Tuesday, 27 September 2016

Re: [wanabidii] Hoja 11 zamrejesha Prof. Lipumba CUF

Exactly Kim;
Nami napata shida kuelewa kama anakumbuka kwamba yeye ana rank gani ya kielimu japo sio justification ya kuwa vizuri katika nyanja nyingine.
Lakini hatakiwi kuwa chanzo cha vurugu and unrest katika Taasisi yoyote.Anatakiwa kuwa mfano wa kuigwa.
Kama alikuwa anaitaji hiyo cheo kwanini aliachia?alikuwa anataka kubembelezwa na kutukuzwa?Mambo ingine bhana...
 
ReubenOn Tuesday, September 27, 2016 10:00 AM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:


Kwa nini Profesa anang'ang'ania sana hiyo nafasi?? tena kwa fujo na
vurugu za wafuasi wake. anakomoana/kushindana na nani??
I don't get this part!!

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment