Thursday 29 September 2016

Re: [wanabidii] Hoja 11 zamrejesha Prof. Lipumba CUF

Uzalendo sio lazima uwe mwenyekiti maana after all nafasi hiyo ni moja
Lakini katika hali ya sasa ndani ya taasisi hakuna namna ya kumkabili Seif zaidi ya kufanya anachokifanya Lipumba
--------------------------------------------
On Wed, 9/28/16, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Hoja 11 zamrejesha Prof. Lipumba CUF
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, September 28, 2016, 10:45 AM

Hivi
uzalendo kwa nchi yako lazima uwe mwenyekiti wa chama hicho
hicho. kwani hawezi kuanzisha chama kingine na akatafuta
wafuasi wengine? there's must be something fishy behind
our Prof. 
Kinachokera
zaidi ni msomi ambaye angeweza kuisaidia nchi kutokana na
profession yake lakini huu uking'ang'anizi wake
naona kama anadhalilisha taaluma yake
2016-09-27 15:04 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Sio Emma.
Msajili hakuamua.. Amesema kilichopo.

Walimpelekea malalamiko. (waliompelekea walitaka awasaidie
kutafsiri kinachowashinda) Akaamua kuwasikiliza waye nza
akawatangazia kwa mujibu wa malalamiko hyao na kwsa
kuzingatia katiba na myongozo waliyojiwekea basi Lipumba ni
mwenyekit. Ni kama kumu liza kuwa leo ni siku gani>
Akikujibu ni Jumanne hawi yeye kaifanya jumanne bali
ndiyo

------------------------------ --------------

On Sun, 9/25/16, Emmanuel
Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:



 Subject: Re: [wanabidii] Hoja 11 zamrejesha Prof. Lipumba
CUF

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Sunday, September 25, 2016, 8:35 PM



 Suali

 linalouliza ni lini msajili wa vyama akawa na mamlaka

 kuamulia vyama vya siasa mambo yao ya

 ndani?em

 2016-09-25 9:34 GMT-04:00

 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:

 Mamluki

 wa ccm na kwa kua anatumiwa lazima watafute namna ya

 kuhakikisha anakuja kuharibu ukawa

 Bytheway...mgogoro huu una lengo la kuharibu

 ukawa na haswa Chadema lakini kwa navyofaham chadema

 wanalijua hilo, kwa kua mzee seif nae kashindwa na huyu
ma

 luki wake, sasa bora watimke ukawa, na wale watu
wanaoamini

 ktk mabadi.iko walioko Cuf warud chadema CUF bora
iishie

 hapo Chadema in uwezo wa kusonga mbele yenyewe bila
hawa

 mamluki

 Wanaofurahia ni ccm kwamba

 wameshinda lakini ukitizama kwa jicho la ndani utaona

 tu.....lipumba na pumba zake anavyotumika kuua jitihada
za

 upinzani nchini......aluta continuaaaaa



 'mpombe mtalika' via

 Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:



 HOJA 11 zilizotolewa na

 Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji

 Francis Mutungi, zimetosha kumrejesha katika wadhifa
wake,

 Mwenyekiti

 'aliyejiuzulu' wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa

 Ibrahim Lipumba.



 Mbali ya Lipumba viongozi wengine ambao msimamo wa

 Msajili

 unawarejesha madarakani moja kwa moja baada ya
kusimamishwa

 na Baraza

 Kuu la Uongozi la CUF, katika kikao chake cha Agosti
30,

 mwaka huu

 kilichofanyika jijini Dar es Salaam ni Naibu Katibu
Mkuu

 Bara Magdalena

 Sakaya ambaye pia ni Mbunge wa Kaliua na Naibu Mkurugenzi
wa

 Habari

 Taifa, Abdul Kambaya.

 Wengine ni Mbunge wa Mtwara, Maftaha Nachuma, wajumbe

 wa Baraza Kuu

 Taifa, Masudi Omari Mhina, Thomas Malima, Ashura Mustafa
na

 Kapasha

 Kapasha. Pia Musa Haji Kombo, Habibu Mnyaa na Haroub
Shamis

 ambao

 wataendelea kuhesabika kama wanachama halali wa chama

 hicho.

 Katika barua yake kwa viongozi wa CUF, Msajili alieleza

 kuwa amefikia

  msimamo wake huo baada ya kupata nafasi ya kusikiliza
pande

 zote

 zinazosigana katika mgogoro huo wa uongozi ndani ya
chama

 hicho.

 Alisema katika kufikia maamuzi hayo amezingatia Mamlaka

 na wajibu wa

 Msajili kushughulikia mgogoro huo, Kujiuzulu kwa
Profesa

 Lipumba,

 Profesa Lipumba kutengua barua yake ya kujiuzulu, Uhalali
wa

 Mkutano

 Mkuu Maalumu wa CUF wa Agosti 21, mwaka huu na baadhi
ya

 wajumbe wa

 Mkutano Mkuu Maalumu kuhitaji Profesa Lipumba aitwe
katika

 chumba cha

 mkutano kujieleza.

 Nyingine ni uhalali wa kura zilizopigwa kukubali au

 kukataa Profesa

 Lipumba kujiuzulu, uhalali wa kikao cha Baraza Kuu la

 Uongozi la Taifa

 la Agosti 28, mwaka huu, utaratibu wa kuchukua hatua za

 kinidhamu,

 uhalali wa kamati iliyoundwa na Baraza Kuu la Uongozi
la

 Agosti 28 ili

 kufanya kazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Taifa
na

 mwisho ni

 kuhusu uhalali wa uteuzi wa viongozi wa kitaifa
uliofanywa

 na kikao cha

 Baraza Kuu la Uongozi la Taifa cha Agosti 28, mwaka

 huu.

 Kutokana na hoja hizo, Jaji Mutungi katika taarifa yake

 kwa vyombo

 vya habari jana alisema: "Hivyo, baada ya upembuzi
kama

 nilivyobainisha

 hapo juu, msimamo na mwongozo wangu ni kwamba Profesa

 Ibrahim Lipumba

 bado ni Mwenyekiti halali wa Taifa wa CUF na
walalamikaji

 wanachama

 waliosimamishwa na waliofukuzwa uanachama wote bado ni

 wanachama halali

 wa CUF.

 "Aidha viongozi ambao uongozi wao uliathirika na

 maamuzi yasiyo

 halali ya kikao cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa cha

 Agosti 28, mwaka

 huu, bado ni viongozi halali. Natumia fursa hii kuwapa

 angalizo kwamba,

 kwa kuwa kamati iliyoundwa kuongoza chama na viongozi

 walioteuliwa na

 kikao hicho si halali na kwa kifungu cha 88 (2) cha
Sheria

 ya Vyama vya

 Siasa Sura ya 258, hawaruhusiwi kufanya shughuli yoyote
ya

 chama."

 Msajili kushughulikia mgogoro

 Msajili akifafanua hilo alisema kwa kifungu cha 10 (f)

 cha Sheria ya

 Vyama vya Siasa Sura ya 258 kinahitaji chama cha siasa

 kuwasilisha

 orodha ya viongozi wake wa kitaifa kwa Msajili wa Vyama
vya

 Siasa na kwa

  kuwa Kifungu 8A (1) kinampa mamlaka Msajili kuhifadhi

 taarifa za

 viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa na kwa kuwa Kanuni
ya

 5 (1) ya

 Kanuni za Usajili wa Vyama vya Siasa toleo namba 111 la

 mwaka 1992

 inakitaka kila chama kuwasilisha taarifa kwa Msajili

 panapotokea

 mabadiliko ya uongozi wa kitaifa wa chama husika.

 "Hivyo kwa mustakabali wa majukumu yanayotolewa na

 vifungu hivyo,

 Msajili wa Vyama vya Siasa anao wajibu wa kuhakikisha

 taarifa za

 mabadiliko ya uongozi anazoletewa na chama cha siasa ni

 sahihi, kwa

 maana ya kujiridhisha kuwa mabadiliko hayo ya uongozi

 yamefanyika na

 mamlaka halali ya chama na pia yametekelezwa kwa mujibu
wa

 Katiba na

 Kanuni za chama husika. "Kwa mantiki hiyo basi na

 nikijielekeza kwenye

 vifungu vya sheria nilivyoainisha, ni dhahiri kwamba
Msajili

 wa Vyama

 vya Siasa anayo mamlaka na wajibu wa kisheria, kuchunguza
na



 kujiridhisha kuhusu usahihi wa mabadiliko katika uongozi
wa

 kitaifa wa

 chama yaliyofanyika na masuala yote yanayohusiana na

 mabadiliko hayo,"

 alisema Msajili.

 Kujiuzulu kwa Profesa

 Lipumba Kuhusu hilo Msajili alisema kwa mujibu wa Ibara

 ya 117 (2),

 kiongozi wa Chama cha CUF, hata kama mhusika
amebainisha

 tarehe ya

 kujiuzulu katika barua yake ya kujiuzulu, atahesabika
kuwa

 amejiuzulu

 baada tu ya mamlaka iliyomchagua au kumteua kukubali.

 Alisema kwa mujibu wa Ibara hiyo, ni sahihi kusema

 kwamba Profesa

 Lipumba alikuwa bado ni Mwenyekiti halali wa Taifa wa
CUF

 hata wakati wa

  kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa Agosti 21, hivyo hata
yeye

 kujiita

 Mwenyekiti wa Taifa mstaafu kabla ya kujiuzulu kwake

 kukubaliwa na

 mamlaka husika si sahihi.

 Kutengua barua yake ya kujiuzulu

 Akizungumzia hilo Msajili alisema, "Katiba ya CUF iko

 kimya kuhusu

 hilo, hivyo hapakuwa na kizuizi kwa Profesa Lipumba
kutengua

 barua yake

 ya kujizulu kwa kuzingatia ukimya huo kwa upande wa
uongozi

 wa CUF

 kuchukua hatua pindi walipopokea barua yake ya kujiuzulu
na

 hivyo kutoa

 mwanya kwa mhusika kuitengua barua yake ya kujiuzulu.

 "Si hivyo tu, bali pia barua yake ya kutengua

 kujiuzulu haikukataliwa

  na uongozi wa CUF.Alichoelezwa Profesa Lipumba ni
kwamba

 asianze kazi

 tarehe aliyopanga kuanza kazi ili asubiri kwanza Katibu
Mkuu

 ashauriane

 na wanasheria wa chama, ambapo mpaka suala hili

 linawasilishwa mbele

 yangu, Profesa Lipumba alikuwa bado hajapewa mwongozo
wowote

 kuhusiana

 na barua yake ya kutengua kujiuzulu," alisema

 Msajili.

 Uhalali wa hoja

 Msajili akitoa msimamo wake kuhusu hoja ya uhalali wa

 Mkutano Mkuu wa

  Agosti 21, alisema pamoja na malumbano kuhusu akidi ya

 wajumbe lakini

 kwa vyovyote vile mkutano huo ulikidhi matakwa ya Ibara
ya

 114 inayosema

  kuwa ili akidi kutimia idadi ya wajumbe waliohudhuria
kikao

 inapaswa

 kuzidi nusu ya wajumbe wote, na hivyo idadi ya wajumbe
700

 ilikidhi

 matakwa ya Katiba.

 Kuhusu hoja ya baadhi ya wajumbe kuhitaji Profesa

 Lipumba aitwe

 katika chumba cha mkutano kujieleza, Msajili alisema
hata

 kama Profesa

 Lipumba angekuwa si mjumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu ili
mradi

 uwepo wake

 yalikuwa ni matakwa ya wajumbe wa mkutano huo, basi
alipaswa

 kupewa

 fursa katika mkutano huo kuthibitisha kuwa, barua
iliyosomwa

 na Katibu

 Mkuu kuhusu kujiuzulu kwake ni yake na kueleza sababu
za

 kujiuzulu na

 hivyo kumkatalia ilikuwa ni kukiuka Ibara ya 116 ya
Katiba

 ya chama

 hicho.

 Kwa hoja za uhalali wa kura zilizopigwa kukubali au

 kukataa Profesa

 Lipumba kujiuzulu, Msajili alisema zoezi la kupiga kura
za

 kukubali au

 kukataa kujiuzulu kwa Profesa Lipumba lilifanyika
katika

 mazingira ya

 vurugu na hivyo kufanya zoezi hilo kukosa uhalali na
kutoa

 mfano kuwa

 zoezi la kujua idadi ya wapiga kura kabla ya kupiga
kura

 halikufanyika,

 ukizingatia kuwa baada ya vurugu kuzuka, kuna wajumbe

 walitoka nje ya

 ukumbi kuogopa vurugu na watu wasio wajumbe kuingia ndani
ya

 ukumbi.

 Kuhusu uhalali wa uteuzi wa viongozi wa kitaifa

 uliofanywa na kikao

 cha Baraza Kuu la Uongozi la Taifa cha Agosti 28,
Msajili

 alisema kwa

 mujibu wa Ibara ya 115 (1) iwapo nafasi ya kiongozi
yeyote

 ipo wazi,

 basi mamlaka yake ya uteuzi itamteua mtu wa kukaimu
nafasi

 hiyo.

 "Kwa mujibu wa Ibara ya 91 (1) (m) mamlaka ya uteuzi

 wa Naibu Katibu

 Mkuu ni Baraza Kuu la Taifa, hivyo laiti uamuzi wa kikao
cha

 Baraza Kuu

 la Uongozi Taifa cha Agosti 28 ungekuwa si batili, basi

 uteuzi wa Joran

 Bashange kuwa Kaimu Naibu Katibu Mkuu ungekuwa sahihi,
kwa

 maana ya

 kwamba Baraza Kuu la Uongozi lina mamlaka hayo.

 "Hata hivyo kwa upande mwingine, uteuzi wa Mbaraka

 Maharagande kuwa

 Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano
kwa

 Umma una

 dosari nao si sahihi kwa sababu kwa mujibu wa Ibara ya
91

 (1) (f)

 mamlaka yake ya uteuzi ni Mwenyekiti wa Taifa na si
Baraza

 Kuu la

 Taifa," alisema Msajili na kusema adhabu kwa mtu

 anayefanya shughuli za

 chama bila kufuata taratibu ni kifungo cha miezi sita,
faini

 isiyozidi

 Sh milioni moja au vyote kwa pamoja.

 Lipumba atinga ofisini kwa mdundiko

 Katika tukio lingine mchana jana Profesa Lipumba

 alifika katika ofisi

  za chama hicho zilizopo Buguruni jijini Dar es Salaam
huku

 akiandamana

 na umati wa wafuasi wa chama hicho huku wakisindikizwa
na

 ngoma maarufu

 katika ukanda wa Pwani ya Mdundiko.

 Wafuasi wa Profesa

 Lipumba walianza kukusanyika katika ofisi hizo kuanzia

 asubuhi baada

 ya kupata taarifa za kuwepo kwa barua kutoka kwa Msajili
wa

 Vyama vya

 Siasa, ikimtambua mwanasiasa huyo kama Mwenyekiti halali
wa

 chama hicho

 kwa mujibu wa Katiba ya chama.

 Ilipotimu saa saba mchana Profesa Lipumba alifika

 katika eneo zilipo

 ofisi hizo akiwa na kundi la wafuasi wake waliokuwa

 wakicheza kwa ustadi

  ngoma ya mdundiko, lakini walikumbana na kizuizi cha

 kuingia ndani

 kutokana na geti kuu kuwa limefungwa.

 Zuio hilo lilidumu kwa muda usiozidi dakika nne, ambapo

 baadaye

 baadhi ya wafuasi wa kiongozi huyo waliamua kuruka ukuta
ili

 kuingia

 ndani kumfungulia geti kumwezesha kuingia ndani.

 Wakati matukio hayo yakiendelea, polisi waliokuwa

 wamefika mapema ili

  kudhibiti usalama katika eneo hilo walikuwa
wakishuhudia

 wakiwa ndani

 ya magari matatu yaliyokuwa yamesimama kando ya geti,

 wakiwatazama

 wafuasi hao wakitumia nguvu ili kuingia ndani ya ofisi

 hizo.

 Hata hivyo haikuwa kazi rahisi kuingia ndani ya ofisi

 hizo kwani

 wakati wakiendelea kuruka ukuta, zilisikika risasi
zikipigwa

 na askari

 wa kampuni binafsi ya ulinzi aliyekuwa analinda ofisi
hizo,

 lakini

 alidhibitiwa baadaye na wafuasi hao ambao
walimnyang'anya

 silaha na

 kuikabidhi kwa polisi.

 Baadaye wafuasi hao walianza kumpa kichapo askari huyo

 wa ulinzi

 kabla ya wazee wa chama hicho kujitokeza na kumuokoa na

 kulazimika

 kumfungia katika choo kimojawapo cha ofisi hiyo.

 Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya

 kuingia ofisini

 kwake, Profesa Lipumba alisema kurejea kwake kunatokana
na

 uamuzi

 uliotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa, huku akieleza

 hatua mbalimbali

  alizochukua tangu alipoandika barua ya kujiuzulu, barua
ya

 kutengua

 uamuzi wake na yaliyotokea katika vikao mbalimbali vya
chama

 hicho,

 ambazo kimsingi zinamfanya kuwa na sifa ya kuendelea
kuwa

 Mwenyekiti

 halali kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho.









 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.













 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment