Thursday 29 September 2016

Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM NIELIMISHENI

Basi ipo haja kurudi nyuma na kuunganisha maneno. HAKI NA WAJIBU WA BINADAMU.
Kama kweli madhali mtu kavaa magwanda ya uaskari akifaniwa gasia na mtu ambaye hakuvaa magwanda basi wanaharakati wanakaa kimya hiyo ni kasoro kubwa maana na askari ni binadamu. Kama kundi la watu likiji-organise na kuanza kunyanyasa maaskari mwanaharakati hahusiki nalo basi uanaharakati ni ajera mbaya
--------------------------------------------
On Thu, 9/29/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM NIELIMISHENI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, September 29, 2016, 3:07 PM

1.Kwa maoni yangu, haki
za binadamu ni kanuni za msingi za maisha zinazopaswa
zilindwe na mamlaka ya nchi ili raia waishi maisha ya heri
(kanuni zinazolinda ustawi wa raia na mali zao).
2. Kanuni hizi za msingi ni kama
vile: kuishi, kuheshimiwa, kupata riziki halali ya maisha,
kutekeleza majukumu ya kifamilia, kijamii, kupata elimu,
huduma za afya, maendeleo nk.
3.
Jambazi kumwua polisi au raia au mume kumpiga mkewe au mtoto
ni mambo ambayo yako nje ya haki za binadamu, lakini yako
ndani ya makosa ya jinai kwa mujibu wa sheria za nchi. Ila
polisi au mtu yeyote mwenye mamlaka ya kiserikali akimwua
raia (kama si katika kujilinda au katika kutekeleza wajibu
wake kisheria na unaoendana na kanuni za kimataifa
zinazolinda ustawi wa watu) basi hata hapo haki za binadamu
zimeguswa.
4. Kimsingi, haki za
binadamu ni madai halali dhidi ya mamlaka ya nchi - yaani
yale ambayo mamlaka ya nchi inapaswa iyatekeleze kwa raia
wake.
5. Mamlaka ya nchi ikitekeleza
inakuwa kwamba nchi fulani inaheshimu haki za binadamu na
ikishindwa/kukiuka au kupuuza inakuwa kwamba nchi fulani
inavunja haki za binadamu.
 

2016-09-29 14:11 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Loh swali
zuri sana. Na mimi ni mmoja kati ya watakaofaidika japo
nilikuwa naona aibu kuuliza.

Zamani sana katika mjadala mwanasheria mmoja alibwatuka neno
ovu kabisa Akaseka " LENGO KUU LA HAKI ZA BINADAMU NI
KUMTENGANISHA MWANADAMU NA MUNGU" Kabla hajaongeza
nikamvaa. Nikamshambulia.Akaniangalia kwa dharau. Mwisho wa
maneno yangu akasema "Wewe ndugu naona una akili.
Subiri wakati ukifika tumia akili zako kuelewa."
Nikamuuliza wakati gani? Akasema pale itakapotangazwa kuwa
NGONO NI HAKI ZA BINADAMU. Nikamwambia mpaka kurudi kwa Yesu
hakutatokea kitu hicho. Ilipotokea namtafuta sana kuntaka
radhi.



Jingine: Huwezi kuwasikia wanaharakati majambazi wanapomuua
Polisi. Hawathibutu kusema. Lakini Polisi akithubutu tu
hutajua walikotokea.



Jingine: Kuna mataifa ndiyo tu yanayoweza kutoa tafsiri ya
gaidi. Angola ilipambana na gaidi Savimbi lakini usingesikia
akiitwa gaidi labda Nyerere tu. Ghadafi aliitwa gaidi na
mataifa hayo kila mwanaharakati akamwita gaidi. Kuna mmoja
nilimuuliza kwanini unamwita Gadafi gaidi akaniuliza kama
juzi nilisikiliza VoA. Yaani kwake ni gaidi kwa sababu VoA
ilimwita gaidi. Sasa hivi Urusi inaisaidia Syria kupambana
na magaidi lakini husikii wanaharakati wakisema. Ila Asaad
ndiye anaitwa muuaji. Ukiuliza watasema Husikii VoA nini?
Atakayejibu atusaidie mpaka huko.

Muhingo



------------------------------ --------------

On Wed, 9/28/16, 'Mashaka Makana' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:



 Subject: [wanabidii] WANAHARAKATI WA HAKI ZA BINAADAM
NIELIMISHENI

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Wednesday, September 28, 2016, 3:35 PM



 Habari

 wote katika jamii! Naomba kufahamu MSINGI wa kuanzisha

 shirika la kutetea haki za binaadamu! Mwezi huu wenzetu
wa

 Kagera walipatwa na madhara ya kuumia na wengine
kufariki.

 Nini mchango wa wanaharakati wa haki za binaadamu kwa

 majanga ya aina hii? Au kwa uhalisia wanaharakati wa haki
za

 binaadamu mmefanya nini kwa tukio hilo? Mbona hamsikiki
kama

 ilivyo katika matukio mengine mfano police wakitumia
nguvu

 zaidi kudhibiti mfano waandamaji- mara moja utaona au

 kusikia mikutano na waandishi wa habari kutoa matamko
ya

 kulaani na nk. 

 Kwali lingine naomba kuelimishwa, mtu aliekufa ana

 haki gani kama kifo chake kilitokana na kupigwa au
kunyongwa

 au kupigwa risasi na wahalifu? Hapo je, wanaharakati
hakuna

 kazi ya kufanya? Hili swali linawahusu pia wale
wanaopinga

 adhabu ya kifo. Mfano mdogo tu, janga la tetemeko
limeua

 watu Kagera na wengine wengi wanalala nje na wengine

 darasani na watoto wanasoma na wahanga wakiendelea
kuishi

 darasanina wengine kuhitaji matibabu na makazi halafu

 unasikia au kushuhudia mtu au kikundi cha watu
wanahujumu

 michango hiyo ya wahanga! Je huyu si muuaji? kwa nini

 asiuawe au wasiuawe hawa?

 Naomba kuelimishwa!







 --



 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



  



 Kujiondoa Tuma Email kwenda



 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma



  



 Disclaimer:



 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.



 ---



 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.



 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.



 For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment