Wednesday, 25 July 2012

Re: [wanabidii] URAIS 2015 : HALIMA MDEE AMKANA ZITTO KABWE

Tahadhari,

Hofu yangu ni imani iliyojengeka hapa kwamba CDM wako sahihi wakati wote na CCM hawako sahihi wakati wote. Hivi kwa nini tusiamini pia kuwa Zitto anahusika na hiyo habari, kwa nini tuamini asilimia 100 kuwa ni CCM wanaohusika na hiyo habari. Binafsi napata shida sana kuamini kuwa Halima angeweza kuropoka yale maneno, lakini sijifungi kumtilia shaka Zitto katika hili.

Huu utamaduni wa CDM kuonekana hawana dosari ndio ulioifikisha CCM hapo ilipo leo, CDM wamewahi sana kulewa sifa.

Felix

2012/7/25 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Mwl. Lwaitama,

Hatuwezi kuandikia mate na wino upo. Subirini Zitto kasema ataweka mazungumzo yote kwenye blog yake tusikie. Hadi hapo ndipo tutajua mbivu na mbichi kwa sasa tunashambuliana bure bila sababu yoyote ya msingi kama waungwana na wananchi wa nchi yetu Tanzania.
 
K.E.M.S.

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, 24 July 2012, 23:30

Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : HALIMA MDEE AMKANA ZITTO KABWE

Umefanya vyema Halima kukanusha.Sikuisoma habari ile,lakini hata kama ningeisoma ningesikitika sana kuona Halima  na umakini wake anaweza akakiri hadharani kuwa Zitto ni mtu makini na ana uchungu na wanyonge wa Tanzania.Kwa mtazamo wangu,jitihahda za Zitto kutaka awe mgombea wa kiti cha uraisi kwa kupitia CHADEMA zina mkono wa baadhi ya viongozi wa juu wa CCM wenye lengo la kuendelea kuihujumu nchi hii....na nina amini kwa asilimia 100 kuwa CHADEMA haiwezi kumsimamisha Zitto kuwa mgombea wake wa uraisi,na ikitokea akasisimama,hatachaguliwa pia. Otherwise,ninachokikubali ni kuwa Zitto ni kiongozi mzuri,haswa kwenye propaganda...na anastahili kuwa na nafasi fulani fulani za juu serikalini lakini akiwa chini ya mtu makini kama spidi gavana yake.Ni makosa makubwa yeye kama yeye kuwa ndio kiongozi wa dola ....Ngupula

From: erick maro <rikmaro@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, 24 July 2012, 21:18
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : HALIMA MDEE AMKANA ZITTO KABWE

Nimependa mchango wako Mwl Azaveli

On 7/24/12, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
>
> Ezekiel Kunyaranyara,
> Hiyo stori ya gazeti la Mwananchi niliisoma nikajua ni sehemu ya Ze Komedi
> za Chama kitukufu cha CCM kuendeleza mapambano kwa njia za chini kwa chini
> dhidi ya Chadema ili Watanzania wadhani kuwa hakuna chama mbadala ya CCM.
> Ze Komedi hizi zitashindwa na kulegea!!! Gazeti la Mwananchi ni gazeti
> makini lakini wahariri na waandishi wake mmoja mmoja ni wanahabari wa
> kawaida wanaolubuniwa kila kukicha kuanzisha ajenda za kugombanisha viongozi
> wa Chadema wao kwa wao au kuwafanya wananchi wadhani viongozi wa Chadema nao
> ni sawa na wa CCM ya akina Mh Mwingulu Nchemba  na Lvingstone Lusinde.
> Unapoendeleza mjadala feki kwa kusema eti "Imekuwaje tena wadau
> wanatofautiana. Hebu sasa Mheshimiwa Mdee kama hukusema hivyo sasa ulisemaje
> mheshimiwa?" unafanya kazi ileile ya Ze Komedi... Kwani lengo la mkuatano
> aliokuwa anahutubia Mh Mdee na Mh Nassari  kule  Kigoma lilikuwa kuzungumzia
> juu ya Urais wa 2015? Ebo! Hivi hata na wewe  hujui Mh Halima Mdee ni
> mwanasiasa makini ambaye hasingeweza akajiangaisha na ajenda muflisi kama
> hizo za kudadisi eti mwaka 2015 ni nani atagombea urais kwa tiketi ya
> Chadema? Chama makini  kama Chadema siku zote kinangoja hadi mwaka 2015 na
> kuangalia ni yupi kati ya majembe kibao yaliyojaa kwenye safu yake ya
> uongozi  atakidhi matakwa ya  wakati husika na kwa nafasi hipi. Urais si
> kila kitu. Mtu anaweza akawa kiongozi safi sana na chama kikaona ni vizuri
> hasigombee urais ...Hivyo ndivyo ilitakiwa kuwa hata ndani ya CCM kama
> kisingekuwa kimejaa kwa siku za karibuni  wanasiasa uchwara  ambao vinchwani
> mwao  kumejaa u-Ze Komedi vichwani. Hapa nachota kutoka kwenye busara za
> mwana CCM mwenzangu Mh Rostam Aziz... CCM ni siasa uchwara  asubuhi hadi
> jioni..... Gazeti la Mwananchi ni makini lakini waliisha zusha hoja hii
> kuhusu Mh. Zito na wataendelea kuzusha hoja hii tena na tena. Si shangai!!!
> Lakini u-Ze Komedi huu utashindwa na kulegea!!!
> Mwl. Lwaitama- CCM-Mfu
>
>
>
>
>
>
> Date: Tue, 24 Jul 2012 12:34:05 +0100
> From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : HALIMA MDEE AMKANA ZITTO KABWE
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>  Jamani,
>
> Imekuwaje tena wadau wanatofautiana. Hebu sasa Mheshimiwa Mdee kama hukusema
> hivyo sasa ulisemaje mheshimiwa?
>
>
> K.E.M.S.
>
>
>
>
>
> From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Tuesday, 24 July 2012, 3:25
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 : HALIMA MDEE AMKANA ZITTO KABWE
>
>
> nilishangaa sana kwa habari ile, nafarijika kuona hili la leo.
>
>
> 2012/7/24 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
>
> Kwenye barua yake kwenda kwa uongozi wa juu wa gazeti la mwananchi,
> hii ni sehemu ya barua yake.
>
> Nasikitika kutumia nafasi hii kukuandikia kukutaarifu kuwa gazeti lako
> la Mwananchi la Julai 23, 2012, katika habari yake iliyoongoza ukurasa
> wa kwanza (lead story) limenilisha maneno na kunikuu isivyo sahihi.
>
> Katika habari hiyo yenye kichwa cha habari kisemacho "Wabunge
> wamsafishia Zitto njia ya urais 2015," gazeti lako limeandika hivi
> "Mdee aliyepewa nafasi ya kuwasalimia wananchi alisema amekuwa na
> Zitto tangu Chuo kikuu cha Dar es Salaam na kwamba kutokana na ujasiri
> na umahiri wake katika kutetea masilahi ya wanyonge na taifa, anafaa
> kuwa mmoja wa viongozi wa juu katika Taifa."
>
> Gazeti lako pia katika aya iliyofuata limenukuu kuwa mimi nimesema;
>
> *"Ndugu zangu watu wa Kigoma, kwa kweli mna bahati sana, achilia mbali
> kuwa na vipaji katika sanaa ya muziki na michezo hasa mpira wa miguu,
> lakini mna wanasiasa wakali ambao ni tishio hapa nchini. Mimi
> namkubali sana Zitto Kabwe na ninaamini kuna siku atakuwa kiongozi wa
> juu katika nchi yetu," alisema Mdee"
>
> Nasikitika kusema kuwa gazeti lako limeandika habari zisizo za kweli
> kwa kunilisha *maneno na kudai kuwa mimi ndiye nimesema maneno hayo,
> kisha kuyaweka kwenye nukuu, likisema kuwa ni nukuu yangu. Sijajua nia
> au kusudio la gazeti lako kuamua kupotosha ukweli na kushindwa kabisa
> kuninukuu kwa usahihi, kama inavyotakiwa katika misingi ya taaluma ya
> habari.
>
> Nasikitika pia kusema kuwa gazeti lako ambalo limeonekana kujijengea
> heshima miongoni mwa wasomaji wa kada mbalimbali nchini na hivyo
> linapaswa kuwa mfano wa kuigwa, linaweza kusigina misingi ya uandishi
> wa habari na hususan katika kufuata maadili ya taaluma hii muhimu, kwa
> kiwango cha kufanya moja ya dhambi kubwa ya kukilisha maneno chanzo
> cha habari.
>
> Kwa ajili ya kutunza heshima ya gazeti lako, lakini pia kwa ajili ya
> maslahi mapana ya taaluma ya habari na jamii ya Watanzania,
> nakuandikia kulitaka gazeti lako likanushe maneno liliyoninukuu katika
> toleo hilo la Julai 23, 2012. Ni vyema sana hilo likafanyika kwa uzito
> unaostahili kama ilivyoandikwa katika toleo hilo.
>
> Habari hiyo imeniletea usumbufu mkubwa hasa kwa wanachama wa chama
> changu, CHADEMA, ambao wanajua kuwa chama chao makini ni mahiri katika
> kufuata katiba, kanuni na taratibu katika kuendesha mambo yake kwa
> manufaa ya watu wote. Napenda kuwa mmoja wa Watanzania makini na
> viongozi wanaojua wajibu, ikiwemo kufanya nini na kusema nini, mahali
> gani na wakati gani.
>
> Nakutakia utekelezaji mwema katika hilo.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>
>
> --
>
>
> Sent from Samsung Galaxy Ace GT-S 5830 --The future of Android Technology

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment