Saturday, 3 September 2016

Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA

HOJA YA MSINGI HAPA NI Ibara ya 6.3.2 ya Katiba ya Chadema ya 2006.

kwa mujibu wa Makala haya, inasesomeka: kuhusu Muda wa Uongozi: (a) Kila uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa uchaguzi mkuu wa Chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitano; (b) Kiongozi aliyechaguliwa au kuteuliwa baada ya uchaguzi mkuu atashika wadhifa wake hadi kipindi cha uchaguzi mkuu kinachofuata; (c) Kiongozi aliyemaliza muda wa uongozi ana haki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimiza masharti ya kuchaguliwa kuwa kiongozi; (d) Muda wa uongozi unaweza kufupishwa kama mamlaka iliyochagua au kuteua itaamua hivyo; (e) Ibara hii itahusu pia viongozi wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee wa CHADEMA.

SHIDA INAKUJA HAPA, kwa mujibu wa Makala haya katika ibara hiyo hiyo ya 6.3.2

"Katiba ya mwaka 2004 ipo wazi kabisa katika hoja ya ukomo wa madaraka ambapo Ibara ya 6.3.2 kipengele cha (c) kinasema ifuatavyo; 'Leaders who finish their term of office can be eligible for re-election provided he qualifies but no leader can hold the same post at the same level of the party structure for more than two terms.'

Nadhani hapa ndipo penye mjadala haswaaaa

2016-09-03 18:01 GMT+03:00 amour chamani <abachamani@gmail.com>:

Kaka Muhingo

Hivi CCM wamejirekebisha au wanarekebishwa na Rais Pombe?
Unao mfano wowote wa hata bahati mbaya wa kuonesha kujirekebisha kwa CCM?
Narejea tena tatizo ni zaidi ya siasa

Walewale

On Sep 2, 2016 10:23 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kweli sio CHADMA bali ningetumia neno chama cha siasa cha upinzani.
Sio kweli-Watanzania kama sio CHADEMA kuvuruga wakati wa uteuzi na CCM kujirekebisha mwaka jana CCM isingekuwa madarakani na watanzania wangeiunga mkono CDM
--------------------------------------------
On Fri, 9/2/16, amour chamani <abachamani@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Friday, September 2, 2016, 1:01 PM

 Kaka
 Muhingo.
 Naamini suala hapa sio CHADEMA.

 Ni siasa zetu Tanzania Bara.

 Hawatapata wa kuwaunga mkono hata wakisema nini mpaka ipite
 miaka 10 kwanza.

 Walewale

 On Sep 2, 2016 12:55 PM,
 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Taifa
 lilipokuwa haina altenative ilikuw sahihi wakati huo
 kuichagua CHADEMA kuliongoza taifa.Ni kweli kuwa taifa
 lingekuwa limetumbukia. Lakini hakukuwa na lakufanya. Mungu
 bariki CCM ikajirudi na kuwatimua waliokiwa wanaichafua.
 Watanzania tunweza kuendelea kuishinikiza CCM kujisahihisha
 huku tukiulea upinzani kwa kuwabakizia viti bungeni. Viti
 ambavyo kelele zake zitasikika. Tunakumbuka ambavyo 2008
 kelele za wabunge wachache walilibadili taifa. Kulikuwa na
 wabunge makini, akina Zitto na Dr. Slaa. Tuaanza akina Lisu
 huenda huko tuendako wakarekebisha ndimi zao kuwa za
 kistaarabu kidogo. Hawahitaji kuwa wengi ili kutoa
 changamoto ya kutosha kwa chama tawala. Wanahitaji kuwa
 makini tu.

 ------------------------------ --------------

 On Fri, 9/2/16, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com>
 wrote:  Subject: [wanabidii] UDIKTETA, USULTANI ULIINGIA CHADEMA
 MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO WA MADARAKA KWENYE KATIBA

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Friday, September 2, 2016, 12:05 PM  UDIKTETA,

  USULTANI ULIINGIA CHADEMA MWAKA 2006 WALIPOFUTA UKOMO
 WA

  MADARAKA KWENYE KATIBA     Na Daniel

  Mbega     FREEMAN

  Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na

  Maendeleo (Chadema)

  anahamaisha wanachama wake wafanye maandamano Septemba
 Mosi,

  2016 kwa kile

  anachokiita ni 'Operesheni ya Kupambana na Udikteta

  Tanzania (Ukuta)'.  Anasema

  Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli

  inaendeshwa kidikteta

  hasa baada ya majaribio yao ya kuitikisa kwa kususia
 vikao

  vya Bunge kushindwa

  huku serikali ikipiga marufuku mikutano yote ya siasa
 na

  kuwahamasisha wananchi

  wafanye kazi za maendeleo.  Mbowe

  amekwenda mbali zaidi baada ya kuwatisha viongozi wa
 chama

  hicho kwamba yeyote

  ambaye hatashiriki maandamano aliyoyapanga yeye na

  kuwashawishi viongozi wenzake

  wayakubali, basi atakuwa amejitoa kwenye uongozi kwa
 sababu

  ni 'msaliti'.  Niliandika

  hivi karibuni kwamba, lingekuwa jambo la busara sana
 kama

  Chadema wangeanza

  kwanza na Operesheni ya Kupambana na Udikteta ndani ya

  Chadema (Ukucha) kabla

  ya kuanzisha Ukuta, lakini baadhi ya watu

  walinikosoa.  Leo

  nataka kueleza kwamba, ingawa viongozi wa Chadema
 wamekuwa

  na kawaida ya

  kukanusha kwa nguvu zote huku wafuasi wao wasiopenda

  kujiongeza kwa kutafakari

  mara mbili wakiunga mkono, lakini udikteta umeshamiri
 ndani

  ya chama hicho na

  zaidi kuna usultani uliotamalaki. SOMA

  ZAIDI: http://goo.gl/kxKXKk

  --

  DANIEL MBEGA

  INVESTIGATIVE JOURNALIST, BLOGGER, RESEARCHER &

  PUBLISHER

  CELL: +255 767 939 319/
 +255 715 070 109

  WHAT'S APP: +255 656
 331 974

  BLOGS: www.kilimohai.wordpress.com

                 www.brotherdanny5.blogspot.com  "Kama

  hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?"

  ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es

  Salaam, 1995

  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment