Friday 2 September 2016

Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA

Na kwa watu myopiad kama huyu mzee elisa ni vigumu kulielewa...ukuta kwake ni tusi....hajui kuwa vyama vya siasa vina hoja ya msingi sana, kufungia fungia vyombo vya habari ovyo ni dalili tosha za udikteta, na kufungia vyma vya siasa kujijenga ni ukandamizaji mkubwa wa demokrasi...kwa mtu timamu anaejua maana ya demokrasi hawez kunyamaza kimya na kushabikia...ccm na serikali yake ina miss use vibaya madaraka waliopewa, wanatakiwa wafuate katiba......sasa mtu unashabikia wakta uhuru wetu cc wanahabari unatishiwa hafu use et serikaliya ccm inafanya vzr, husomekiiiii

'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Wote mnachangia nini? Kwanini tunakwepa hoja? Chanzo cha UKUTA ni serikali kufungia vyombo vya habari kutangaza habari za Bunge moja kwa moja, susla la pili ni agizo la Rais kufunga mikutano ya siasa hadi 2020, Je ni sahihi hilo? Kwa maana ya Rais hakuna shughuli za kujenga vyama vya siasa isipokuwa CCM tu ambayo itafanya siasa kwa kisingizio cha kufanya shughuli za serikali. Kwa tamko la Rais hakuna kujenga vyama kuelekea uchsguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019. Kwa maoni yangu masuala ya ndani ya vyama hayana msingi wowote ktk kuwataka wananchi kushiriki UKUTA. 

Sent from Samsung Mobile

-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA

Kweli sio CHADMA bali ningetumia neno chama cha siasa cha upinzani.
Sio kweli-Watanzania kama sio CHADEMA kuvuruga wakati wa uteuzi na CCM kujirekebisha mwaka jana CCM isingekuwa madarakani na watanzania wangeiunga mkono CDM
--------------------------------------------
On Fri, 9/2/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, September 2, 2016, 1:01 PM

Kaka
Muhingo.
Naamini suala hapa sio CHADEMA.

Ni siasa zetu Tanzania Bara.

Hawatapata wa kuwaunga mkono hata wakisema nini mpaka ipite
miaka 10 kwanza.

Walewale

On Sep 2, 2016 12:55 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Taifa
lilipokuwa haina altenative ilikuw sahihi wakati huo
kuichagua CHADEMA kuliongoza taifa.Ni kweli kuwa taifa
lingekuwa limetumbukia. Lakini hakukuwa na lakufanya. Mungu
bariki CCM ikajirudi na kuwatimua waliokiwa wanaichafua.
Watanzania tunweza kuendelea kuishinikiza CCM kujisahihisha
huku tukiulea upinzani kwa kuwabakizia viti bungeni. Viti
ambavyo kelele zake zitasikika. Tunakumbuka ambavyo 2008
kelele za wabunge wachache walilibadili taifa. Kulikuwa na
wabunge makini, akina Zitto na Dr. Slaa. Tuaanza akina Lisu
huenda huko tuendako wakarekebisha ndimi zao kuwa za
kistaarabu kidogo. Hawahitaji kuwa wengi ili kutoa
changamoto ya kutosha kwa chama tawala. Wanahitaji kuwa
makini tu.

------------------------------ --------------

On Fri, 9/2/16, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com>
wrote:

 Subject: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA
MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Friday, September 2, 2016, 12:05 PM

 UDIKTETA,

 USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO
WA

 MADARAKA KWENYE KATIBA

 Na Daniel

 Mbega

 FREEMAN

 Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na

 Maendeleo (Chadema)

 anahamaisha wanachama wake wafanye maandamano Septemba
Mosi,

 2016 kwa kile

 anachokiita ni 'Operesheni ya Kupambana na Udikteta

 Tanzania (Ukuta)'.

 Anasema

 Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli

 inaendeshwa kidikteta

 hasa baada ya majaribio yao ya kuitikisa kwa kususia
vikao

 vya Bunge kushindwa

 huku serikali ikipiga marufuku mikutano yote ya siasa
na

 kuwahamasisha wananchi

 wafanye kazi za maendeleo.

 Mbowe

 amekwenda mbali zaidi baada ya kuwatisha viongozi wa
chama

 hicho kwamba yeyote

 ambaye hatashiriki maandamano aliyoyapanga yeye na

 kuwashawishi viongozi wenzake

 wayakubali, basi atakuwa amejitoa kwenye uongozi kwa
sababu

 ni 'msaliti'.

 Niliandika

 hivi karibuni kwamba, lingekuwa jambo la busara sana
kama

 Chadema wangeanza

 kwanza na Operesheni ya Kupambana na Udikteta ndani ya

 Chadema (Ukucha) kabla

 ya kuanzisha Ukuta, lakini baadhi ya watu

 walinikosoa.

 Leo

 nataka kueleza kwamba, ingawa viongozi wa Chadema
wamekuwa

 na kawaida ya

 kukanusha kwa nguvu zote huku wafuasi wao wasiopenda

 kujiongeza kwa kutafakari

 mara mbili wakiunga mkono, lakini udikteta umeshamiri
ndani

 ya chama hicho na

 zaidi kuna usultani uliotamalaki. SOMA

 ZAIDI: http://goo.gl/kxKXKk

 --

 DANIEL MBEGA

 INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER &

 PUBLISHER

 CELL: +255 767 939 319/
+255 715 070 109

 WHAT'S APP: +255 656
331 974

 BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com

                www.brotherdanny5.blogspot.com

 "Kama

 hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?"

 ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es

 Salaam, 1995

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment