Wednesday, 25 July 2012

Re: [wanabidii] SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya

Ezekiel nashauri ukienda huko usibadili pesa zote ukafanya matumizi, fanya kubadili kiasi kidogo ili ziweze kukukimu uwapo huko kwa mahitaji ya muhimu, then alibaki njoo nayo nyumbani utasaidia kukuza uchumi wetu. wengi wetu tunafanya hivyo. ingawa wao wakigudua hilo huwa wanakasirika sana na waweza hujumiwa pia.

Hivi serikali yetu inayajua haya? au ndo msemo wa watanzania wamelala. naona utalii wa Tanzania hautangazwi kama jinsi  jirani anavyofanya na hadi kufikia kuhujumu kwetu ili tu watalii na mataifa mengine yajue kuwa Tanzania siyo mahala muafaka kutalii.

On Wed, Jul 25, 2012 at 2:47 PM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Mboje,

Mimi nimewahi kuwa nao katika semina moja pale Mombasa. Nikawa nataka kubadilisha fedha kutoka dola kwenda hela yao. wakanipandishia sana bei, tukabishana nao kisha wakasema wewe ni mtanzania wa wapi "mbona uko mjanja sana". Kwa hiyo kuna wanachokifahamu na wanadhani sisi hatuwajui. jambo hili ndilo linalowatia shaka watanzania kuwa na shirikisho la kisiasa nao. Ni watata kwelikweli hawa.

Kuwa na ushirika na hawa haiwezekani kabisa kwa mtizamo wangu.
 
K.E.M.S.
Sent: Wednesday, 25 July 2012, 4:29

Subject: Re: [wanabidii] SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya

They think we don`T KNOW THEM. Nipo kwao kila mara nawaelewa vilivyo. Tanzania tuna ustaarabu wetu. wao hawajui kwa nini mataifa mengine ikiwamo na wao sasa wanag`ag`ania kuja Tz. wengi sasa wamejipenyeza huku lakini kwa uungwana wetu hatuna hata chokochoko, sasa wao ndo kila siku kuchokonoa Tanzania. Mengi tumeona nakushuhudia wakituchafua katka anga za kimataifa lakinji sisi tuko kimya na wala hawajiulizi kwa nini tuko kimya. Vurugu za Zanzibar nazo wamechukulia kuwa hakuna amani kwa kisingizio cha kuwa watalii waende kutalii kenya na siyo Tanzania kwa sababu makanisa yanachomwa moto. ilihali kwao kenya ni milipuko ya mabomu kila kukicha.
Kuna watanzania kibao wanafanya kazi na kampuni zinazomilikiwa/ kuongozwa ama zimeanzishwa na wakenya wanapata shida na tabu sana  wanachofanyia watanzania dhalili ni hujuma.Tunafahamu Utalii wa tanzania,usafiri wa anga,Biasdhara za mazao ya kilimo na vingine vingi wanahujumu.
Ipo siku wahusika watalitambua hilo na hatua tutachukua,

Laiti wangejua wanachokifanya kinaeleweka katika nchi zote za jumuiya ya afrika mashariki wasingethubutu kuleta ujinga usiofaa. Kwanza hawa ndo wanoharibu sifa za jumuiya ya afrika mashariki.
N hasira tiu naweza kufunguka zaidi ya gazeti ............

On Tue, Jul 24, 2012 at 4:50 PM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Mboje,

I strongly support you by saying SHAME ON KENYANS who purport this message falsefuly for their own interest.
 
K.E.M.S.

From: GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, 24 July 2012, 6:12
Subject: Re: [wanabidii] SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya

The event on the movement of wilderbest to Tanzania  is shown live on this link  http://cctv.cntv.cn/live/cctvxinwen/index.shtml#online

On Tue, Jul 24, 2012 at 3:58 PM, GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com> wrote:
Hawa watu tuwe nao makini na ni waongo sana, sasa hii complai imekuja vipi ilihali kwa sasa wanyama wanashift kuja Tanzania  halafu wanadai moto umechomwa kuzia wanyama kwenda kenya ilihali kwa sasa wanyama wanashift toka kenya kuja Tz.They cant conflict with Nature,. What they are doing is just delays and the worl will understand
to me I say Shame to Kenyans

On Tue, Jul 24, 2012 at 3:44 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
Watanzania gani wafanye hivyo leo?
Kwa maslahi gani wakati wanyama hao hukaa Kenya miezi mitatu tu kwa mwaka mzima?
Isipokuwa Wakenya wamewahi kuweka seng'eng'e kuwazuia wanyama hawa na kusababisha wengi wao kufa.
Hizi ni propaganda za Wakenya na ndio maana baadhi yetu tunapinga muungano wa Afrika Mashariki kwa sababu wenzetu wana hila.
Huu ni uthibitisho na sitashangaa nikisikia kwamba ni Wakenya ndio waliowasha moto huo.
Matinyi.
 
> Date: Tue, 24 Jul 2012 15:58:35 +0400
> Subject: [wanabidii] SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya
> From: chasmacha@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com

>
> Is there any truth in this story????
>
> SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya
> The Kenyan DAILY POST County News 03:38
>
>
> Monday July 23RD 2012 - Tanzanians livings around the Serengeti Game
> Reserve have set the area on fire to block the wildebeest migration.
>
> Their decision to block the wildebeest migration has brought many
> concerns to the Kenyan government. The fires which have so far lasted
> two weeks have delayed hundreds of wildebeests from Serengeti plains
> gathered on the Mara River from crossing into Kenya. Hundreds of acres
> of reserves in the northern Tanzania along the migratory route are
> still on fire and this has been pushing back the animals.
>
> The Mara Game Reserve usually receives many visitors at these times
> when the wildebeest migration kicks off and is the annual tourism peak
> season.
>
> The custodians of the reserve and the Narok County Council have
> appealed to the Ministry of Tourism and that of Foreign Affairs to
> talk with the respective ministries in Tanzania to resolve the
> situation.
>
> Mr. Michael Ole Koikai, the chief warden of the reserve said that
> tourist who started to camp at the banks of river have been forced to
> wait because of the delays brought about by the fire.
>
> He claimed that the animals had attempted to cross twice but could not
> access the river.
>
> "Many tourists are being forced to pay more than they had planned for
> because they don't want to leave before experiencing the spectacular
> 7th wonder of the world,'' Mr Koikai said.
>
> Stakeholders, who are already afraid of losing revenue, have joined
> the call for the government to intervene.
>
> The Kenyan DAILY POST
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment