Sunday 29 July 2012

Re: [wanabidii] Tanzania bondia kidunda kadundwa bwana.

Ndugu zangu naomba tuwe chanya kidogo badala ya kukebehi maana kila anayeenda olimpic ni mshindani. Kwanza ukiulizwa kwamba walipata maandalizi gani unaweza usijue. Watanzania ni walalamishi wapenda kuhukumu kana kwamba wao ni mahakimu ambao wako juu ya hukumu.
 
Tuwape moyo wachezaji wetu badala ya kukebehi. Huwezi kutarajia bila kujua nini kimefanyika nyuma ya pazia wakati wa maandalizi.

From: "mlungwe@yahoo.com" <mlungwe@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 29 July 2012, 15:50
Subject: [wanabidii] Tanzania bondia kidunda kadundwa bwana.

Bondia wetu kidunda amedundwa  hapa uingereza na safari yake ya medali kwenye michezo ya Olympic  imeishia ukingoni.poleni watanzania.
Nixon

Sent from my HTC smartphone on the Now Network from Sprint!

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment