Tuesday 31 July 2012

Re: [wanabidii] Wabunge wa CCM wakiri Edward Lowassa alionewa

Tofauti iliyopo ni kwamba richmongdnever delivered the goods. Ilibidi ikopeshwe hela kwanza na serikali ili kusafirisha mitambo yake. Kampuni hiyo haikuwepo popote, ila ilibuniwa tu. Mitambo haikuzalisha umeme wa dharura ilivyokusudiwa.
PVP

--- On Thu, 7/26/12, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:

From: magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Wabunge wa CCM wakiri Edward Lowassa alionewa
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Received: Thursday, July 26, 2012, 8:39 AM

Wabunge wa ccm wamemuunga mkono Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini pamoja na kukiuka sheria ya manunuzi, lakini kwa kuokoa fedha za umma.

Hii ni kutokana na hatua ya kuipatia kampuni Purma zabuni ya kuiuzia tanesco mafuta kwa bei ya chini tofauti na kampuni zilizoshinda zabuni hiyo. Sasa wanasema hayo , si aliyafanya Edward Ngoyae Lowassa wakati nchi ilipokuwa kwenye crisi ya umeme?

Kuondoka kwake mpaka leo madhara yake yapo wengi wamekiri kuwa Jembe(lowassa) lilionewa.

Alitaka kampuni itakayoweza kuzuia nchi kuingia katika kiza haraka iwezekanavyo.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment