Thursday, 23 July 2015

Re: [wanabidii] James Mbatia unajua leo ni siku ya 8 au umepoteza kumbukumbu?

tusubiri atakuja tu ladba mchakato wa UKAWA umekuwa mgumu kuliko
tulivyodhania, tuendelee kumpa nafasi

On 7/21/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Wasalaam wanajamvi?
>
> Kama mtakuwa na kumbukumbu Mhe. Mbatia tarehe 14 mwezi huu mbele ya wana
> habari kuna kitu aliahidi kuwa atakisema baada ya siku 5 au 6 kama si 7
> Lakini cha kushangaza sasa ni siku ya 8 na anajaribu kutafutwa hataki
> kuongea na anafikia hadi kuzima simu hadi wana habari wana jiuliza kwanini
> alitoa ahadi?
>
> Unajua Mh Mbatia anajua fika wafuasi wake na wao hupoteza kumbu kumbu
> mapema na hawana tabia ya kuhoji mambo!
>
> Inasemekana pia Mh Mbatia hakutaka kutoa ahadi hiyo kwani mambo hayakuwa
> shwari lakini alishurutishwa na Viongozi wenzie akaseme hivyo ili kunusuru
> mambo na hakuwa na namna maana wao ndio wana msaidia kupambana kulichukua
> jimbo la Mrema!
>
> Bado nauliza Mh Mbatia ana kumbuka kuwa siku 7 au 6 Kama si 5
> zimekwisha?
> Mh Mbatia unaombwa upokee simu!
>
>
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment