Thursday, 29 September 2016

Re: [wanabidii] JEE UNASUMBULIWA NA MAGONJWA SUGU?

Charles habari ya leo?
Naona mnasambaza bidhaa ambazo zinaweza kutusaidia wengi,jambo la msingi ziwe za kweli na sio magirini magirini.
Binafsi nasumbuliwa na Vidonda vya tumbo,nimetumia dawa mingi lakini sioni nafuu zaidi ya kupata gharama tena toka kwa watu ambao pia wanajitangaza kama hivi.
Ntawasiliana nawe soon kwa namba uliyotoa hapo juu.
But sio mbaya pia kama unaweza kujibu mail hii japo sorry kwa kuiweka katika group mana sina email yako binafsi.
Sorry Wanabidii  kama ntawakera.
 
ReubenOn Thursday, September 29, 2016 7:05 PM, 'Charles Nazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:Tunasambaza bidhaa za afya ambazo zinaimarisha mwili na kupambana na magonjwa kama vile Kansa kisukari, vidonda vya tumbo HIV, utasa,tezi dume, shinikizo la damu,mabusha, uvimbe wa ndani na nje ya mwili,mtindio was ubongo,upotevu wa kumbukumbu,figo,mfumo wa uzazi. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa simu namba 0784394701
CHARLES NAZI
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment