Friday, 2 September 2016

[wanabidii] MBWA DOMO BAYA MLINZI NAMBA ONE WA RAS MAKUNJA ANATAFUTWA KAPOTEA

MBWA Sajent Domo Baya mlinzi namba moja wa Ras Makunja anatafutwa!

 Mbwa huyo aina ya Bull Dog kakinukisha kwa kutoweka lindoni


Ujerumani,
Katika makao ya mkuu wa Ngoma Africa band kamanda Ras Makunja hali imekuwa si shwari baada ya mbwa aina ya Bulld dog mwenye jina la sajent Domo Baya mlinzi namba moja wa Ras Makunja ametoroka lindoni kwa muda wa siku tatu sasa na kikosi cha kuangalia wanyama cha mji wa Oldenburg kinamtafuta mbwa huyo mwenye umri wa miaka 14 ambaye mara nyingi ni mwenye vituko pale anapochoka kulinda.
mmiliki wa mbwa huyo kamanda Ras Makunja alikaliliwa akimlalamikia mlinzi wake huyo kwa kudai kuwa "kama kachoka kazi atamfuta" mwanamuziki huyo anamlalamikia mlinzi wake huyo kuwa kuwa siku hizi ana tabia za uzembe sana "Kishanigombanisha na jirani baada ya kuvamia
swimming pool ya jirani" Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni analalamika.lakini sikiliza kazi zao at www.ngoma-africa.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment