Watu kujitoa ufahamu tu! Kwani ukiwa na mapenzi na chama fulani, hiyo inakufanya upoteze uwezo wa kufikiri na kung'amua mambo? Matatizo yako wazi kabisa, afu eti mtu anaandika makala nzima, kuhalalisha sababishi la mats tuzo, kana kwamba anaowaandikia hawana akili!
LKK
Sent from my iPad
Sent from my iPad
Wote mnachangia nini? Kwanini tunakwepa hoja? Chanzo cha UKUTA ni serikali kufungia vyombo vya habari kutangaza habari za Bunge moja kwa moja, susla la pili ni agizo la Rais kufunga mikutano ya siasa hadi 2020, Je ni sahihi hilo? Kwa maana ya Rais hakuna shughuli za kujenga vyama vya siasa isipokuwa CCM tu ambayo itafanya siasa kwa kisingizio cha kufanya shughuli za serikali. Kwa tamko la Rais hakuna kujenga vyama kuelekea uchsguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019. Kwa maoni yangu masuala ya ndani ya vyama hayana msingi wowote ktk kuwataka wananchi kushiriki UKUTA.Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA
Kweli sio CHADMA bali ningetumia neno chama cha siasa cha upinzani.
Sio kweli-Watanzania kama sio CHADEMA kuvuruga wakati wa uteuzi na CCM kujirekebisha mwaka jana CCM isingekuwa madarakani na watanzania wangeiunga mkono CDM
--------------------------------------------
On Fri, 9/2/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, September 2, 2016, 1:01 PM
Kaka
Muhingo.
Naamini suala hapa sio CHADEMA.
Ni siasa zetu Tanzania Bara.
Hawatapata wa kuwaunga mkono hata wakisema nini mpaka ipite
miaka 10 kwanza.
Walewale
On Sep 2, 2016 12:55 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Taifa
lilipokuwa haina altenative ilikuw sahihi wakati huo
kuichagua CHADEMA kuliongoza taifa.Ni kweli kuwa taifa
lingekuwa limetumbukia. Lakini hakukuwa na lakufanya. Mungu
bariki CCM ikajirudi na kuwatimua waliokiwa wanaichafua.
Watanzania tunweza kuendelea kuishinikiza CCM kujisahihisha
huku tukiulea upinzani kwa kuwabakizia viti bungeni. Viti
ambavyo kelele zake zitasikika. Tunakumbuka ambavyo 2008
kelele za wabunge wachache walilibadili taifa. Kulikuwa na
wabunge makini, akina Zitto na Dr. Slaa. Tuaanza akina Lisu
huenda huko tuendako wakarekebisha ndimi zao kuwa za
kistaarabu kidogo. Hawahitaji kuwa wengi ili kutoa
changamoto ya kutosha kwa chama tawala. Wanahitaji kuwa
makini tu.
------------------------------ --------------
On Fri, 9/2/16, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com>
wrote:
Subject: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA
MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, September 2, 2016, 12:05 PM
UDIKTETA,
USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO
WA
MADARAKA KWENYE KATIBA
Na Daniel
Mbega
FREEMAN
Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema)
anahamaisha wanachama wake wafanye maandamano Septemba
Mosi,
2016 kwa kile
anachokiita ni 'Operesheni ya Kupambana na Udikteta
Tanzania (Ukuta)'.
Anasema
Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli
inaendeshwa kidikteta
hasa baada ya majaribio yao ya kuitikisa kwa kususia
vikao
vya Bunge kushindwa
huku serikali ikipiga marufuku mikutano yote ya siasa
na
kuwahamasisha wananchi
wafanye kazi za maendeleo.
Mbowe
amekwenda mbali zaidi baada ya kuwatisha viongozi wa
chama
hicho kwamba yeyote
ambaye hatashiriki maandamano aliyoyapanga yeye na
kuwashawishi viongozi wenzake
wayakubali, basi atakuwa amejitoa kwenye uongozi kwa
sababu
ni 'msaliti'.
Niliandika
hivi karibuni kwamba, lingekuwa jambo la busara sana
kama
Chadema wangeanza
kwanza na Operesheni ya Kupambana na Udikteta ndani ya
Chadema (Ukucha) kabla
ya kuanzisha Ukuta, lakini baadhi ya watu
walinikosoa.
Leo
nataka kueleza kwamba, ingawa viongozi wa Chadema
wamekuwa
na kawaida ya
kukanusha kwa nguvu zote huku wafuasi wao wasiopenda
kujiongeza kwa kutafakari
mara mbili wakiunga mkono, lakini udikteta umeshamiri
ndani
ya chama hicho na
zaidi kuna usultani uliotamalaki. SOMA
ZAIDI: http://goo.gl/kxKXKk
--
DANIEL MBEGA
INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER &
PUBLISHER
CELL: +255 767 939 319/
+255 715 070 109
WHAT'S APP: +255 656
331 974
BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com
www.brotherdanny5.blogspot.com
"Kama
hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?"
~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es
Salaam, 1995
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment