Wednesday 21 September 2016

Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.

Elisa
Ni kwa serikali yetu tu, kenya wanaweza kurespond rapidly kwa emergencies, catastrophic calamities kama haya
Cc kwa maneno yako, unaiteteaje watu ambao wanaona watu wanalala nje wanasubiri kujandaaaaaa....kwann wasiruhusu basi red cross wasaidie wao waendelee na masuala yao...watu wanataseka, nilikua huko,watu wanalala nje, watu wako hoi....
Kwann urasi u uwepo hadi majangaaaaaaa

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Bahati mbaya nitatoka kwa muda hapa ningefuatilia.
>Sijawa na uhakika kama misaada ya vifaa vya ujenzi inaweza kugawiwa kwa watu wote na taasisi zaidi ya serikali. Ninaona kila anayeleta anakabidhi serikali.
>Nami kuna watu wangependa misaada iwafikie watu fulani na wanatarajia kuipitisha kwangu. Ni ndugu zao. Hiyo inaweza kuwaendea moja kwa moja. Lakini vinginevyo na viongozi wa dini waligawa vyakula lakini vifaa vya ujenzi walivipeleka serikalini *kama sikosei. Anayejua tofauti asaidie) najua serikali ina urasimu ndiyo maana hadi sasa kuna watu tunaona wanapata mateso na wako tayari kuanza kujen ga wanasubiri serikali. nayo bado "inafanya maandalizi". They were cought unprepared and arent experienced. Ninafikiri wangewapa TCRS au Red cross wangeishawafikia tayari.
>
>--------------------------------------------
>On Tue, 9/20/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.
> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Tuesday, September 20, 2016, 4:51 PM
>
> Muhingo n
> LSM.
> Binafsi sipendelei kupitisha misaada serikalini
> cozy ningumu kidogo kufikia walengwa ipasavyo. Ningekuwa na
> muda wa kutosha ningeulizia wolrd vision na red cross namna
> ya kumsaidia LSM. Labda aingie kwenye web zao atapata
> contacts na kama atashindwa anitaarifu alhamisi naweza
> kufika world vision kuulizia au hata red cross.
> On Sep 20, 2016 2:28 PM,
> "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Lakini
> pia mratibu Mkuu akiwa serikali imetoa namba ya benki.
> CRDB.
>
> ------------------------------ --------------
>
> On Mon, 9/19/16, Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera
> upya.
>
>  To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  Date: Monday, September 19, 2016, 11:41 PM
>
>
>
>  #yiv7024275859 #yiv7024275859 -- P
>
>  {margin-top:0;margin-bottom:0; }#yiv7024275859
>
>
>
>
>
>  Ndugu Kamala,
>
>
>
>
>
>
>
>  Ninashukuru sana. Niko Copenhagen, Denmark. Ningependa
>
>  kutuma mchango wa kifedha kwa njia ya benki au Western
> Union
>
>  lakini sina anwani kamili ya kuwakilisha mchango huu
> kwa
>
>  moja ya mashirika uliyotaja. Juma hili nitajaribu
> kwenda
>
>  Msalaba Mwekundu hapa Copenhagen
>
>   nione kama wataniunganisha na mojawapo ya mashirika
>
>  hayo.
>
>
>
>
>
>
>
>  Vinginevyo ninakushukuru kwa kunielekeza ni wapi
>
>  nianzie.
>
>
>
>
>
>
>
>  Waitu obusinge
>
>
>
>
>
>
>
>  Alamsiki,
>
>  LSM
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  From:
>
>  wanabidii@googlegroups.com
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
> on behalf of J L Kamala
>
>  <jlkamala@gmail.com>
>
>
>
>  Sent: Monday, September 19, 2016 9:28 PM
>
>
>
>  To: wanabidii
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera
>
>  upya.
>
>   
>
>
>
>
>
>  LSM
>
>  Misaada inaratibiwa na mashirika ya kidini,
>
>  kanisa katoloki, world vision nk.
>
>
>
>  For more info, jlkamala@gmail.com
>
>
>
>  On Sep 19, 2016 3:35
>
>  PM, "Ludovick Simon Mwijage" <bugabo18@hotmail.com>
>
>  wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  Tafadhali kama kuna anayefahamu shirika au watu
>
>  wanaoratibu misaada ya waathirika wa mtetemeko wa ardhi
> huko
>
>  Bukoba anifahamishe.
>
>
>
>
>
>
>
>  Ninatanguliza shukrani,
>
>  LSM
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>   
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  From:
>
>  wanabidii@googlegroups.com
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  on behalf of J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
>
>
>
>  Sent: Saturday, September 17, 2016 7:41 PM
>
>
>
>  To: Wanazuoni; wanabidii
>
>
>
>  Subject: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera
>
>  upya.
>
>   
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  Wandugu,
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  Ni faraja kubwa sana kuona Watanzania wenzetu na raia wa
> nje
>
>  ya nchi wanavyoshirikiana bega kwa bega kusaidia wahanga
> wa
>
>  tetemeko la ardhi la september 10. kwakweli inafariji,
>
>  inatia moyo ni ishara ya umoja wetu.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  Kagera imepigwa, kagera imeharibiwa watu wameathirika
>
>  kijamii, kiuchumi nk. Nyumba ziko chini,vifo, magonjwa
> na
>
>  ulemavu. wanakagera wana hali mbaya sana.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  Hili ni pigo la tatu tangu nchi yetu ipate uhuru.
> ilianza
>
>  vita ya kagera, ikaja janga la ukimwi, na sasa tetemeko
> la
>
>  ardhi. japo kuwa kuna kuzama kwa meli, mafuriko hasa ya
>
>  elnino na vimbunga/ukame
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  Kagera ina wakati mgumu sana aisee. inatia huruma
> kuzungukia
>
>  maeneo ya mkoa huu. zilipokuwa nyumba ni vifusi, mabati
>
>  yaliyokuwa yameezeka majumba sasa yamepigiliwa misumari
> na
>
>  kuwa ndio makazi yao. hali ni mbaya.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  Faraja kubwa ni kwa wanaochangia walichonacho. Shurani
>
>  kwenu
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  J L Kamala
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>   
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@
>
>  googlegroups.com Utapata
> Email ya kudhibitisha
>
>  ukishatuma
>
>
>
>   
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to this
>
>  disclaimer and pledge to
>
>   abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are subscribed to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
>  from it, send an email to
>
>  wanabidii+unsubscribe@
>
>  googlegroups.com.
>
>
>
>  For more options, visit
>
>  https://groups.google.com/d/
> optout.

> googlegroups.com Utapata Email ya
>
>  kudhibitisha ukishatuma

>  For more options, visit https://groups.google.com/d/

>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are subscribed to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
> googlegroups.com.
>
>
>
>  For more options, visit https://groups.google.com/d/
> optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@
> googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
> googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/
> optout.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment