Kaka hapo ndiyo wamefikia ukomo. Turidhike na hayo wanayotufanyia. Tuombe Mungu watu wasije wakakasirika wakaamua kufanya yanayotarajiwa ambayo ni matokeo ya kunyanyaswa.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
From: AMAZIA JUDICA <amaziaj@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 28 Jul 2012 09:51:08 +0100 (BST)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA
Wanabidii,
Serikali iliyoko madarakani haitaki kutumia hata muda kidogo kufikiri jinsi ya kutatua matatizo ya Waalimu, Madaktari na jamii nyingine za huduma kwa jamii. Wanataka wafanye kazi kwa mazoea. Wabadilike!
Amazia.
From: heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 28 July 2012, 1:38
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Saturday, 28 July 2012, 1:38
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA
Yona
serikali inatakiwa kutafta suluhu ya matatizo ya watu wake wakiwemo walimu sio kutoa matamko na vitisho hilo halisaidii hii nchi...
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, July 28, 2012 1:33 AM
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, July 28, 2012 1:33 AM
Subject: Re: [wanabidii] TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA
Angetoa waziri wa Elimu mngesema mnataka kusikia tamko la ikulu , sasa huu ndio ujumbe wake kwa Watanzania mengine mtayasikia kwenye hotuba ya mwisho wa mwezi huu kaeni mkao wa kula .
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
2012/7/28 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Kwa nini zuio la walimu kugoma litolewa na Ikulu kama tayari kuna
shauri mahakamani? huku sio kuingilia uhuru wa Mahakama? Na kama ni
kusitisha mgomo wa walimu kwa nini usisitishwe na mahakama ya kazi au
tamko kutolewa na waziri husika wa wizara ya elimu? Waziri wa elimu wa
kashindwa?
Na tangu inaweza kutokea muajiri akamuambia mtumishi wake kuwa mgomo
mnaotaka kuendesha au kufanya ni halali? Naomba kusaidiwa huenda kuna
kitu sikielewi vizuri.
> --
On 7/28/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA
> ______________________________ ______________
> SERIKALI kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi leo, Ijumaa, Julai 27, 2012
> majira ya saa tisa alasiri, imepokea notisi ya saa arobaini na nane (48) ya
> kusudio la walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kugoma
> kuanzia Jumatatu tarehe 30 Julai 2012 saa moja na nusu asubuhi.
>
> Kabla ya notisi hii kutolewa, Serikali imekuwa ikifanya jitihada nyingi za
> kujadiliana na viongozi wa CWT kuhusu jinsi ya kuboresha maslahi ya walimu
> kwa nia ya kumaliza suala hili kwa maelewano kwa kutumia vyombo na ngazi
> mbali mbali za kisheria.
>
> Kwa sasa, shauri hili liko Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi na leo hii siku
> ya Ijumaa tarehe 27 Julai, 2012 majira ya saa sita mchana pande zote mbili
> zilifika Mahakamani, na Mahakama ikaamuru kwamba pande zote zikamilishe
> maelezo yao ifikapo siku ya Jumanne tarehe 31 Julai, 2012 saa sita mchana,
> ili kuiwezesha Mahakama kuendelea kusikiliza shauri hilo na hatimaye kutoa
> uamuzi.
>
> Kwa hiyo, Mgomo huu siyo halali kwa sababu shauri hili bado liko
> Mahakamani.
>
> Kwa msingi huo hatua ya CWT kutoa notisi ya kuanza kwa mgomo kabla ya
> kukamilika kwa shauri hili ni kukiuka taratibu halali za Kimahakama ambazo
> kila mmoja anawajibika kuziheshimu.
>
> Serikali inapenda kuwafahamisha walimu wote kuwa kujihusisha na mgomo huu
> ni kwenda kinyume cha Sheria, Kanuni na Taratibu za kazi. Hivyo, walimu
> wanapaswa kupima madhara ya mgomo huu usiokuwa halali na Serikali inawataka
> walimu kupuuza mgomo huo na kutokujihusisha nao. Walimu wote wanatakiwa
> waendelee na kazi kama kawaida.
>
>
> Peniel M. Lyimo
> KAIMU KATIBU MKUU KIONGOZI
>
> Imetolewa na:
> Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
> Ikulu.
> Dar es Salaam.
> 27 Julai, 2012
>
> Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
> Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
> Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
+255 (0) 713 (784) 24 67 64.
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment