Friday, 30 September 2016

Re: [wanabidii] JEE UNASUMBULIWA NA MAGONJWA SUGU?

Hilder asante sana madam let me do that

'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Tiba Asili ina Sera na Sheria Tanzania na Baraza la Tiba asili na Tiba Mbadala la Wizara ya Afya lina mikakati na hutoa mafunzo kwa watu wa Tiba Asili na Wakunga wa jadi. Pia kuna mpango wa kuanzisha kiwanda cha kufyatua dawa za miti shamba kwa kiwango kinachokubalika ambazo zimefanyiwa tafiti ya Institute of Research in Traditional Medicine, kuthibitishwa na NIMR na TFDA zifungwe inavykubalika na lebo na namba na kila kitu kinachohusu dawa hizo kwa kuzingatia pia miongozo ya Kimataifa ya WHO kuhusu Tiba Asili na Mbadala. Kiwanda kitahusisha kuanzisha mashamba (estate farms) ya miti na mimea dawa ambapo watakaomiliki mashamba hayo watauza na ,upata kipato. Watakaokuwa wabia ktk kiwanda watapata % za mapato huku huduma zikiboresha kwa watu wa Tiba Asili kwa kuzingatia Sera na Sheria ya Tiba hizo. Dawa za Cancer (Simu Prof Shazai 0772003383/0787213383) wanapona kushindwa Ocean road lakini hapa mifano ya waliopona ipo; Kujua utapata kwa nani dawa ya maradhi gani kwa Tiba Asili aliyeandikishwa Wizara ya Afya Mpigie Mr Bonaventura Mwalongo Katibu Mkuu wa TRAMEPRO (Tanzania Association of Traditional Medicine and Environmental Protection) simu 0784147487/0755371482.
>
>Tiba Asili ni tofauti na Wachawi hao ambao hutuma watu kukata mikono ya wenye Ualbino. Hao wenye mabango ya kutangaza uchawi/ushirikina ambao matangazo yao yapo mitaani katika barabara, miti ya umeme na viwambaza vya nyumba/majengo. Hawa wanaotangaza dawa za jini chuma ulete au hirizi ya jini chuma ulete utajirike; pete ya bahati, kuvuta mazao, mifugo kuzaliana kwa wingi bila ya kufa, kurudisha mali iliyoibiwa na mtu au kudhulumiwa, kupandishwa cheo kazini, bosi au mume akupende wewe tu, kupata kazi au kufaulu mitihani, kushinda kesi mahakamani , mali za kimajini, kurudishwa kazi au shule kama umefukuzwa, pete ya bahati, uhusiano wa kimapenzi siku mbili tu uoe au uolewe, kurudisha mali iliyoibiwa kwa masaa matatu tu umeipata; kurudia tendola ndoa mara nyingi utakavyo; kumvuta aliye,bali siku 7 tu anakuja na dawa ya kukuza uelewa darasani; kumnasa mwizi; pete ya freemason na kujiunga nao upate majumba, magari na utajiri utakao etc. Simu zao wanaziweka katika mabango na kutangaza haya magazetini. Wanalipia matangazo haya na yanaonekana katika magazeti kea mfano gazeti la Wembe, Mikasa na Mengineo. Viongozi husika wanapita mitaani na barabara kuu yalipo mabango haya wanayaona lakini hatuoni hatua kuchukuliwa. Wanaona magazetiyanayotangaza masuala haya na kujipatia fedha. Huenda Kodi za Mabango zinakusanywa na Serikali za Mitaa ili kupata kipato bila ya kujali Sera na Sheria zilizopo kuhusu Tiba Asili VS Ushirikina na utangazaji wa Ushirikina ktk vyombo vya Habari na Mabango yasiyoruhusiwa! Ila tunashughudia uvamizi ya akina Dr Mwaka na wengineo sio hizi Media na Mabango yenye Majina ya Waganga hao wengine huandika-Mkuu wa Wachawi Sumbawanga, kutoka Nigeria etc!
>
>Attached please find information on Traditional and alternative medicine in TZ na makala mengineyo. International Courses kwenye Tiba Asili zipo na TZ iliwasomesha China madaktari ambao wapo ktk Baraza ya Wizara ya Afya la Tiba Asili. Kama ni daktari wa medicine utasoma tu course za culture, diseases and healing ili uelewe jinsi utamaduni, imani na matendo yake zinavyosababisha na kusambaza magonjwa ili uweze kuzuia magonjwa na kuelimisha ipazavyo na kuyatibu yanayotibika kwa dawa za kisasa badala ya kuwaacha watibu kienyeji ambazo hayatibiki hivyo. Ni mitiashamba au miti dawa inayosagwa na kutengenezwa vidonge au liquids zinazotumika kutibu hospitali. Pamoja na ugunduzi mwingine wa kutengeneza Tiba na Vaccines-Miti dawa muhimu ilindwe na kupandwa na Tiba Asili ni tofauti na Uchawi na Ushirikina.
>
>Tiba ya Vidonda vya tumbo, Pumu, Kichwa sugu, kisukari wanayo. Kliniki ya PHK (Pona Kisukari Haraka-0713622338) ipo Africana imeanzishwa na Afisa wa JWTZ major mmojawapo ambae aliponyeshwa kisukari kwa miti shamba naye akajifunza na kujiandikisha na anatibu watu kisukari.
>
>Kazi zetu za jamii ndio zimetufikisha kuyafahamu haya na kuwashirikisha vijijini waganga wa tiba asili, wakunga, ngariba katika mafunzo mbalimbali ya afya. Kutakuwa na Health Summit Dar Novemba 2016 ambapo Tiba Asili (TABIBU) wameshirikishwa katika maandalizina watakuwepo na kuweka maonyesho yao; kutakuwa na Zonal training workshops za TRAMEPRO kuelimisha TIba Asili masuala mengi ya sera, sheria, kujiandikisha, HIV etc ambapo Wizara husika zimetoa kibali na zitashirikisha watumishi wa serikali ktk kuelimisha Traditional Herbalists. Kunakuwaga na maonyesho kitaifa na Kimataifa ya Tiba Asili hapa TZ mara nyingi mnazi mmoja displays za madawa, elimu kwa watenja. Ukifika unakuta Dawa za Typhoid na magonjwa mengineyo. Hapo Reuben utapata ushauri wa wataalamu ambao dawa zao zimepimwa kuangaliwa chemical levels, healing power kama zinatibu kweli waliothibitishwa na serikali.
>
>Tumia dawa zilizopimwa ili usije ukaongeza vidonda vya tumbo au kula sumu zitakazokudhuru maini, mapafu, utumbo, figo, macho ukawa kipofu!
>
>
>
>
>
>
>
>
>--------------------------------------------
>On Fri, 30/9/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] JEE UNASUMBULIWA NA MAGONJWA SUGU?
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, 30 September, 2016, 7:35
>
> Charles
> habari ya leo?Naona
> mnasambaza bidhaa ambazo zinaweza kutusaidia wengi,jambo la
> msingi ziwe za kweli na sio magirini
> magirini.Binafsi
> nasumbuliwa na Vidonda vya tumbo,nimetumia dawa mingi lakini
> sioni nafuu zaidi ya kupata gharama tena toka kwa watu ambao
> pia wanajitangaza kama hivi.Ntawasiliana
> nawe soon kwa namba uliyotoa hapo juu.But
> sio mbaya pia kama unaweza kujibu mail hii japo sorry kwa
> kuiweka katika group mana sina email yako
> binafsi.Sorry
> Wanabidii  kama ntawakera. Reuben
>
>
>
>
> On Thursday,
> September 29, 2016 7:05 PM, 'Charles Nazi' via
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>
>
>
> Tunasambaza bidhaa za afya ambazo zinaimarisha mwili na
> kupambana na
> magonjwa kama vile Kansa kisukari, vidonda vya tumbo HIV,
> utasa,tezi
> dume, shinikizo la damu,mabusha, uvimbe wa ndani na nje ya
> mwili,mtindio
> was ubongo,upotevu wa kumbukumbu,figo,mfumo wa uzazi. Kwa
> maelezo zaidi
> wasiliana nami kwa simu namba 0784394701 CHARLES
> NAZI
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment