Mwalimu Lwaitama,
Nakubaliana na wewe kabisa. Kama kuna jambo ambalo Chadema wanatakiwa kuwa macho na kuweka mikakati madhubuti ni hilo la kujaribu kuwagombanisha viongozi wa Chadema, kuwachafua na kuwapaka matope hata kwa mambo ya binafsi, kuwapaka matope kuwa ni chama cha fujo, vurugu, udini na ukaskazini na kampeni zote chafu. CCM haina jipya la kusema bali ni kufanya propaganda chafu, kutumia vyombo vya habari na kila mbimu chafu ili tu kukipaka matope Chadema. Hawana jambo ambalo wanaweza kuwapelekea wananchi, hawana jipya, baada ya miaka 50, na hali hii tulina nayo, watasema nini?
Wakati wa uchaguzi nakumbuka ile tahariri iliyowahi kuandikwa katika gazeti la Daily News, sikuamini macho yangu. Nakumbuka wakati ule TV stations zilipokuwa zikitangaza habari binafsi kwa muda wa mawiki ambazo hazikuwa na tija yoyote kwa mwananchi.
Angalia walivyo mabingwa wa kupindua hoja na kueneza propaganda: Unakumbuka ambavyo walivyopotosha matukio yale ya Arusha? Kimsingi agenda ya kudai katiba mpya ni ya Chadema, angalia hivi sasa, hilo hata halisemwi na imekuwa ni kama agenda yao wakati wao hawakutaka kabisa suala hilo. Halipo katika manifesto yao, katika ahadi za papo kwa papo na wala hawajahi kuliunga mkono. Siku za nyuma walipinga wazi wazi. Leo tunatoa maoni juu ya uandishi wa katiba mpya, huu ni ushindi mkubwa kwa Chadema, lakini hilo halisemwi!!
Angalia walivyopindisha suala la posho na kulifanyia propaganda chafu. Hoja ya Chadema ilikuwa na mantiki kubwa sana na kimsingi walikuwa wanapinga zile sitting allowances na si zile posho za kujikimu pale mtumishi anapokuwa nje ya kituo chake cha kazi" Lakini, suala hilo lilichakachukuliwa na kuwachanganya wadanganyika na hawakuweza kuelewa nini ilikuwa hoja ya Chadema.
Angaila madai ya Madaktari yalivyochakachuchuliwa na kuonekana kuwa eti wanadai milioni saba kwa mwezi!! wakati hoja za msingi ni vifaa tiba na upatikanji wa madawa n.k. Hii ndio kazi ya CCM na vyombo vya habari uchwara vya Tanzania. Wanaandika habari wakitegemea kuwa watapewa ukuu wa Wilaya au ukuu wa Mkoa. Ni aibu. Utashangaa karibu na uchaguzi vyombo vya habari, wasanii, na hata mashirika mbalimbali ya umma yatakavyogeuka na kuegemea kwa magamba. Hicho ndio kipindi kama navyosema mwandishi mmoja mahiri kuwa "watu huvua akili zao na wakazirejesha baada ya uchaguzi". Hii yote ni li-mfumo bovu, ambalo kila mtu anafikiri ni muhimu akajipendekeza ili kesho akumbukwe katika ufalme.
Ni lazima niseme propaganda hizi chafu zina kuwa very effective kwa sababu Watanzania wengi si watafutaji wa mambo, si watafutaji ukweli, hawatafakari na wanasahau haraka sana, wanaamini chochote wanachoambiwa na magamba na hasa viongozi.
Hivi kweli unaweza kuhusisha mgomo wa madakatari na chama cha siasa??!! wakati ni serikali yenyewe ndio ilitumia pesa nyingi katika sherehe za mika 50 na matokeo yake kushindwa kuwalipa interns, baadae serikali hiyo hiyo ikawakomoa kwa kuwahamisha interns, hapo ndipo chanzo cha mgomo, ule wa kwanza. Unahitaji nini kutambua hili?? Ni nani aliwatuma kufanya yote hayo??
Wapo wanaoamni kuwa eti propaganda hizi sio effective, yaani hazifanyi kazi, ni za kupuuza. Hawa, wanajidanganya, kwa utamaduni wa Watanzania, mbinu hizi zinafanya kazi. Chadema inabidi wajipange kweli kukabiliana na siasa hizi za maji taka. Mimi ninawaombea. Mungu atawasaidia.
Selemani Rehani
From: kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] URAIS 2015 : JOSHUA NASSARI AMKANA ZITTO KABWE
Date: Tue, 24 Jul 2012 12:57:33 +0000
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Magessa,
Katika nchi hii kwa wakati huu gazeti linaweza kuwa makini lakini wahariri na waandishi wake mmoja mmoja wakawa watu wanaoweza kutumiwa na chama tawala cha CCM katika mikakati yake ya kila siku ya kujaribu kukibomoa chama cha Chadema kwa kuwagombanisha viongozi wake pale kinaposhindwa kukigombanisha na wananchi wa Tanzania kwa kukisingizia eti ni chama cha mauaji ya yule au huyu na eti kuwa cha viongozi wagomvi na wenye kulea vujo mikutanoni na kutoa matusi kama walivyojaribu kufanya kule Singida wiki iliyopita... Kwani wewe ukumsikia mkuu wa kaya ziarani Mbeya akirudia ujumbe huu wa CCM wa eti viongozi wa vyama vya upinzani ni wagomvi wakati wote huku CCM ikiendelea kistaarabu kuwa- bize ikitekeleza ilani ili mwaka 2015 wananchi warudishe kwa kishindo? Nina uhakika mchezo huu wa kugombanisha Mh Zito na viongozi wenzake ndani ya Chadema utarudiwa tena na tena na magezeti makini kama Mwananchi ...Hii si mara ya kwanza wala haitakuwa mara ya mwisho.
Mwl. Lwaitama
Date: Tue, 24 Jul 2012 15:37:16 +0300
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : JOSHUA NASSARI AMKANA ZITTO KABWE
From: magessabm@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
lakini mbona wote wanapinga?haya yalitungwaje na gazeti makini kama mwananchi?natafakari!

2012/7/24 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
Katika barua yake kwenda kwa mhariri mtendaji mkuu wa Mwananchi. Hii
ni sehemu ya waraka huo wa Nassari.
Nukuu hiyo si ya kweli. Nimesikitishwa sana na upotoshaji mkubwa wa
kunilisha maneno mdomoni uliofanyika katika sehemu kubwa ya habari
hiyo (mbali na nukuu hiyo) kwa maslahi ambayo sijui ni ya nani.
Wakati ukijiandaa kuchukua hatua kutokana na sababu ya pili ya
kukuandikia barua hii ambayo nitaieleza punde hapa chini, naomba
utafakari masuala kadhaa, ikiwemo; kwa nini ilichukua siku zaidi ya
tano kwa habari hiyo kuandikwa?
Pili, kutokana na usumbufu mkubwa ambao nimeupata kutoka kwa
Watanzania wa maeneo mbalimbali wanaotarajia kuniona mwakilishi wao
nikizungumzia masuala yanayowahusu wao, ambayo ni muhimu zaidi kuliko
jambo jingine lolote kwa sasa.
Lakini pia nikiwa Mtanzania anayetambua umuhimu na unyeti wa nafasi ya
urais katika nchi hii na kwamba inaamuliwa kwa maslahi mapana ya umma
wa Watanzania wala si uchu wa watu wachache, hivyo nisingeweza kutamka
maneno hayo ambayo gazeti lako limeandika, naomba kukuandikia rasmi
kukutaka ukanushe habari hiyo ukurasa wa mbele kwa uzito huo huo
ulioipatia habari hiyo katika toleo tajwa.
Lakini pia nikiwa Mtanzania ambaye ni mwanachama wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho kinaamini kuwa kwa sasa
suala la urais si kipaumbele, bali muhimu kwa wakati huu ni
kushughulika kujua mizizi au vyanzo vya matatizo makubwa
yanayowakabili Watanzania ikiwemo umaskini, ujinga, maradhi, ufisadi
na utawala mbovu wa CCM, kwani serikali imekuwa ikishughulikia
matokeo.
Kama ambavyo chama changu, Watanzania wengine makini na mimi mwenyewe,
naamini kuwa kwa sasa suala la muhimu kwetu kama taifa ni kutafuta
mizizi au vyanzo vya matatizo mbalimbali yanayoikabili jamii ya
Watanzania.
Kwa chama changu na mimi mwenyewe pia kama mwakilishi makini wa
Watanzania, naamini kuwa siku zote suala la urais linategemea mahitaji
ya Watanzania na kamwe haliwezi kuamriwa kwa kufuata matakwa na utashi
au uchu wa watu binafsi.
Lakini pia suala la nikiwa kama mwanachama mwaminifu wa CHADEMA na
ninayeipenda nchi yangu kwanza, naamini kuwa suala la urais linafuata
katiba, kanuni na taratibu za chama, hatua ambayo haijafikiwa kwa
sasa.
Naomba kusisitiza kuwa sijawahi kutamka, siwezi kutamka na sitarajii
kutamka maneno hayo uliyoyaandika kwenye gazeti tena kwa kuninukuu na
kuniwekea maneno mdomoni. Naomba kurudia tena kukutaka ukanushe habari
hiyo ukurasa wa mbele kwa uzito huo huo ulioipatia habari hiyo katika
toleo tajwa.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Sent from Samsung Galaxy Ace GT-S 5830 --The future of Android Technology

0 comments:
Post a Comment