Friday, 30 September 2016

Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM NIELIMISHENI

Jarbu kumwelimisha Masanja labda atakuelewa maana wengine ameishakuwa alergic to our comments.
--------------------------------------------
On Fri, 9/30/16, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM NIELIMISHENI
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, September 30, 2016, 9:11 PM

Walitoa kujikosha Tu!
Chombo gani cha habari kilirusha?
On 30 Sep 2016 12:21,
"Ezekiel Massanja" <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:Elisa, mimi nilidhani hukujua tu kwamba tamko
lilitolewa, lakini naona kwa muendelezo huu, shida ni zaidi
ya tamko kutoka asasi za haki za binadamu. Basi, nafikiri
nikuache ufanye kazi yako uliyopewa au uliyojipa nisipoteze
muda wangu bure.2016-09-30 12:06
GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Masanja rudi nyuma ufanye homework
zaidi.

Baada ya mauaji kuna kiongozi nadhani Mkuu wa mkoa aliyesema
wauaji wauwawe. Tume ya haki za binadamu ikamvaa. Baada ya
tamko la kumvaa mkuu wa mkoa tukaivaa ndipo (nadhani) ikatoa
tamko. Linalosemwa lipo fuatilia sana.

------------------------------ --------------

On Fri, 9/30/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM
NIELIMISHENI

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Friday, September 30, 2016, 10:45 AM Ndiyo maana

 Elisa nakuambia huwa sikuelewi kwenye mambo mengi

 unayochangia kwa kupotosha ukweli, na unategemea sana
tabia

 ya watanzania ya kutopenda kusoma kuwadanganya. Kituo Cha

 Sheria na Haki za Binadamau kilitoa tamko pale askari
wetu

 chapa kazi walipopata mkasa wa kuuliwa na majambazi. Na
hili

 sio jambo la kutolea kebehi kama unavyofanya hapa, kwa
vile

 askari polisi ni combo muhimu sana katika kulinda usalama
wa

 raia na mali zao. Tukiruhusu watu wenye agenda zisizokuwa
na

 mashiko kutumia kuuwawa kwa walinda amani wetu hawa ni

 kuruhusu ujinga usio kifani kututawala. Ni bora ukatafuta

 mada nyingine kupotezea muda wako.

 Nimeambatanisha hapa tamko

 lililotolewa ili usizidi kudanganya watu. Fuatilia mambo
ya

 Haki za Binadamu yanayotokea nchi hii kwenye tovuti hii:
www.humanrights.or.tz 2016-09-29 22:11
GMT+03:00

 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Basi ipo haja
kurudi nyuma na kuunganisha maneno. HAKI NA

 WAJIBU WA BINADAMU. Kama kweli madhali mtu kavaa magwanda ya uaskari
akifaniwa

 gasia na mtu ambaye hakuvaa magwanda basi wanaharakati

 wanakaa kimya hiyo ni kasoro kubwa maana na askari ni

 binadamu. Kama kundi la watu likiji-organise na kuanza

 kunyanyasa maaskari mwanaharakati hahusiki nalo basi

 uanaharakati ni ajera mbaya ----------------------------- - -------------- On Thu, 9/29/16, Telesphor

 Magobe <tmagobe@gmail.com>

 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA
BINAADAM

 NIELIMISHENI  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>  Date:
Thursday, September 29, 2016, 3:07 PM  1.Kwa maoni yangu, haki  za binadamu ni kanuni za msingi za maisha zinazopaswa  zilindwe na mamlaka ya nchi ili raia waishi maisha ya

 heri  (kanuni zinazolinda ustawi wa raia na mali zao).  2. Kanuni hizi za msingi ni kama  vile: kuishi, kuheshimiwa, kupata riziki halali ya

 maisha,  kutekeleza majukumu ya kifamilia, kijamii, kupata

 elimu,  huduma za afya, maendeleo nk.  3.  Jambazi kumwua polisi au raia au mume kumpiga mkewe au

 mtoto  ni mambo ambayo yako nje ya haki za binadamu, lakini

 yako  ndani ya makosa ya jinai kwa mujibu wa sheria za nchi.

 Ila  polisi au mtu yeyote mwenye mamlaka ya kiserikali

 akimwua  raia (kama si katika kujilinda au katika kutekeleza

 wajibu  wake kisheria na unaoendana na kanuni za kimataifa  zinazolinda ustawi wa watu) basi hata hapo haki za

 binadamu  zimeguswa.  4. Kimsingi, haki za  binadamu ni madai halali dhidi ya mamlaka ya nchi -

 yaani  yale ambayo mamlaka ya nchi inapaswa iyatekeleze kwa

 raia  wake.  5. Mamlaka ya nchi ikitekeleza  inakuwa kwamba nchi fulani inaheshimu haki za binadamu

 na  ikishindwa/kukiuka au kupuuza inakuwa kwamba nchi

 fulani  inavunja haki za binadamu.     2016-09-29
14:11 GMT+03:00  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:  Loh swali  zuri sana. Na mimi ni mmoja kati ya watakaofaidika japo  nilikuwa naona aibu kuuliza.  Zamani sana katika mjadala mwanasheria mmoja alibwatuka

 neno  ovu kabisa Akaseka " LENGO KUU LA HAKI ZA BINADAMU

 NI  KUMTENGANISHA MWANADAMU NA MUNGU" Kabla hajaongeza  nikamvaa. Nikamshambulia.Akaniangalia kwa dharau.
Mwisho

 wa  maneno yangu akasema "Wewe ndugu naona una akili.  Subiri wakati ukifika tumia akili zako kuelewa."  Nikamuuliza wakati gani? Akasema pale itakapotangazwa

 kuwa  NGONO NI HAKI ZA BINADAMU. Nikamwambia mpaka kurudi kwa

 Yesu  hakutatokea kitu hicho. Ilipotokea namtafuta sana

 kuntaka  radhi.  Jingine: Huwezi kuwasikia wanaharakati majambazi

 wanapomuua  Polisi. Hawathibutu kusema. Lakini Polisi akithubutu tu  hutajua walikotokea.  Jingine: Kuna mataifa ndiyo tu yanayoweza kutoa tafsiri

 ya  gaidi. Angola ilipambana na gaidi Savimbi lakini

 usingesikia  akiitwa gaidi labda Nyerere tu. Ghadafi aliitwa gaidi

 na  mataifa hayo kila mwanaharakati akamwita gaidi. Kuna

 mmoja  nilimuuliza kwanini unamwita Gadafi gaidi akaniuliza

 kama  juzi nilisikiliza VoA. Yaani kwake ni gaidi kwa sababu

 VoA  ilimwita gaidi. Sasa hivi Urusi inaisaidia Syria

 kupambana  na magaidi lakini husikii wanaharakati wakisema. Ila

 Asaad  ndiye anaitwa muuaji. Ukiuliza watasema Husikii VoA

 nini?  Atakayejibu atusaidie mpaka huko.  Muhingo  ---------------------------- -- --------------  On Wed, 9/28/16, 'Mashaka Makana' via Wanabidii  <wanabidii@googlegroups.com>  wrote:   Subject: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM  NIELIMISHENI   To: "wanabidii@googlegroups.com"  <wanabidii@googlegroups.com>   Date: Wednesday, September 28, 2016, 3:35 PM   Habari   wote katika jamii! Naomba kufahamu MSINGI wa

 kuanzisha   shirika la kutetea haki za binaadamu! Mwezi huu

 wenzetu  wa   Kagera walipatwa na madhara ya kuumia na wengine  kufariki.   Nini mchango wa wanaharakati wa haki za binaadamu kwa   majanga ya aina hii? Au kwa uhalisia wanaharakati wa

 haki  za   binaadamu mmefanya nini kwa tukio hilo? Mbona

 hamsikiki  kama   ilivyo katika matukio mengine mfano police wakitumia  nguvu   zaidi kudhibiti mfano waandamaji- mara moja utaona au   kusikia mikutano na waandishi wa habari kutoa matamko  ya   kulaani na nk.    Kwali lingine naomba kuelimishwa, mtu aliekufa ana   haki gani kama kifo chake kilitokana na kupigwa au  kunyongwa   au kupigwa risasi na wahalifu? Hapo je, wanaharakati  hakuna   kazi ya kufanya? Hili swali linawahusu pia wale  wanaopinga   adhabu ya kifo. Mfano mdogo tu, janga la tetemeko  limeua   watu Kagera na wengine wengi wanalala nje na wengine   darasani na watoto wanasoma na wahanga wakiendelea  kuishi   darasanina wengine kuhitaji matibabu na makazi halafu   unasikia au kushuhudia mtu au kikundi cha watu  wanahujumu   michango hiyo ya wahanga! Je huyu si muuaji? kwa nini   asiuawe au wasiuawe hawa?   Naomba kuelimishwa!   --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com 

 Utapata Email ya   kudhibitisha ukishatuma       Disclaimer:   Everyone posting to this Forum bears the sole  responsibility   for any legal consequences of his or her postings,

 and  hence   statements and facts must be presented responsibly.  Your   continued membership signifies that you agree to this   disclaimer and pledge to abide by our Rules and  Guidelines.   ---   You received this message because you are subscribed

 to  the   Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this group and stop receiving  emails   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com.   For more options, visit https://groups.google.com/d/  optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com  Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha  ukishatuma  Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings, and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/  optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings, and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.

 -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googleg
roups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly. Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/op
tout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegr
oups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/op
tout.


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment