Friday 2 September 2016

Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA

Taifa lilipokuwa haina altenative ilikuw sahihi wakati huo kuichagua CHADEMA kuliongoza taifa.Ni kweli kuwa taifa lingekuwa limetumbukia. Lakini hakukuwa na lakufanya. Mungu bariki CCM ikajirudi na kuwatimua waliokiwa wanaichafua. Watanzania tunweza kuendelea kuishinikiza CCM kujisahihisha huku tukiulea upinzani kwa kuwabakizia viti bungeni. Viti ambavyo kelele zake zitasikika. Tunakumbuka ambavyo 2008 kelele za wabunge wachache walilibadili taifa. Kulikuwa na wabunge makini, akina Zitto na Dr. Slaa. Tuaanza akina Lisu huenda huko tuendako wakarekebisha ndimi zao kuwa za kistaarabu kidogo. Hawahitaji kuwa wengi ili kutoa changamoto ya kutosha kwa chama tawala. Wanahitaji kuwa makini tu.
--------------------------------------------
On Fri, 9/2/16, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, September 2, 2016, 12:05 PM

UDIKTETA,
USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA
MADARAKA KWENYE KATIBA

 

Na Daniel
Mbega

 

FREEMAN
Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema)
anahamaisha wanachama wake wafanye maandamano Septemba Mosi,
2016 kwa kile
anachokiita ni 'Operesheni ya Kupambana na Udikteta
Tanzania (Ukuta)'.

Anasema
Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli
inaendeshwa kidikteta
hasa baada ya majaribio yao ya kuitikisa kwa kususia vikao
vya Bunge kushindwa
huku serikali ikipiga marufuku mikutano yote ya siasa na
kuwahamasisha wananchi
wafanye kazi za maendeleo.

Mbowe
amekwenda mbali zaidi baada ya kuwatisha viongozi wa chama
hicho kwamba yeyote
ambaye hatashiriki maandamano aliyoyapanga yeye na
kuwashawishi viongozi wenzake
wayakubali, basi atakuwa amejitoa kwenye uongozi kwa sababu
ni 'msaliti'.

Niliandika
hivi karibuni kwamba, lingekuwa jambo la busara sana kama
Chadema wangeanza
kwanza na Operesheni ya Kupambana na Udikteta ndani ya
Chadema (Ukucha) kabla
ya kuanzisha Ukuta, lakini baadhi ya watu
walinikosoa.

Leo
nataka kueleza kwamba, ingawa viongozi wa Chadema wamekuwa
na kawaida ya
kukanusha kwa nguvu zote huku wafuasi wao wasiopenda
kujiongeza kwa kutafakari
mara mbili wakiunga mkono, lakini udikteta umeshamiri ndani
ya chama hicho na
zaidi kuna usultani uliotamalaki. SOMA
ZAIDI: http://goo.gl/kxKXKk
--
DANIEL MBEGA
INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER &
PUBLISHER
CELL: +255 767 939 319/ +255 715 070 109
WHAT'S APP: +255 656 331 974
BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
               www.brotherdanny5.blogspot.com

"Kama
hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?"
~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es
Salaam, 1995




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment