Mh. Mollel,
Asikudanganye mtu kuwa ataweza kuondoa au kupunguza foleni Dar au utata wa Maji Dar au miji mingine kutokana na utata uliopo. Tumishindwa kuleta mabadiliko katika masuala madogo yanayoonekana mfano kuziba barabara na maeneo wazi ambapo huweka hasara kubwa moto unapotokea kuunguza mali za watu. Kuzuia watu kuto kutoka na magari mengi nyumbani ni shughuli pevu na kuzuia wasipaki magari barabarani ambayo pia huzuia mapito ya magari.Aangalia mwenge wauzako mbao na biashara za ujenzi na mnazi mmoja maghorofani wanakouza biashara mbali mbali za jumla za kujaza ktk malori mpaka ya kutoka nchi jirani jinsi yanavyoziba njia au barabara. Magjhorofa ya Msajiri wa Majumba Dar Upanda-Muhimbili, Mnazi mmoja walivyokuwa na feeder roads na maeneo wazi-wameziba kujenga kuta, kufunga gates na kupaki magari na kufanya watu wategemee main roads na kukuza msongamano. Kiongozi ajae awe dictator wa hali ya juu-bomoabomoa mijini, kando ya mito na bahari ni kipaumbele; ondoa
kilimo milimani vyanzo vya maji na kando ya mito; ondoa mifugo wetlands areas, mitoni na milimani ni masuala ya kwanza ya maamuzi magumu; punguza milimbikizo ya mifugo na makorokoro ya nyumba bila mpangilio na kuzingatia urasimishaji makazi uliofanywa sio kuuza kiwanja kikisha rasimishwa unavamia kwingine ije. Kugharimia Land Use Planning and Certification na hati miliki ipigwe muhuri-Hakuna kuuza bila kibali cha serikali-ije haraka. Kwani, wananchi huuza ardhi hovyo, kukaribisha wageni kisha kuhamia mahala pasipo ruhusiwa au kuvamia hifadhi au kutaka zipunguzwe licha ya umuhimu wake kitaifa. Uza, haribu kwako kisha ulaumu serikali; toka na magari kibao uweke msongamano na panga biashara uzibe barabara kisha ulaumu msongamano?! bado ninachangia kama kawa na zawadi ya picha kama kiambata:
(i) Kupunguza foleni TZ katika miji kwanza muhusika anatakiwa ahamasishe na kuelimisha akili zetu finyu kuziwezesha zione umuhimu wa kubadilika na zibadilike. Si rahisi kuzibadili na kubadili mitazamo isiyo chanya ya sisi wabongo!! Tuna matatizo sijui kwa nini.
Ninasema finyu kutokana na uhalisia uliopo (chunguza majirani zako) kuwa familia moja-baba, mama, watoto wanaelekea njia moja mfano ya posta-mama na gari yake, baba yake na dreva wa familia anapeleka watoto private school ya st Hildegarda huko posta na awafuate baadae. Njia moja, kaya ni hiyo-magari matatu. sababu-waonekano kuwa wanayo!! Akirudi dreva-atampeleka housegirl sokoni. Naye atafanya trip zake za michepuko kabla ya bosi kurudi! Kama umesoma Ulaya (UK, Germany etc) utaona professor wako anakuja shule kwa baiskeli. Anaendesha gari mara chache zana iwapo kuna manunuzi au akitoka hapo atakwenda safari. Gari ya kuingia London Gower Stree au Oxford Street ataipaki eneo kama Morogoro kutoka umbali wa nyumbani kwake ambako ni Kidodi-kuelekea Kilombero. Huko parking lot analipa ada kwa kila miezi 3 au 6 au kwa mwaka. Hapo anaondoka na baiskeli yake katika bag aliyoiweka juu au nyuma ya gari yake ndogo-anapanda train-Rapid au ile ya kawaida au atapanda
Rapid Bus Transport au Lile la kawaida inategemea na vipindi na haraka yake. Siku hizi kuna baiskeli unakunja kama ukunyavyo miwani na kuiweka ktk kibweta chake.
Hakuna parking ya hovyo kwa wenzetu amasivyo utaacha kukomboa gari kwa gharama utakazolipa. Hapa kwetu bongo unapaki popote pale na viti vya bar mpaka barabarani na magari ya wanunua vitu sokoni na barabarani na bodaboda, bajaji, taxi zipo mpaka barabarani. Hakuna utii wa sheria. Wenzeytu utaweka gari na risiti yake ya malipo ya mwezi yanaonekana ndani ya kioo. Unauza mchicha ktk eneo maalum kwa misingi ya afya na muuza mchicha anatoa risiti pale ktk meza yake alipo barabarani sehemu maalum au ktk vegetable Van ya mauzo. Huwezi kupunguza foleni ya magari kama hata wasomi na wenye mihela wanapark hovyo na wanatoka na magari mengi nyumba moja. Waelimishe wabadilike, wajipunguzie gharama na kuona kuwa wingi wa magari kutoka nyumbani kwao yanaongeza msongamano-wakubali kubadilika. Kama hawataki-Hakikisha unapanua parking kule kwa usalama barabarani na kuongeza mawinchi ya kuweza kuyazoa yote yale yanayopaki hovyo na kuzima mapito. Maeneo ya uhindini kwenye
biashara malori kutoka nchi jirani yanapakia vitu yapo barabarani, daladala etc-moshi wa magari unadhuru watoto; wanakosa usalama na maeneo ya kucheza. Maeneo yaliyopimwa-bar kila kona na gari barabarani-ZOA aje kukomboa upate pesa za maendeleo ya nchi (Ninaomba kutangaza nia!!).
(ii) Fika mawizarani na taasisi za umma (wacha binafsi) Kuna magari ya mamilioni yamejazana ambapo kila mkuu wa Idara ana lake kubwa linamrudhisha home na kumpeleka kazi pekee hata kama huko aishiko kuna wakuu wengine 3 kila mtu ana lake. Kodi ya waannchi hii. Ataonekanaje kama ni kiongozi? Ni hivyo safari ya bunge Dodoma-magari ya mabilioni 200 yanaelekea huko. Mbona viongozi waliuziwa magari ya serikali ili kupunguza gharama kwa serikali? hawayatumii tena ila anatumia mama kwenda saluni au sokoni. Yeye imenunuliwa mpya. foleni kama kawa na gharama kitaasisi juu mafuta, matengenezo. Lakini tupo ktk nchi masikini ya kipato cha chini-President Putin au Obama anajogi na kwenda kazini sisi sekretari wa mkurugenzi anafuatwa na mgari wa milioni 300-kisha ndio anafuatwa mkurugenzi-foleni!!
(iii) Ukijenga jumba la biashara ulaya au ofisi unatakiwa uwe na eneo la wateja wako au wafanyakazi wako kuweka magari. Kama ni mijengo ya 1600 na vibarabara vyembamba kama vya TZ-posta DSM ambapo huwezi kuwa na eneo-jengo linalozeeka kufika umri linapobomolewa linapotakiwa lijengwe upya- unatakiwa ujenge na parking ya ndani ya jengo chini au juu. Kwa sasa TZ inazingatia hili na majengo mapya hasa ya investors yanaparking ndani ya mghorofa. Na hapo Mlimani City mjengoni unaona parking inavyofanyika. Soko la kariakoo lilitakiwa liwe na parking ndani ila fire extinguishers lazima ziwepo na zile automatic maana baadhi ya magari yetu yanaweza kuleta zari la moto. lakini ufikika masoko yetu hata yale mapya-wasomi waliochora mchoro na kusimamia kampuni za ujenzi-vipofu hata kama walisomea ulaya, waliona inavyotakiwa na ethics za kazi yao walisomea bado! Watoao vibari vya Bar, karakana na biashara-hata kama wanakagua eneo na ramani-hawajali hayo ila tumboni
street tu.
(iv) Kipaumbele hafifu. Mwanafunzi anapewa mkopo wa masomo cha kwanza anatafuta gari ya kuonekana anamalizia huko hela. Anatoka bwenini mabibo anakwenda darasani udsm kwa gari. Angepandapanda bus la wanafunzi angepunguza msongamano na hela za gari angetumia kuboresha nyumba ya udongo na nyasi ya wazazi. Likizo haendi nyumbani amepanga chumba bwenini. Gari ndio tija, kuboresha maisha kutumia mkopo kwa kujinyima ukainua na kwenu-nil. Foleni na msongamano magari vyuoni na barabarani.
(v) Malori yenye makontena, ya migo kuwa njia moja na bus na gari za abiria. Kwanza ajali hazitokwisha, pili-msongamano kuongezeka; tatu-indoor air quality kuongezeka kuwa mbaya kwa malori hayo yafukayo moshi kupita maeneo ya raia. Bado hizo chips na mikaango mingine nje ya kila nyumba mpaka city center ni baba/mama ntilie tu. Sina hela tu lakini ningekuwanazo-ningegombea Urais na mmgeipata!! Kwa nini kusiwe na barabara tofauti ya lori hizo badara ya kuingia mjini-weka maduka ya biashara za jumla na godown zao nje ya miji lori zisiingie kati ya miji. Zinazokwenda mfano Wazo, bandarini-zisiingie ndani ya miji/mji. Ikitoka Morogoro au Chalinze ikifika Mlonganzia au Kibaha-ipite huko itokezee Pungu au Gongolamboto, Kiwalani hadi bandarini. Barabara moja ya kwenda na mbali parallel haikutani na ya kurudi kama ilivyo kwa wenzetu. Hizo za malori tu hakuna gari ya abiria kupita kwenda au kurudi. Mbona wenzetu wameweza na tunaona kuwa barabaar ya Bus za abiria
hakupitui malori na njia hata kama mwelekeo mmoja hazikutani ili mwendeshaji aingie huku au kule. Njia ya miguu hakupangwi biashara au kuwekwa taxi au bajaji au kuwa parking ya magari. tatizo ni vichwa vyetu na bongo zetu kukataa kubadilika na kutii sheria; waliosoma na kwenda tour ulaya wakirudi kuendekeza na kutetea UKALE. Kujali tumboni street kuliko ETHICS za kazi na AFYA kwa UMMA na usafi wa mazingira, usalama. weka barabara ya lori itoke Mbezi Makabe iende Wazo moja ya malori na nyingine ya magari ya kawaida zisikutane. Weka ya lori pekee Wazo-Bunju-Makurunge-Lugoba-Segera upunguzo msongamani Ubungo-Kibaha. ukimkabata mtu wa gari ndogo na bango linasema ni njia ya lori tu faini yake iwe kuuza gari hiyo alipie matengenezo ya barabara-hapo watakoma!! hivi hivi-mmbongo humuwezi bila ya udikteta amevaa culture ya Uswahili wa kuvunja sheria kisha kulalamika kuwa anaonewa.
(vi) Ombi-Bomoa nyumba zote, viwanda, mijengo, frame zilizojengwa kuziba feeder roads za miji. Kataza biashara katika Right of Way (ROW) ya barabara, mabomba ya maji na mafuta yaliyo chini ya ardhi kuepuka hatari. Zoa zoa biashara zote zilizopangwa kwenye njia za wapita kwa miguu ili uweke nidhamu kwetu sisi vichwa hewa. Kuweka biashara pa kupita au kusimama daladala unafanya daladala zisimame barabarani na kuzuia mapito kwa kwengine. Mtu anapanga biashara ktk seat ya bus stop kwa abiria kukaa na maafisa wa kodi au mtaa wanakusanya kodi-ni kuhalalisha waondoe. Amepanga samaki wabichi mapito ya mguu au ya baiskeli na ana meza kubwa hapo za samaki wabichi ambao wanaingia moshi wa magari na vumbi-kodi inakusanywa chini ya mazingira machafu. Wasomi wa Afya kusimama kununua samaki-kapunguza mwendo wa kwenda mbali kuwafuata lakini sheria imekiukwa na afya ya chakula haizingatiwi!! Ninakerwa na mengi ila kugombea lazima uwe-milionea au ulipiwe na milionea ili
ujitangaze. Huo msongamano wa magari ya wanunua samaki, maboga, viazi na vyakula vinginevyo unazuia magari kupita. hayo maduka ya mbao wamepanga mbao mpaka barabarani na utakuta lori kubwa na ndogo za kubeba bidhaa zimezuia barabara. wao wapo hapo kutwa kusubiri wateja wanunuao mbao wawabebee lakini wamezuia njia/barabara na kusababisha msongamano. Viongozi wa mtaa wapo na watumishi ugani wa idara husika za biashara. Huoni mbao hizi barabarani na magari nchi jirani (Kenya). Unatakiwa uwe mbali na uzungushe wigo mbao, tofari etc zisionekane wazi). Khini ya Wizara ya Ardhi mtazipata,kuacha Raia wameziba feeder roads, wamejenga maeneo wazi ya umma, kuweka biashara popote barabarani na kusababisha msongamano-ni dalili wazi ya RUSHWA kwa wahusika. Mbona aerial na physical photos za maeneo yaliyopimwa Dar zipo? Kama mmepoteza-nenda Worl Bank washington waliohisani upimaji chini ya Sites and Services Program chini ya Wizara ya Ardhi mtazipata, upimaji na
Ramani TZ, UCLAS centre for housing stuidies zipo. Kigugumizi kipo wapi? BOMOA. chukua Jeshi-bomoa kwani wao watakuja na majambia kuua wabomoaji na viongozi watataka kulina KURA-kubali kuikosa ila kujenga ustaarabu nchini tupo kichwa cha mwendawazimu hadi sectoral programs hazitekelezeki. Ninaomba KURA.
(vii) Mipango ya privatization haitofanikiwa na haikufanikiwa TZ kutokana na na akili zetu finyu, ubinafsi na uswahili. World Bank na wahisani wengine walikuwa na nia nzuri ya kupunguzia mzigo serikali. Private sector ndio ibebe uchumi tujikwamue. Lakini hawakujua kuwa Africa na waafrica au wazawa wake ni tofauti na wazungu. Ukimpa nafasi nzuri hangalii umma bali tumbo lake, kabila na ndugu zake. Akipata madaraka akiondoka anaachia mtu wake au anagoma kuondoka. akiwa fisadi analindwa na rafiki zake hatofungwa. Mbakaji anaweka wakini pamoja na vidhibiti atashinda kesi au kesi itakaa miaka zaidi ya mitano mpaka aliyebakwa hataki kuhusika nayo kapata mchumba itamuathiri. Wakini nae anasali sana kanisani/msikitini lakini anamtetea mkosaji kwa akili timamu na mkosaji anashinda kesi anapata mgao wake. Ndivyo ilivyo-private sector imepewa viwanda na mikopo-wamejaza mitumba bila ya shaka maana havizalishi mali. Waliouziwa nyumba za GVT ili kupunguza gharama za
matengenezo feki-wamejenga ghorofa nyingine ktk plot hizo wanapangisha kwa $ na wameongeza ukuta upo barabarani ktk ROW. huko nyumba GVT houses hizo oysterbay, Msasani, Magomeni tc zilikuwa mbali sana na barabara na ziliacha uwazi wa huduma na kujengwa 60%. sasa ni 100% kuongeza mzigo wa maji, takamaji, kinyesi na umeme. Maafisa ardhi wapo, wanaona na walijenga hivyo ni pamoja na hao pia. Kisha -maji na umeme changamoto!? hao hawatoi kodi na wanapangisha mpaka wageni kwa $, shule za kisasa mjengoni-Hatuoni? bado hiyo mifugo ya wafugaji ambayo ipo imechakaza mito yote nchini na tunaihachia ipande milimani kwenye vyanzo vya maji (Mgeta, Ruaha etc)-waache wapiga KURA wetu. Kisha kulalama kuhusu maji. Kwa nini Mifugo na Kilimo isilazimishe matumizi ya centre za mifugoambazo zipo nchni katika kubadili ufugaji wa kuhamahama ambao unabadili mazingira na vyanzo vya maji. Kulazimisha mkulima na mfugaji walime, kufuga sustainabli kama sheria? ukihamahama-kamatwa
na utalipa gharama zote. Kaa kwako, lima na fuga sustainably. Boresha extension services. hii itaondoa uvamizi wa misitu hifadhi, mbuga za wanyama pori kwa kuruhusu watu kufanya watakavyo bila kuzingatia uendelevu wa shughuli zao. Itapunguza mapigano na mauaji, vilema na shutuma mbali mbali. Aliyepewa kiwanda, mashamba awe mwekezaji na hafanyi hivyo-weka ndani na alipe gharama. Aliyejenga Hall za sherehe eneo la viwanda (mfano Africana) na hapo kaweka bar watu wanalewa badala ya kiwanda cha kuzalisha-bomoa. Badala ya Tanganyika packers kuzalisha beef huko Kawe (cow-way) na kupangisha makanisa-mpe mchina azalishe beef kwa kununua vyama za wafugaji, anzisha slaughter houses na cold storage facilities kwa nyama zifike hapo badala ya mifugo ambapo inaleta vita ikipitishwa iende Kawe na Lugalo hakuna njia ya mifugo tena.
Mishahara ya private sector ni midogo kuliko ya GVT sector. Pia, hawatoi ajira ipasavyo kwa kuzalisha mali bali kununua kutoka China, Indonesia na kuuza vitu. Lazimisha kila kiwanda cha namna fulani awe na wazalishaji zao hilo nchini na extension services ili watoe ajira. Sio kununua rahisi nje ya nchi na kuuza ghali nchini na pia kupitisha magendo bandari bubu kisha kulalama kuwa serikali inaruhusu bidhaa za nje ziingie. hata sukari-bandari bubu wakati private sector huko kilombero hailipi wakulima ipasavyo, kuvuna miwa kampuni private uipe hongo kwanza ndio ivune na kupeleka miwa yako kiwandani. Tunatesana wenyewe kwa wenyewe Samaki mkubwa kumla Mdogo. Wenye kununa miwa ni kampuni binafsi local, investor kampuni ya nje-foreign. Hata ajira za wafagiaji barabara na wazoaji taka barabarani utata mtupu; hawana protective gear, kulipwa mishahara utata na wamiliki ni wabongo. Turudi tena City Council na Municipalities kuzoa taka kwa kodi ya kutoka nje? kwa
msaada wa UK na malori yake makubwa ya gharama kubwa? hapa unazolea KIA au landrover kisha hiyo hiyo unabebea nyama??!! Mategemeo ya privatization, liberalization of the economy na PPP wakati wa Mh Mkapa-yametokea sivyo kama IMF na World Bank walivyotegemea kutokana na wao kutokujia mantiki za Uafrika wetu na bongo zetu na tabia/mienendo yetu ilivyo katika kujituma na kujitegemea. Sisi ni TATA wa siasa za bendera kufiatia upepo wa Team gani/ipi itakupa posho na kazi hata kama huna viwango. Ndio sasa tupo katika team za kisiasa aingie Rais hata kama ni fisadi na huyo asipopita-Nchi haitakalika!! Wizara ya Maendeleo Jinsia na Watoto inakazi kubwa kufanya extension services kuelimisha na kubadili mitazamo ya watu katika maendeleo yao. Vyama vya siasa-vinapotosha dhana hii kutokana na mikingamo yao. Bora Wizara hii ipewe kipaumbele na mihela mingi sasa na iwe na watumishi ugani katika kata ambao wana Masters degree in Community Development wakiwa na uzoefu
kazini pia. Ama sivyo-atutofika mbali.
Tusipokubali kubadilika sasa-tutapigana vita kama ya Syria isiyoisha na hatuna pa kukimbilia labda Msumbiji.Kama kawaida see zawadi attached.
--------------------------------------------
On Sun, 28/6/15, 'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, 28 June, 2015, 2:47
Mkuu niaje
Lesian
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:
He is a thief,
therefore a liar too.em
Sent from my iPhone
On Jun 27, 2015, at 3:25 PM, fadhil fadhil
<fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Lowasa leo kanichekesha sana wakati
akizindua utangazaji nia arusha alisema ataondoa foleni dar
kwa mwaka mmoja leo anasema ataondia foleni kwa miezi 6.
Alishawahi kutoa ahadi kwa wana dsm kuondia kero ya maji
wakati akiwa waziri wa maji kwa mwaka mmoja akashindwa.
On Jun 27, 2015 4:05 PM,
"'Lesian Mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ngupula
Wewe si
umetangaza nia mkuu,unataka jimbo la mafinga am telling u
this,ili uweze kua vzr ikiwa utashinda only lowasa can help
u when is a president wengine ni mbwembwe tu kina mwandosya
wamechoooka na hakuna hata anachoweza tembea kifua mbele kua
ameweza kulisimamia while in gvt......nikiambiwa nimpe nani
kura bila kuficha ntasema mpeni lowas naamini ktk kipindi
cha 5 years watu watakua wanakimbia mchaka mchaka hakuna
delayment,bereuocratic way od doing things,doing as
usual,yaani ni kimbiza na kuvhuja makap haya yanayotuletea
tabu, ona leo shilingi inavyotumbukia shimoni, alfu kumi
imekua kama buku tu ssa hv halafu mtuwekee mtu kwa will yenu
eti cc,who is cc , does it not listen to peoples wills
Guys,hapa si ushabiki pamoja na matope ya
kijiinga mnaelazimisha kumpaka lowasa watanzania wanamtaka
hivyo alivyo kwa kua wanakumbuka mazuri meengi alioyafanya
kipindi akiwa waziri na hadi akawa waziri mkuu,walishampima
zamani sana na hwana shaka nae na nasema anaweza na
naahakikishia nyie kina reuben et al hakuna haa mtu mmoja
kati yenu anaeweza kusimama mbele za watanzania sasa na
kusema hafai kwa kua atanzania wa leo si wa jana
Binafsi sijaanza leo kuongelea suala la lowasa
nadhani mnakumbu kumbu nzr, namjua vzr huyu mh na
nilishafanya kaz nao wkt huo nikiwa naandika habar na wote
hawa nasema nawafaham vzr na simshabikii kwa kua ni mmasai
mwenzangu ni kwa sababu ya vision alizonazo na utendaji wake
usiopingika na namna anavyofanya maamuzi bila kupepesaga
macho........
Leo yupo dar bahat mbaya sipo
dar niko bagamoyo kikazi lakini naamini atavunja rekodi
iliowahi kuwekwa na nyerere
Stay blessed
Lesian
'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ngupula,
Suala la uongozi wa nchi halihitaji ushabiki ni
jambo zito. Tunapofanya mzaha tutajuta kwa miaka mitano kitu
ambacho ni kibaya kwa mustakabali future ya watoto wetu.
Msimamo wangu ni juu ya Warioba ambaye hata
wewe unajua alivyo makini.
Kuhusu nani
anabebwa na ikulu au wafanyabiashara hilo ni matokeo ya
chama kukosa mwelekeo. Kila mmoja anajiona anafaa kuwa rais
wa nchi, haya matusi kwa taifa.
Hadi leo
sijaona ninayeweza kumpa kura yangu kati ya hawa kama
umemuona mmoja nionyeshe sifa zake labda nitashawishiwa
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET
'ngupula' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Fred, wala hata mi
sisemi lowassa anafaa au hafai...lkn ambacho huwa nasema ni
ikulu inatamuta mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi...vituhuma
visivyo na kichwa wala miguu havitatupeleka
kokote...nikimkataa membe huwa na hoja....hajui kupambana na
lolote na changamoto za sasa...membe hawezi kuleta uchumi wa
viwanda tz...tukisema ni ndugu na kikwete bas coz ya kuona
debe linapopigwa na ikulu kutupelekea mtu ambaye tunajua
hafai...
'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ngupula,
Mimi sishabikii mtu kwa vile amechukua fomu.
Imani yangu ni thabiti kwa Warioba na haibadiliki.
Nimepingana na wewe siku zote kwa tuhuma zisizo na msingi
kwamba Membe ni mdogo wa Kikwete, kwa hili sipepesi macho
mnafanya uhuni.
Kwa taarifa yako kati
waliochukua fomu yumo kakaangu lakini anajua kuwa msimamo
wangu ni juu ya Warioba. Tunatafuta kiongozi wa nchi siyo
kiongozi wa klabu ya pombe, ushabiki utaipeleka nchi pabaya.
Tafuteni tuhuma za mgombea zilizo za kweli mtuonyeshe ili
tumpime siyo kupakaza. Kama Membe hafai semeni hafai kwa
kuonyesha udhaifu wake siyo kumtukana. Na kama mgombea wako
anafaa onyesha kufaa kwake. Mashaka yangu hayajaisha
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET
'Lesian Mollel' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ruben
Nakuambia hv nampenda edo kwa kua ni kiongozi
bora mzeee,hakuna atakaemfikia edo
Lesian
'ngupula' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Fred, mtu akisema
wewe ni mtu wa Membe kwa kuwa anajua hivyo bas tayari una
wasiwasi na reasoning yake?Ukisema wewe ni mtu wa warioba
wakati warioba mwenyewe hata form hajachukua...basi wewe nu
mleta vurugu tu, huchangii chochote kwa mustakhabali wa
taifa hili labda ungesema wewe ni chadema....Ngupula.
'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ngupula unataka
nikuambie mara ngapi kuwa mimi ni mtu wa warioba? Nilikuwa
naheshimu mawazo yako lakini naanza kuwa na mashaka na wewe.
Hebu nitajie unayemuona anafaa au unafuata
nyuki ule asali
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH
TABLET
'ngupula'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Fred, tatizo kuu ni
huyo mgombea wako....ni wa kawaida sana...Membe ni mtu wa
kawaida sanaa...hata reasoning yake ni quite normal......CCM
ikimsimamisha huyu...ijiandae tu kuiba kura...
'Fred Hans Kipamila'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mbona mnatoka povu mdomoni,
tatizo nini safari inakuwa ngumu?
From:
'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, June
25, 2015 10:48 AM
Subject: Re:
[wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi
nitakuambia wewe ni nani?
Makala yana walakini. Kichwa cha
habari hakiendani na maelezo ya ndani. Halikadhalika
kilichomo ndani tumekisikia dahari na dahari. Hakuna jipya
hapa. Leteni mambo mapya. Tuthibitishieni hao marafiki wake
wabaya ni kina nani na ufisadi upi ama amefisidi nini.
On Thursday, June
25, 2015 7:58 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment