Tuesday, 27 September 2016

Re: [wanabidii] Hoja 11 zamrejesha Prof. Lipumba CUF

Lipumba anahangaishwa na uzalendo wake kwa Tanzania na mwisho wa uvumilivu wake kwa Dictator Seifu.
Uzalendo wake na uvumilivu wake kwa seif ulimfanya asitumie mamlaka ya uendeyekiti wake kuongoza CUF kumkataa Lowasa. Seifu kwa mkakati wake kuvunja muungano akamkubali Lowasa akiotarajia kushinda zqanzibar na Lowasa Bara uwe mwisho wa muungano. Sasa Lipumba baada ya kuona alichotaka kimetokea na Lowasa hakushinda hataki tena kuunga mkono upuuzi. Huku akishinikizwa na wanachama wenye maono ya mbali na mwanya katika Katiba akaamua kurudi.
--------------------------------------------
On Tue, 9/27/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Hoja 11 zamrejesha Prof. Lipumba CUF
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, September 27, 2016, 11:13 AM

Exactly
Kim;Nami
napata shida kuelewa kama anakumbuka kwamba yeye ana rank
gani ya kielimu japo sio justification ya kuwa vizuri katika
nyanja nyingine.Lakini
hatakiwi kuwa chanzo cha vurugu and unrest katika Taasisi
yoyote.Anatakiwa kuwa mfano wa kuigwa.Kama
alikuwa anaitaji hiyo cheo kwanini aliachia?alikuwa anataka
kubembelezwa na kutukuzwa?Mambo ingine
bhana... ReubenOn Tuesday, September
27, 2016 10:00 AM, De kleinson kim
<dekleinson@gmail.com> wrote:

Kwa nini Profesa
anang'ang'ania sana hiyo nafasi?? tena kwa fujo na
vurugu za wafuasi wake. anakomoana/kushindana na nani??
I don't get this part!!

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to
authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo
daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment