Sunday 4 September 2016

Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA

Naam ndugu Chamani. ninaweza kukupa mifano ya CCM kujirekebisha. Kuanzia kuteuliwa kwa Katibu M kuu Kinana na makamu wa rais CCM ilianza kujirekebisha. Lakini rekebisho lililotetemesha nchi ni lile la kumuengua Lowasa katika wagombea. kazi hiyo ilishindikana 2005 lakiniikafanyika 2015. Magufuli ni mwsanachama wa CCM hivyo anaporekebisha CCM ni CCM inajirekebisha. Inatosha?
--------------------------------------------
On Sat, 9/3/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, September 3, 2016, 6:01 PM

Kaka
Muhingo
Hivi CCM wamejirekebisha au wanarekebishwa na
Rais Pombe?

Unao mfano wowote wa hata bahati mbaya wa kuonesha
kujirekebisha kwa CCM?

Narejea tena tatizo ni zaidi ya siasa

Walewale

On Sep 2, 2016 10:23 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Kweli sio
CHADMA bali ningetumia neno chama cha siasa cha upinzani.

Sio kweli-Watanzania kama sio CHADEMA kuvuruga wakati wa
uteuzi na CCM kujirekebisha mwaka jana CCM isingekuwa
madarakani na watanzania wangeiunga mkono CDM

------------------------------ --------------

On Fri, 9/2/16, amour chamani <abachamani@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA
CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE
KATIBA

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Friday, September 2, 2016, 1:01 PM

 Kaka

 Muhingo.

 Naamini suala hapa sio CHADEMA.

 Ni siasa zetu Tanzania Bara.

 Hawatapata wa kuwaunga mkono hata wakisema nini mpaka
ipite

 miaka 10 kwanza.

 Walewale

 On Sep 2, 2016 12:55 PM,

 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Taifa

 lilipokuwa haina altenative ilikuw sahihi wakati huo

 kuichagua CHADEMA kuliongoza taifa.Ni kweli kuwa taifa

 lingekuwa limetumbukia. Lakini hakukuwa na lakufanya.
Mungu

 bariki CCM ikajirudi na kuwatimua waliokiwa
wanaichafua.

 Watanzania tunweza kuendelea kuishinikiza CCM
kujisahihisha

 huku tukiulea upinzani kwa kuwabakizia viti bungeni.
Viti

 ambavyo kelele zake zitasikika. Tunakumbuka ambavyo
2008

 kelele za wabunge wachache walilibadili taifa. Kulikuwa
na

 wabunge makini, akina Zitto na Dr. Slaa. Tuaanza akina
Lisu

 huenda huko tuendako wakarekebisha ndimi zao kuwa za

 kistaarabu kidogo. Hawahitaji kuwa wengi ili kutoa

 changamoto ya kutosha kwa chama tawala. Wanahitaji kuwa

 makini tu.

 ------------------------------ --------------

 On Fri, 9/2/16, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com>

 wrote:

  Subject: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA
CHADEMA

 MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA

  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Friday, September 2, 2016, 12:05 PM

  UDIKTETA,

  USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO

 WA

  MADARAKA KWENYE KATIBA

  Na Daniel

  Mbega

  FREEMAN

  Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na

  Maendeleo (Chadema)

  anahamaisha wanachama wake wafanye maandamano
Septemba

 Mosi,

  2016 kwa kile

  anachokiita ni 'Operesheni ya Kupambana na Udikteta

  Tanzania (Ukuta)'.

  Anasema

  Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli

  inaendeshwa kidikteta

  hasa baada ya majaribio yao ya kuitikisa kwa kususia

 vikao

  vya Bunge kushindwa

  huku serikali ikipiga marufuku mikutano yote ya siasa

 na

  kuwahamasisha wananchi

  wafanye kazi za maendeleo.

  Mbowe

  amekwenda mbali zaidi baada ya kuwatisha viongozi wa

 chama

  hicho kwamba yeyote

  ambaye hatashiriki maandamano aliyoyapanga yeye na

  kuwashawishi viongozi wenzake

  wayakubali, basi atakuwa amejitoa kwenye uongozi kwa

 sababu

  ni 'msaliti'.

  Niliandika

  hivi karibuni kwamba, lingekuwa jambo la busara sana

 kama

  Chadema wangeanza

  kwanza na Operesheni ya Kupambana na Udikteta ndani
ya

  Chadema (Ukucha) kabla

  ya kuanzisha Ukuta, lakini baadhi ya watu

  walinikosoa.

  Leo

  nataka kueleza kwamba, ingawa viongozi wa Chadema

 wamekuwa

  na kawaida ya

  kukanusha kwa nguvu zote huku wafuasi wao wasiopenda

  kujiongeza kwa kutafakari

  mara mbili wakiunga mkono, lakini udikteta umeshamiri

 ndani

  ya chama hicho na

  zaidi kuna usultani uliotamalaki. SOMA

  ZAIDI: http://goo.gl/kxKXKk

  --

  DANIEL MBEGA

  INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER &

  PUBLISHER

  CELL: +255 767 939
319/

 +255 715 070 109

  WHAT'S APP: +255 656

 331 974

  BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com

                 www.brotherdanny5.blogspot.com

  "Kama

  hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?"

  ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es

  Salaam, 1995

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

  statements and facts must be presented responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed
to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment