Tuesday 31 July 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] KWANINI WANYWAJI WA KONYAGI,LAZIMA CHUPA ILAZWE

Chipa ya konyagi Ni nyembamba hivyo Ni rahisi kuanguka ikiwa imesimama na kwa wanywaji hakuna kitu kinaleta huzuni na masikitiko kama kinywaji kumwagika.

Sent from my HTC smartphone on the Now Network from Sprint!

----- Reply message -----
From: "Jonas Kiwia" <jonaskiwia39@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>, <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Subject: [Mabadiliko] KWANINI WANYWAJI WA KONYAGI,LAZIMA CHUPA ILAZWE
Date: Wed, Aug 1, 2012 1:18 AM


Naomba kujua kwa wale wanywaji wa Konyagi.Ni kwa nini kila wanywapo lazima chupa ilazwe mezani na sio kusimama kama chupa zingine? Sababu ni nini na kama mtu akiisimamisha kuna tatizo lolote?

Jonas Kiwia  |  Director
Speedy Computers
Tel:+255 754882825  |  Cell: +255 715882825 | 
P.O.Box: 55133  |  Dar esSalaam  |  Tanzania
Email:jonaskiwia39@gmail.com  URL:www.speedycomputersonline.com
 
    

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment