Wednesday, 25 July 2012

Re: [wanabidii] UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Ndgu zangu wafanyakazi wenzangu, nadhani wote ni mashaidi wa jinsi mnavyoshuhudia hawa wazee wa jumuiya ya Afrika Mashariki wanavyoteseka katika kufuatilia malipo yao (mafao yao). Ndivyo hivyo hivyo itakavyokuwa na sisi tutakapofikia muda wa kufuatilia mafao yetu. Am sure usumbufu unaoupata leo hii utakuwa mara dufu.
 
Hili saga nzima limejaa mazingara ya mchezo mchafu na faulu wanataka kutuchezea. Migodini hata expats huwa wanachangia mifuko hii kwa mujibu wa sheria na huwa mikataba yao inapokwisha claim form zinajazwa mara moja kwa ajili ya kulipa mafao yao; je na hao kwa sheria hii itabidi wasubiri hiyo miaka 55 mpk 60??; nadhani hawa jamaa tatizo lao ni kuchambua mambo na kufanyia maamuzi ofisini tena Dar au nje ya nchi bila kufanya upembuzi yakinikifu. Zungukeni hasa kwenye sekta ya madini mjionee wenyewe.
 
2012/7/25 Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
Hivi kweli hawa jamaa wa mifuko ya jamii walifanya public hearing kabla ya kutunga hii sheria? Tanga zamani nimekuwa nikijiuliza kuhusu uhalali wa sisi wanachama kuchangia fedha zetu lakini wazitumie kwenye uwekezaji bila kutuhusisha sisi wachangiaji!!! Uhalali wanautoa wapi? Kwanza hutajawahi kuulizwa kama tujiunge au tusijiunge na mifuko hii. Je wachangiaji tunapataje faida kutokana na faida kutoka katika uwekezaji? Hayo ndio mambo tunayohitaji kujua sio kuchukua hela zetu na kutulazimisha tuzisubiri hadi miaka 55. Siamini kama uanzishwaji wa sheria hii ulitokana na hitaji la jamii bali ni hitaji la watu wachache ili wale fedha!!! Jamani ni nani atawatetea wanyonge wa nchi hii????

2012/7/25 Flavius Rwelamira <rwelamiraflavius@yahoo.com>
KAMA NSSF ITAKUWA HIVI, BASI MWAKA 2015 ATAKAYEINGIA MADARAKANI AONDOE MFUMO HUU

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, July 24, 2012 9:51 AM
Subject: Re: [wanabidii] UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Hukulazimishwa kujiunga na NSSF na Mifuko mwingine ni wewe mwenyewe kwa hiari yako umejiunga na nilazima ukubaliane na masharti yao hata pale yanapobadilika kutokana na wakati .
2012/7/24 lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
Mimi pesa yangu wanipe kwakweli, uzoefu niliouona kwa wastaafu wakipigwa na kuvuliwa nguo, siwezi kuukabili. NSSF naomba pesa yangu, hamkuniuliza kuhusu sheria yenu ya kikatili!!

--- On Mon, 7/23/12, ezekielmassanja@gmail.com <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

From: ezekielmassanja@gmail.com <ezekielmassanja@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, July 23, 2012, 11:11 PM
Ndugu WanabidiiNaungana na wote wanaopinga mpango huu wa kulazimisha mtu kusubiri mpaka akizeeka ndipo alipwe pesa zake. Ingabaki ilivyokuwa kwamba tuwe na uhuru wa kuchagua. Sababu ni nyingi, kwa mfano:1.Makadirio ya umri wa kuishi wa Mtanzania, nadhani bado ni miaka 45, sasa 55 inafikiwaje?2. Nikianza kuchangia nikiwa na miaka 40 na kufanya kazi ya mkataba kwa miaka 3 inabidi nisubiri miaka 7 ndipo nilipwe. Nikianza kulipwa wataniambia kwamba sijachangia kwa miaka 15 kwa hiyo siwezi kupewa pensheni kwa maana ya mkupuo na malipo ya kila mwezi. Sasa hapo haki iko wapi?3. Pesa za michango zinatumiwa vibaya kwa maslahi ya wasio wanachama, angalia miradi isiyo na maslahi kwa wanachama kama ya ujenzi wa UDOM, daraja la kigamboni na mingine mingi ambayo urejeshwaji wa pesa zilizotumika ni wa mashaka tu.4. Wanachama hawana kauli yoyote na pesa hizo badala yake mtu mmoja anateuliwa ndiye anaweza kufanya chochote na pesa hizo badala ya wanachama. Basi hata bodi za mashirika hayo zingekuwa na robo tatu ya wajumbe kutoka wanachama.5. Inflation haiko kwenye vigezo vyote vya mafao, kwa hiyo pesa zikikaa huko kwa miaka 15 hadi 20 pesa unazopata ni kama 1/3 ya pesa ulizochangia.6. Hiyo commission ya udhibiti itaendeshwa kwa pesa hizo hizo za wanachama. Kama kweli watang'ang'ania kuendelea na uamuzi huu basi wananchi inabidi tufanye kitu kuzuia ubabe huu.Nawasilisha
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
From: Fatima Husenali <husenalif@gmail.com>
Date: Tue, 24 Jul 2012 08:46:09 +0300
Subject: Re: [wanabidii] UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Fikiria umechangia kwa miaka 10 baada tu ya kumaliza chuo ukiwa na miaka 24 baadae ukaamua kuacha kazi ili ufanye kazi zako zingine, je ni akili kweli kusubiri pesa yako miaka 26 baadae. Huu ni uporaji wa mchana. Ni muhimu watu tufanye utafiti wa kutosha juu ya ufanisi wa mifuko hii katika nchi zingine na kulinganisha na hali halisi ya maisha na mfumo wa jamii ya Kitanzania. Vinginevyo copy and paste itatuletea majanga mengi siku za usoni.
2012/7/23 <http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=flyimo@yahoo.com>
Kwa kweli kwa hili tusimame pamoja kupinga kwa nguvu. Hivi nikiamua kutoka mfumo rasmi nikiwa na tender age, labda miaka 40, je ni sawa kuwa nisubiri miaka 15 bila kuendelea kuchangia ndipo niweze kupata kilicho changu? Haiingii akilini kabisa. Kwa kweli tupinge kwa nguvu huu udhalimu dhidi ya binadamu. Nasikia wana justify huu ukaburu kwa kusema watakopesha wanachama pesa za ujenzi wa nyumba! Je kama ninayo au ninazo tayari na sihitaji zaidi inakuwaje? Mwenye taarifa zaidi juu ya mfumo wa hii mikopo atujuze tafadhali.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
Date: Mon, 23 Jul 2012 08:14:00 +0300
Subject: Re: [wanabidii] UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Je kuna namna yeyote ya kudai sheria hii ibadilishwe? Inakuwaje wafanyakazi wenyewe hawajui. Je walishirikishwa kiasi gani katika hilo maana pesa ya ya kwao wameichangia. Hakuna riba baada ya miaka yoote mtu anapofanya kazi na kuchangia.
 
Tunajua Social security kwa nchi kama hii ni tataizo na inatikona na kwamba ukichanga millioni 30 after 30 years utapata hizohizo nazo zitakuwa sawa na millioni mbili au elfu thelathini wakati huo
2012/7/22 RAMADHANI Selemani <http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=ramson34@gmail.com>
Mambo mengine ni ya ajabu sana...life span ya mtanzania ni kama miaka 47 hivi kwasasa, ukisema mtu aende akachukue mafao yake baada ya miaka 55-60, je utakwenda mzimu wake!!!???nchi hii sometimes ina maamuzi ya ki bogus sana.ktk hili hatuhitaji phd kujua kwamba huu ni ujinga..
On Jul 21, 2012 1:20 PM, "Yona Maro" <http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=oldmoshi@gmail.com> wrote:
Makamu wa Rais, Corporate Affairs
Barrick Gold
S.L.P 1081
Dar-es-Salaam
 
UFAFANUZI KUHUS FAO LA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.
 
Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa kuhusu fao la kujitoa.
 
1.    Kama mtakumbuka Sheria za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na Sheria ya Mamlaka zimefanyiwa marekebisho na kupitishwa na Bunge tarehe 13 Aprili, 2012. Sheria hiyo tayari imeshasaininiwa na Mheshimiwa Rais na imeanza kutumika rasmi. Marekebisho haya yanawahusu wafanyakazi wote nchini mwetu bila kubagua sekta yoyote ile.
 
2.    Kwa mujibu wa marekebisho hayo fao la kujitoa (withdrawal benefits) yamefutwa na kuanzia sasa hayatakuwepo. Mafao hayo yalikuwa yanatolewa pale mwanachama alipokuwa anaacha kazi. Sasa mwanachama wa Mfuko atapata mafao yake pale atakopfikisha umri wa kustaafu kwa hiari (miaka 55) au kwa lazima (miaka 60) au pale anapopata ulemavu wa kudumu.
 
3.    Kwa kuzuia fao la kujitoa mwanachama anapata fursa ya kupata mikopo ya nyumba kwa kutumia dhamana ya michango yake kama ilivyoelezwa kwenye Sheria ya SSRA kipengele cha 38.
 
4.    Marekebisho hayo kuhusu kuzuia mafao ya kujitoa yamefanyika ili kutimiza lengo na madhumuni ya hifadhi ya jamii ambayo ni kuhakikisha kuwa mwanachama anapostaafu anapata mafao bora yatakayomwezesha kumudu maisha ya uzeeni wakati ambapo nguvu ya kufanya kazi tayari imeshamwishia. Mafao ya kujitoa yanapunguza na hata kuondoa kabisa kinga ya mfanyakazi pale anapoumia kazini au anapofika uzeeni.
 
5.    Tunawaomba muwaelimishe wafanyakazi umuhimu na madhumuni ya mafao ya hifadhi ya jamii. Hifadhi ya jamii ni nyenzo mahususi iliyowekwa kuwasaidia
 
1
wafanyakazi kuendesha maisha yao wakati wanapokuwa wameishastaafu tayari. Umasikini wa kipato wakati wa uzee ni mojawapo ya changamoto ngumu kukabiliana nazo kwa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Tunawasihi tena muelimishe wafanyakazi kuhusu jambo hili. Tafadhali msisite kuwasiliana na Mamlaka pale ufafanuzi zaidi utakapohitajika
 
6.    Kwa kuwa marekebisho hayo yamesainiwa na kuanza kutumika rasmi kama sheria, mafao ya kujitoa hayawezi kutolewa tena na wafanyakazi watakaoacha kazi kwa sababu ya marekebisho ya kipengele hicho watakuwa hawajaijitendea haki wao wenyewe na pia itakuwa ni kunyume cha Sheria. Mamlaka inaandaa kanuni za mafao ambayo lengo lake ni kuboresha maslahi ya wanachama, kanuni hizo zitajadiliwa na wadau wakiwemo vyama vya wafanyakazi na waajiri ili kupata maoni yao.
 
7.    Tafadhali muwaelimishe wafanyakazi kwamba pamoja na kuzuia fao la kujitoa, mafao mengine ambayo ni muhimu kwa sekta ya Madini yataendelea kutolewa kama kawaida. Mafao hayo ni Kama vile kuumia kazini pamoja na fao la ulemavu
 
8.    Tumesikia kwamba tayari kuna hofu imejijenga kwa wanachama kuhusiana na fao la kujitoa. Ikumbukwe kwamba baadhi ya Mifuko ilikuwa inatoa fao hilo kinyume cha Sheria kwani katika Sheria zao hakuna fao la kujitoa. Tunapenda kusisitiza kwamba wanachama wawe watulivu wakisubiri miongozo.
 
9.    Tunapenda kuwahakikishia kwamba katika hili maslahi ya wanachama yatalindwa na hakuna mwanachama atakayepunjika kutokana na utaratibu huo. Mamlaka imepanga kutembelea wafanyakazi wa sekta ya madini katika juma la kwanza la mwezi Agosti 2012 ili kutoa ufafanuzi zaidi kwa wanachama wote.
 
Tunatanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano.
 
Wenu.
Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Hifadhi ya Jamii
-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda http://us.mc1133.mail.yahoo.com/mc/compose?to=wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/ Kujiondoa Tuma Email kwenda mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.comPata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.comBlogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Victor Caleb Mwita
Ministry of Livestock and Fisheries Development
P.O. Box 9152
Dar Es Salaam
Tel: 0766750673, 0789142275

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment