Saturday, 27 June 2015

Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?

Mkuu niaje
Lesian

Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

He is a thief, therefore a liar too.
em

Sent from my iPhone

On Jun 27, 2015, at 3:25 PM, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Lowasa leo kanichekesha sana wakati akizindua utangazaji nia arusha alisema ataondoa foleni dar kwa mwaka mmoja leo anasema ataondia foleni kwa miezi 6.

Alishawahi kutoa ahadi kwa wana dsm kuondia kero ya maji wakati akiwa waziri wa maji kwa mwaka mmoja akashindwa.

On Jun 27, 2015 4:05 PM, "'Lesian Mollel' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ngupula
Wewe si umetangaza nia mkuu,unataka jimbo la mafinga am telling u this,ili uweze kua vzr ikiwa utashinda only lowasa can help u when is a president wengine ni mbwembwe tu kina mwandosya wamechoooka na hakuna hata anachoweza tembea kifua mbele kua ameweza kulisimamia while in gvt......nikiambiwa nimpe nani kura bila kuficha ntasema mpeni lowas naamini ktk kipindi cha 5 years watu watakua wanakimbia mchaka mchaka hakuna delayment,bereuocratic way od doing things,doing as usual,yaani ni kimbiza na kuvhuja makap haya yanayotuletea tabu, ona leo shilingi inavyotumbukia shimoni, alfu kumi imekua kama buku tu ssa hv halafu mtuwekee mtu kwa will yenu eti cc,who is cc , does it not listen to peoples wills
Guys,hapa si ushabiki pamoja na matope ya kijiinga mnaelazimisha kumpaka lowasa watanzania wanamtaka hivyo alivyo kwa kua wanakumbuka mazuri meengi alioyafanya kipindi akiwa waziri na hadi akawa waziri mkuu,walishampima zamani sana na hwana shaka nae na nasema anaweza na naahakikishia nyie kina reuben et al hakuna haa mtu mmoja kati yenu anaeweza kusimama mbele za watanzania sasa na kusema hafai kwa kua atanzania wa leo si wa jana
Binafsi sijaanza leo kuongelea suala la lowasa nadhani mnakumbu kumbu nzr, namjua vzr huyu mh na nilishafanya kaz nao wkt huo nikiwa naandika habar na wote hawa nasema nawafaham vzr na simshabikii kwa kua ni mmasai mwenzangu ni kwa sababu ya vision alizonazo na utendaji wake usiopingika na namna anavyofanya maamuzi bila kupepesaga macho........
Leo yupo dar bahat mbaya sipo dar niko bagamoyo kikazi lakini naamini atavunja rekodi iliowahi kuwekwa na nyerere
Stay blessed
Lesian

'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
Suala la uongozi wa nchi halihitaji ushabiki ni jambo zito. Tunapofanya mzaha tutajuta kwa miaka mitano kitu ambacho ni kibaya kwa mustakabali future ya watoto wetu.
Msimamo wangu ni juu ya Warioba ambaye hata wewe unajua alivyo makini.
Kuhusu nani anabebwa na ikulu au wafanyabiashara hilo ni matokeo ya chama kukosa mwelekeo. Kila mmoja anajiona anafaa kuwa rais wa nchi, haya matusi kwa taifa.
Hadi leo sijaona ninayeweza kumpa kura yangu kati ya hawa kama umemuona mmoja nionyeshe sifa zake labda nitashawishiwa
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Fred, wala hata mi sisemi lowassa anafaa au hafai...lkn ambacho huwa nasema ni ikulu inatamuta mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi...vituhuma visivyo na kichwa wala miguu havitatupeleka kokote...nikimkataa membe huwa na hoja....hajui kupambana na lolote na changamoto za sasa...membe hawezi kuleta uchumi wa viwanda tz...tukisema ni ndugu na kikwete bas coz ya kuona debe linapopigwa na ikulu kutupelekea mtu ambaye tunajua hafai...

'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
Mimi sishabikii mtu kwa vile amechukua fomu. Imani yangu ni thabiti kwa Warioba na haibadiliki. Nimepingana na wewe siku zote kwa tuhuma zisizo na msingi kwamba Membe ni mdogo wa Kikwete, kwa hili sipepesi macho mnafanya uhuni.
Kwa taarifa yako kati waliochukua fomu yumo kakaangu lakini anajua kuwa msimamo wangu ni juu ya Warioba. Tunatafuta kiongozi wa nchi siyo kiongozi wa klabu ya pombe, ushabiki utaipeleka nchi pabaya. Tafuteni tuhuma za mgombea zilizo za kweli mtuonyeshe ili tumpime siyo kupakaza. Kama Membe hafai semeni hafai kwa kuonyesha udhaifu wake siyo kumtukana. Na kama mgombea wako anafaa onyesha kufaa kwake. Mashaka yangu hayajaisha
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

'Lesian Mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ruben
Nakuambia hv nampenda edo kwa kua ni kiongozi bora mzeee,hakuna atakaemfikia edo
Lesian

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Fred, mtu akisema wewe ni mtu wa Membe kwa kuwa anajua hivyo bas tayari una wasiwasi na reasoning yake?Ukisema wewe ni mtu wa warioba wakati warioba mwenyewe hata form hajachukua...basi wewe nu mleta vurugu tu, huchangii chochote kwa mustakhabali wa taifa hili labda ungesema wewe ni chadema....Ngupula.

'fhkipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula unataka nikuambie mara ngapi kuwa mimi ni mtu wa warioba? Nilikuwa naheshimu mawazo yako lakini naanza kuwa na mashaka na wewe.
Hebu nitajie unayemuona anafaa au unafuata nyuki ule asali
SENT FROM ALCATEL ONETOUCH TABLET

'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Fred, tatizo kuu ni huyo mgombea wako....ni wa kawaida sana...Membe ni mtu wa kawaida sanaa...hata reasoning yake ni quite normal......CCM ikimsimamisha huyu...ijiandae tu kuiba kura...

'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mbona mnatoka povu mdomoni, tatizo nini safari inakuwa ngumu?

From: 'weston mbuba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, June 25, 2015 10:48 AM
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa, nionyeshe marafiki zako na mimi nitakuambia wewe ni nani?

Makala yana walakini. Kichwa cha habari hakiendani na maelezo ya ndani. Halikadhalika kilichomo ndani tumekisikia dahari na dahari. Hakuna jipya hapa. Leteni mambo mapya. Tuthibitishieni hao marafiki wake wabaya ni kina nani na ufisadi upi ama amefisidi nini.

On Thursday, June 25, 2015 7:58 AM, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment