoma kwa bakora sio wilaya Kilosa tu.
Angemudu kusaidia jimboni kwake ufugaji na kilimo endelevu
lakini hajafanya hivyo; kusaidia wananchi wake wawe na muono
wa mbali wa mifugo katika kukuza kipato na kulinda mazingira
na kuboresha ng'ombe na mbuzi wa kienyeji kwa value added
products za kuingiza kipato. kuhamahama, kulimbikiza
mifugo  sio tija. Kisha, uharibifu wa mazingira
ufwanyao na wananchi wennyewe ndio wa kuhangaika nao ili
maji yapatikane. Kuacha tabia ya kuharibu na kuvamia vyanzo
vya maji, uchafuzi wa mazingira ndio akazanie ili baada ya
miaka kadhaa matokeo ya maji mengi (sio muda
>>> mfupi tu) yaonekane kutokana na re-charge ktk
mazingira. Ikiwa sisi watanzania hatutobadilika kiakili na
kimatendo-tusitegemee kubadili maendeleo yakue ghafla.
Tunatiana umasikini na kujifanya masikini wenyewe.
>>>
>>> Cha kujiuliza-huko Monduli kuna land
degradation, utata wa maji wananchi kuchota barabarani mvua
ikinyesha maji huwa machafu, kuchangia maji na mifugo
-amefanya nini miaka yote hiyo? Anaweza kuonyesha miradi ipi
akigharimia yy binafsi au kutafuta donors kwa proposals zake
na kushirikiza watumishi ugani? Kuna boreholes za toka
ukoloni kwenye maeneo yaliyokuwa estate farms. Ni hivi basi
wagombea wengine ambao walikuwa wabunge na mawaziri pia
waulizwe walichokifanya miaka yote iliyopita.i Unaweza ukawa
waziri lakini utendaji unategemea walio chini yako lakini
mbunge upo jimboni. Jee kijiji chako pale ulipo wananchi
wako wanatofauti gani na hao wa vijiji vingine vya mbali?
Hapo ulipo-nyumba bora, choo bora, shule bora na ufaulu
mzuri maji safi yapo na huduma ya mifugo na ufugaji na
kilimo cha kisasa na endelevu. Huenda hivi vichache havipo
hata kata na kijiji cha mbunge! Leo unadai taifa zima
utabadili kwa sekunde? Jee, wabunge hufanyiwa evaluation ya
>>> majukumu yao na kila mmoja kila baada ya miaka
5 kutoa taarifa ya utekelezaji ya mipango binafsi na ile
ambayo anashiriki kupitisha ktk Halmashauri ya Wilaya chini
ya O&OD na ile inayopita bungeni ya national vertical
programs?  Bila ya kutathiminiwa-kunawekwa uwazi wa
kutumia hela, kuruhusu rushwa itumike kupitisha wagombea
vilaza. Daima maendeleo yapo duni wakati kuna kila aina ya
resources vijijini, wataalamu wa serikali, vituo vya mifugo
na vya kilimo, uvuvi na VETA juu na bajeti
inawekwa.Tubadilike ili tusonge mbele viongozi na wananchi
mijini na vijijini tuwe na muono chanya wa mbali.
>>>
>>> Ona malalamiko ya bandari huko Zinga-Mlingotini
yanayoonyeshwa ktk TV. Inasikitisha na ilinisikitisha
binafsi kuona jinsi wavuvi walivyojijengea nyumba nzuri sana
kwa juhudi za karne; miembe na minazi inayowapa chakula na
fedha. Iliwezekana kabisa kukwemba nyumba za wanavijiji,
kuchukua eneo ambalo ni arable land ya kilimo pia kuweka
bandari ambapo yapo maeneo mengine yasiyo makazi kama hayo.
Ila hapo -inaonekana-lililengwa pia shamba kubwa la
mheshimiwa mmoja liondoke ambalo ni maelfu ya ekari amepanda
pamoja na maembe dwarf burunge ya kisasa ambaye ana kesi
moja ambayoimeleta utata. Shamba hilo litakuwa bandari kavu.
Inatokea sasa kukomoa wananchi. Ni muda mrefu hawakutakiwi
kuendelezwa maeneo yao lakini hawajalipwa. fikiria historia
ya eneo kutoka utumwa, fikiria ya kuwa population kubwa ya
huko ni ya wazee ambao wanategemea nazi, embe, mihogo wauze
wale. Miembe inaumri wa zaidi ya miaka 60+ licha ya hiyo
mipya. Leo kibibi/kibabu kianze moja atafute
>>> pa kuhamia, alime, apande na climate chage hii,
nguvu za kilimo zimekwisha, utata upo ktk jamii zetu wa
kuamini hata vijukuu vibaka kuvipa hela za mafao au za
valuation na compensation watekeleze ujenzi-vinasepa navyo.
>>>
>>> Ofisi ya kijiji cha Mlingotini (Mgotini)
inaishinda hata ofisi ya RC au DC. Niliipiga picha mwenyewe
wakati wa utafiti usiohusu uhamishaji mwingine kabisa mwaak
2010 nililikuta zahama hilo la kihamo hadi leo hawajalipwa
na hawaendelezi makazi au mashamba! Hiyo ofisi imejengwa na
mwekezaji kama mafao yao na ipo katika kubomolewa. Sijui
huyo mwekezaji kama atapona. Nimeiambatisha ofisi ya kijiji
hicho uone.Majumba ya tofari za simenti waliyojenga wavuvi
yanaumiza sana kuona yatabomolewa. Mungu atusaidie.
>>>
>>>
>>> --------------------------------------------
>>> On Sun, 28/6/15, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
>>>
>>> Subject: Re: [wanabidii] (Lowasa maji
yamekushinda utaweza foleni au porojo za kisiasa?)
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
>>> Date: Sunday, 28 June, 2015, 20:16
>>>
>>> Ni mwizi tu na
>>> mwongo!em
>>> 2015-06-28 12:35
>>> GMT-04:00 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>:
>>>
>>>
>>> Wakati
>>> Lowasa akitangaza nia katika uwanja wa sheikh
Amri Abeid
>>> Arusha,  a
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are
subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment