Friday, 30 September 2016

Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM NIELIMISHENI
Elisa, mimi nilidhani hukujua tu kwamba tamko lilitolewa, lakini naona kwa muendelezo huu, shida ni zaidi ya tamko kutoka asasi za haki za binadamu. Basi, nafikiri nikuache ufanye kazi yako uliyopewa au uliyojipa nisipoteze muda wangu bure.
2016-09-30 12:06 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Masanja rudi nyuma ufanye homework zaidi.
Baada ya mauaji kuna kiongozi nadhani Mkuu wa mkoa aliyesema wauaji wauwawe. Tume ya haki za binadamu ikamvaa. Baada ya tamko la kumvaa mkuu wa mkoa tukaivaa ndipo (nadhani) ikatoa tamko. Linalosemwa lipo fuatilia sana.
--------------------------------------------
On Fri, 9/30/16, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM NIELIMISHENI
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Friday, September 30, 2016, 10:45 AM Ndiyo maana
 Elisa nakuambia huwa sikuelewi kwenye mambo mengi
 unayochangia kwa kupotosha ukweli, na unategemea sana tabia
 ya watanzania ya kutopenda kusoma kuwadanganya. Kituo Cha
 Sheria na Haki za Binadamau kilitoa tamko pale askari wetu
 chapa kazi walipopata mkasa wa kuuliwa na majambazi. Na hili
 sio jambo la kutolea kebehi kama unavyofanya hapa, kwa vile
 askari polisi ni combo muhimu sana katika kulinda usalama wa
 raia na mali zao. Tukiruhusu watu wenye agenda zisizokuwa na
 mashiko kutumia kuuwawa kwa walinda amani wetu hawa ni
 kuruhusu ujinga usio kifani kututawala. Ni bora ukatafuta
 mada nyingine kupotezea muda wako.
 Nimeambatanisha hapa tamko
 lililotolewa ili usizidi kudanganya watu. Fuatilia mambo ya
 Haki za Binadamu yanayotokea nchi hii kwenye tovuti hii: www.humanrights.or.tz

 2016-09-29 22:11 GMT+03:00
 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Basi ipo haja kurudi nyuma na kuunganisha maneno. HAKI NA
 WAJIBU WA BINADAMU.

 Kama kweli madhali mtu kavaa magwanda ya uaskari akifaniwa
 gasia na mtu ambaye hakuvaa magwanda basi wanaharakati
 wanakaa kimya hiyo ni kasoro kubwa maana na askari ni
 binadamu. Kama kundi la watu likiji-organise na kuanza
 kunyanyasa maaskari mwanaharakati hahusiki nalo basi
 uanaharakati ni ajera mbaya

 ------------------------------ --------------

 On Thu, 9/29/16, Telesphor
 Magobe <tmagobe@gmail.com>
 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM
 NIELIMISHENI

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Thursday, September 29, 2016, 3:07 PM  1.Kwa maoni yangu, haki

  za binadamu ni kanuni za msingi za maisha zinazopaswa

  zilindwe na mamlaka ya nchi ili raia waishi maisha ya
 heri

  (kanuni zinazolinda ustawi wa raia na mali zao).

  2. Kanuni hizi za msingi ni kama

  vile: kuishi, kuheshimiwa, kupata riziki halali ya
 maisha,

  kutekeleza majukumu ya kifamilia, kijamii, kupata
 elimu,

  huduma za afya, maendeleo nk.

  3.

  Jambazi kumwua polisi au raia au mume kumpiga mkewe au
 mtoto

  ni mambo ambayo yako nje ya haki za binadamu, lakini
 yako

  ndani ya makosa ya jinai kwa mujibu wa sheria za nchi.
 Ila

  polisi au mtu yeyote mwenye mamlaka ya kiserikali
 akimwua

  raia (kama si katika kujilinda au katika kutekeleza
 wajibu

  wake kisheria na unaoendana na kanuni za kimataifa

  zinazolinda ustawi wa watu) basi hata hapo haki za
 binadamu

  zimeguswa.

  4. Kimsingi, haki za

  binadamu ni madai halali dhidi ya mamlaka ya nchi -
 yaani

  yale ambayo mamlaka ya nchi inapaswa iyatekeleze kwa
 raia

  wake.

  5. Mamlaka ya nchi ikitekeleza

  inakuwa kwamba nchi fulani inaheshimu haki za binadamu
 na

  ikishindwa/kukiuka au kupuuza inakuwa kwamba nchi
 fulani

  inavunja haki za binadamu.

     2016-09-29 14:11 GMT+03:00

  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

  Loh swali

  zuri sana. Na mimi ni mmoja kati ya watakaofaidika japo

  nilikuwa naona aibu kuuliza.  Zamani sana katika mjadala mwanasheria mmoja alibwatuka
 neno

  ovu kabisa Akaseka " LENGO KUU LA HAKI ZA BINADAMU
 NI

  KUMTENGANISHA MWANADAMU NA MUNGU" Kabla hajaongeza

  nikamvaa. Nikamshambulia.Akaniangalia kwa dharau. Mwisho
 wa

  maneno yangu akasema "Wewe ndugu naona una akili.

  Subiri wakati ukifika tumia akili zako kuelewa."

  Nikamuuliza wakati gani? Akasema pale itakapotangazwa
 kuwa

  NGONO NI HAKI ZA BINADAMU. Nikamwambia mpaka kurudi kwa
 Yesu

  hakutatokea kitu hicho. Ilipotokea namtafuta sana
 kuntaka

  radhi.  Jingine: Huwezi kuwasikia wanaharakati majambazi
 wanapomuua

  Polisi. Hawathibutu kusema. Lakini Polisi akithubutu tu

  hutajua walikotokea.  Jingine: Kuna mataifa ndiyo tu yanayoweza kutoa tafsiri
 ya

  gaidi. Angola ilipambana na gaidi Savimbi lakini
 usingesikia

  akiitwa gaidi labda Nyerere tu. Ghadafi aliitwa gaidi
 na

  mataifa hayo kila mwanaharakati akamwita gaidi. Kuna
 mmoja

  nilimuuliza kwanini unamwita Gadafi gaidi akaniuliza
 kama

  juzi nilisikiliza VoA. Yaani kwake ni gaidi kwa sababu
 VoA

  ilimwita gaidi. Sasa hivi Urusi inaisaidia Syria
 kupambana

  na magaidi lakini husikii wanaharakati wakisema. Ila
 Asaad

  ndiye anaitwa muuaji. Ukiuliza watasema Husikii VoA
 nini?

  Atakayejibu atusaidie mpaka huko.  Muhingo  ------------------------------ --------------  On Wed, 9/28/16, 'Mashaka Makana' via Wanabidii

  <wanabidii@googlegroups.com>

  wrote:   Subject: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM

  NIELIMISHENI   To: "wanabidii@googlegroups.com"

  <wanabidii@googlegroups.com>   Date: Wednesday, September 28, 2016, 3:35 PM   Habari   wote katika jamii! Naomba kufahamu MSINGI wa
 kuanzisha   shirika la kutetea haki za binaadamu! Mwezi huu
 wenzetu

  wa   Kagera walipatwa na madhara ya kuumia na wengine

  kufariki.   Nini mchango wa wanaharakati wa haki za binaadamu kwa   majanga ya aina hii? Au kwa uhalisia wanaharakati wa
 haki

  za   binaadamu mmefanya nini kwa tukio hilo? Mbona
 hamsikiki

  kama   ilivyo katika matukio mengine mfano police wakitumia

  nguvu   zaidi kudhibiti mfano waandamaji- mara moja utaona au   kusikia mikutano na waandishi wa habari kutoa matamko

  ya   kulaani na nk.    Kwali lingine naomba kuelimishwa, mtu aliekufa ana   haki gani kama kifo chake kilitokana na kupigwa au

  kunyongwa   au kupigwa risasi na wahalifu? Hapo je, wanaharakati

  hakuna   kazi ya kufanya? Hili swali linawahusu pia wale

  wanaopinga   adhabu ya kifo. Mfano mdogo tu, janga la tetemeko

  limeua   watu Kagera na wengine wengi wanalala nje na wengine   darasani na watoto wanasoma na wahanga wakiendelea

  kuishi   darasanina wengine kuhitaji matibabu na makazi halafu   unasikia au kushuhudia mtu au kikundi cha watu

  wanahujumu   michango hiyo ya wahanga! Je huyu si muuaji? kwa nini   asiuawe au wasiuawe hawa?   Naomba kuelimishwa!   --   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com       Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com 
 Utapata Email ya   kudhibitisha ukishatuma       Disclaimer:   Everyone posting to this Forum bears the sole

  responsibility   for any legal consequences of his or her postings,
 and

  hence   statements and facts must be presented responsibly.

  Your   continued membership signifies that you agree to this   disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.   ---   You received this message because you are subscribed
 to

  the   Google Groups "Wanabidii" group.   To unsubscribe from this group and stop receiving

  emails   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com.   For more options, visit https://groups.google.com/d/

  optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com  Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha

  ukishatuma  Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/

  optout.

  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.
 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment