Mbowe: Leo kwa niaba yangu, viongozi na wanachama wote wa CHADEMA, tumependa kwa dhati kukukaribisha Lowassa na familia yako. Ujio wako umezua hofu kwani hili ni taifa la hofu. Nimesema hofu kwani imeanzia katika chama chako, wamekuwa wakinipigia simu kwa muda mrefu kuwa mnampokea huyo, atawaharibia chama na mimi nikawahahakishia kwa nguvu zote kuwa Lowassa hawezi kuhamia CHADEMA tena nikasema kwa kizungu 'over my dead body'. Nikajiuliza tangu lini wanaitakia mema CHADEMA, nikajua ni urafiki wa mashaka.
Hofu hii haijaishia kwa CCM bali imeingia hadi CHADEMA, chama hiki ni chetu sote. Chama hiki sio mahakama, simsemi Lowassa ni mtakatifu, nani mmoja wetu humu ndani ni mtakatifu achukue mawe amrushie mwenzake. Taifa hili haliwezi zaidi ya miaka 20, kulipa visasi, kumleta Lowassa katika meza hii haikuwa shughuli nyepesi, tumefanya mashauriano mengi. Eti kwa kuwa tuliwahi kumuita Lowassa mtu mchafu hatuwezi kumkarisha hasa bila ushahidi wa wazi.
-- Hofu hii haijaishia kwa CCM bali imeingia hadi CHADEMA, chama hiki ni chetu sote. Chama hiki sio mahakama, simsemi Lowassa ni mtakatifu, nani mmoja wetu humu ndani ni mtakatifu achukue mawe amrushie mwenzake. Taifa hili haliwezi zaidi ya miaka 20, kulipa visasi, kumleta Lowassa katika meza hii haikuwa shughuli nyepesi, tumefanya mashauriano mengi. Eti kwa kuwa tuliwahi kumuita Lowassa mtu mchafu hatuwezi kumkarisha hasa bila ushahidi wa wazi.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment