Nukuu za Selemani Rehani, Mohamedi Mtoi na Mwl.Lwaitama, wenye macho na wazisome, na wenye masikio na wasikie. Hii ni karne ya utanda wazi hata ukifanyia mambo yako chini ya uvungu wa kitanda, yatafichuka tu!!!!! Miaka ya nineteen kweusi imekwisha pitya na wakati, ambapo watu wengi walikuwa hawana ufahamu (hawajui kusoma wala kuandika) wa mabo mengi kwa ujumla ya Dunia, Afrika, Afrika Masharika au Tanzania/ Tanganyika/ Zanzibar. Sasa hivi dunia ya utanda wazi watu wengi wako well informed and knowledgeable.
Tuendelee kupeana up-dates.
Idriss mussa
-- Tuendelee kupeana up-dates.
Idriss mussa
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment