Wednesday, 25 July 2012

Re: [wanabidii] SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya

Oooh! Dear Kenyans, 
The migrations is not man made, it si ecosystem or naturally made, not any body can send or block the migrations for animals, study more about animals habit please before take decisions like that, we (Tanzanians)ARE NOT OF THAT MINDED LIKE YOU THINK.

God created men in LOVE ,let us live with LOVE

--- On Tue, 7/24/12, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:

From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, July 24, 2012, 12:31 PM

Wakenya wamedata sana
Huwezi kuzuia migration ya hawa wanyama,lakini pia wanyama hawa wanaohama hawaingii wote Masai Mara,kwa kuwa eneo la masai mara ni dogo sana kulinganisha na idadi ya wanyama wanahamao.Eneo la Masai Mara lina ukubwa wa 1000km2,wakati Serengeti national park ina 14,673km2,achilia mbali Serengeti ecosystem yenye zaidi ya 45,000km2.
Ukiachilia mbali udogo wa eneo la Masai mara bado eneo kubwa limejaa hotel,na camps,hivyo kutokuwa mwafaka sana kwa Herbivores.Wanyama wengi hubaki eneo la Kaskazini mwa Serengeti ambalo ni jirani na masai mara ambako pia majani huwa ni kijani 
Wakenya wajilaumu wenyewe kwa kuharibu mbuga zao

On Tue, Jul 24, 2012 at 4:50 PM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Mboje,

I strongly support you by saying SHAME ON KENYANS who purport this message falsefuly for their own interest.
 
K.E.M.S.

From: GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, 24 July 2012, 6:12
Subject: Re: [wanabidii] SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya

The event on the movement of wilderbest to Tanzania  is shown live on this link  http://cctv.cntv.cn/live/cctvxinwen/index.shtml#online

On Tue, Jul 24, 2012 at 3:58 PM, GEORGE MBOJE <mbojegeorge@gmail.com> wrote:
Hawa watu tuwe nao makini na ni waongo sana, sasa hii complai imekuja vipi ilihali kwa sasa wanyama wanashift kuja Tanzania  halafu wanadai moto umechomwa kuzia wanyama kwenda kenya ilihali kwa sasa wanyama wanashift toka kenya kuja Tz.They cant conflict with Nature,. What they are doing is just delays and the worl will understand
to me I say Shame to Kenyans

On Tue, Jul 24, 2012 at 3:44 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:
Watanzania gani wafanye hivyo leo?
Kwa maslahi gani wakati wanyama hao hukaa Kenya miezi mitatu tu kwa mwaka mzima?
Isipokuwa Wakenya wamewahi kuweka seng'eng'e kuwazuia wanyama hawa na kusababisha wengi wao kufa.
Hizi ni propaganda za Wakenya na ndio maana baadhi yetu tunapinga muungano wa Afrika Mashariki kwa sababu wenzetu wana hila.
Huu ni uthibitisho na sitashangaa nikisikia kwamba ni Wakenya ndio waliowasha moto huo.
Matinyi.
 
> Date: Tue, 24 Jul 2012 15:58:35 +0400
> Subject: [wanabidii] SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya
> From: chasmacha@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com

>
> Is there any truth in this story????
>
> SHAME on Tanzanians! They are blocking wildebeests coming to Kenya
> The Kenyan DAILY POST County News 03:38
>
>
> Monday July 23RD 2012 - Tanzanians livings around the Serengeti Game
> Reserve have set the area on fire to block the wildebeest migration.
>
> Their decision to block the wildebeest migration has brought many
> concerns to the Kenyan government. The fires which have so far lasted
> two weeks have delayed hundreds of wildebeests from Serengeti plains
> gathered on the Mara River from crossing into Kenya. Hundreds of acres
> of reserves in the northern Tanzania along the migratory route are
> still on fire and this has been pushing back the animals.
>
> The Mara Game Reserve usually receives many visitors at these times
> when the wildebeest migration kicks off and is the annual tourism peak
> season.
>
> The custodians of the reserve and the Narok County Council have
> appealed to the Ministry of Tourism and that of Foreign Affairs to
> talk with the respective ministries in Tanzania to resolve the
> situation.
>
> Mr. Michael Ole Koikai, the chief warden of the reserve said that
> tourist who started to camp at the banks of river have been forced to
> wait because of the delays brought about by the fire.
>
> He claimed that the animals had attempted to cross twice but could not
> access the river.
>
> "Many tourists are being forced to pay more than they had planned for
> because they don't want to leave before experiencing the spectacular
> 7th wonder of the world,'' Mr Koikai said.
>
> Stakeholders, who are already afraid of losing revenue, have joined
> the call for the government to intervene.
>
> The Kenyan DAILY POST
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152

0 comments:

Post a Comment