Saturday, 28 July 2012

Re: [wanabidii] TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA

Suluhu inapatikana kwa njia ya Mazungumzo ambayo sisi wengine hatujui yanavyofanyika na makubaliano yao , ukiona shauri liko mahakamani na ikulu ikatoa taarifa ujue kuna kitu umoja wa walimu hawajafanya sawa , hilo siwezi kuliongelea hapa lakini serikali ina nia ya dhati ya kushugulikia matatizo ya walimu na sekta ya elimu kwa ujumla lakini hii haiwezi kufanye yenyewe inatakiwa kuungwa mkono na walimu wenyewe pamoja na wananchi kwa ujumla .

2012/7/28 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Yona swala la msingi ni kuhusu mhimili wa mahakama kuingiliwa. kwa
nini Ikulu itangaze kusitisha mgomo wakati kuna shauri mahakamani? Au
Ikulu inaweza kuingilia uhuru wa mahakama kwa namna yoyote ile?

On 7/28/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
> Angetoa waziri wa Elimu mngesema mnataka kusikia tamko la ikulu , sasa huu
> ndio ujumbe wake kwa Watanzania mengine mtayasikia kwenye hotuba ya mwisho
> wa mwezi huu kaeni mkao wa kula .
>
> 2012/7/28 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
>
>> Kwa nini zuio la walimu kugoma litolewa na Ikulu kama tayari kuna
>> shauri mahakamani? huku sio kuingilia uhuru wa Mahakama? Na kama ni
>> kusitisha mgomo wa walimu kwa nini usisitishwe na mahakama ya kazi au
>> tamko kutolewa na waziri husika wa wizara ya elimu? Waziri wa elimu wa
>> kashindwa?
>>
>> Na tangu inaweza kutokea muajiri akamuambia mtumishi wake kuwa mgomo
>> mnaotaka kuendesha au kufanya ni halali? Naomba kusaidiwa huenda kuna
>> kitu sikielewi vizuri.
>>
>> On 7/28/12, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>> > TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU KUSUDIO LA WALIMU KUGOMA
>> > ______________________________ ______________
>> > SERIKALI kupitia Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi leo, Ijumaa, Julai 27,
>> 2012
>> > majira ya saa tisa alasiri, imepokea notisi ya saa arobaini na nane
>> > (48)
>> ya
>> > kusudio la walimu wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kugoma
>> > kuanzia Jumatatu tarehe 30 Julai 2012 saa moja na nusu asubuhi.
>> >
>> > Kabla ya notisi hii kutolewa, Serikali imekuwa ikifanya jitihada nyingi
>> za
>> > kujadiliana na viongozi wa CWT kuhusu jinsi ya kuboresha maslahi ya
>> walimu
>> > kwa nia ya kumaliza suala hili kwa maelewano kwa kutumia vyombo na
>> > ngazi
>> > mbali mbali za kisheria.
>> >
>> > Kwa sasa, shauri hili liko Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi na leo hii
>> > siku
>> > ya Ijumaa tarehe 27 Julai, 2012 majira ya saa sita mchana pande zote
>> mbili
>> > zilifika Mahakamani, na Mahakama ikaamuru kwamba pande zote zikamilishe
>> > maelezo yao ifikapo siku ya Jumanne tarehe 31 Julai, 2012 saa sita
>> mchana,
>> > ili kuiwezesha Mahakama kuendelea kusikiliza shauri hilo na hatimaye
>> kutoa
>> > uamuzi.
>> >
>> > Kwa hiyo, Mgomo huu siyo halali kwa sababu shauri hili bado liko
>> > Mahakamani.
>> >
>> > Kwa msingi huo hatua ya CWT kutoa notisi ya kuanza kwa mgomo kabla ya
>> > kukamilika kwa shauri hili ni kukiuka taratibu halali za Kimahakama
>> ambazo
>> > kila mmoja anawajibika kuziheshimu.
>> >
>> > Serikali inapenda kuwafahamisha walimu wote kuwa kujihusisha na mgomo
>> > huu
>> > ni kwenda kinyume cha Sheria, Kanuni na Taratibu za kazi. Hivyo, walimu
>> > wanapaswa kupima madhara ya mgomo huu usiokuwa halali na Serikali
>> inawataka
>> > walimu kupuuza mgomo huo na kutokujihusisha nao. Walimu wote wanatakiwa
>> > waendelee na kazi kama kawaida.
>> >
>> >
>> > Peniel M. Lyimo
>> > KAIMU KATIBU MKUU KIONGOZI
>> >
>> > Imetolewa na:
>> > Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
>> > Ikulu.
>> > Dar es Salaam.
>> > 27 Julai, 2012
>> >
>> > --
>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>>
>> --
>> "Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia
>> Mtema.
>> --
>> +255 (0) 713 (784) 24 67 64.
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
+255 (0) 713 (784) 24 67 64.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.



--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment