Wednesday, 21 September 2016

Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.

Tuombe Mungu kesho niweze kuwasiliana na wahusika na kukupatia mawasiliano yao

2016-09-21 16:44 GMT-01:00 Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>:

Ndugu Kamala,

Ninatoka Parokia ya Bumai, Bugabo, Kyamtwala. Sijui kama Parokia yetu inapokea misaada ya waathirika wa tetemeko la ardhi; na kama wanafanya hivyo, kwa njia gani. Je, wanapokea malipo kwa Western Union?  Na yatumwe kwa jina la nani? Parokia au kwa jina la Baba Paroko (ambalo sina)? Aidha, huenda Walutheri, mkoani Kagera, nao pia  wanapokea misaada ya waadhirika wa tetemeko hili. Itakuwa vyema kujua namna ya kuwakilisha michango yetu kwa mojawapo ya madhehebu haya.

Kwa mara nyingine, shukrani nyingi kwa kutonichoka.

Waktabahu,

LSM 
From: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com> on behalf of J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
Sent: Wednesday, September 21, 2016 5:07 PM

To: wanabidii
Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.
 
Mzee muhingo. Niko Bukoba sasa hivi nafanya asesment ya misaada na effects za tetemeko. Naweza kukuona tuhojiane kidogo? Am a journalist sir

On Sep 21, 2016 4:45 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bahati mbaya nitatoka kwa muda hapa ningefuatilia.
Sijawa na uhakika kama misaada ya vifaa vya ujenzi inaweza kugawiwa kwa watu wote na taasisi zaidi ya serikali. Ninaona kila anayeleta anakabidhi serikali.
Nami kuna watu wangependa misaada iwafikie watu fulani na wanatarajia kuipitisha kwangu. Ni ndugu zao. Hiyo inaweza kuwaendea moja kwa moja. Lakini vinginevyo na viongozi wa dini waligawa vyakula lakini vifaa vya ujenzi walivipeleka serikalini *kama sikosei. Anayejua tofauti asaidie) najua serikali ina urasimu ndiyo maana hadi sasa kuna watu tunaona wanapata mateso na wako tayari kuanza kujen ga wanasubiri serikali. nayo bado "inafanya maandalizi". They were cought unprepared and arent experienced. Ninafikiri wangewapa TCRS au Red cross wangeishawafikia tayari.

--------------------------------------------
On Tue, 9/20/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.
 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Tuesday, September 20, 2016, 4:51 PM

 Muhingo n
 LSM.
 Binafsi sipendelei kupitisha misaada serikalini
 cozy ningumu kidogo kufikia walengwa ipasavyo. Ningekuwa na
 muda wa kutosha ningeulizia wolrd vision na red cross namna
 ya kumsaidia LSM. Labda aingie kwenye web zao atapata
 contacts na kama atashindwa anitaarifu alhamisi naweza
 kufika world vision kuulizia au hata red cross.
 On Sep 20, 2016 2:28 PM,
 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:
 Lakini
 pia mratibu Mkuu akiwa serikali imetoa namba ya benki.
 CRDB.

 ------------------------------ --------------

 On Mon, 9/19/16, Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>
 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera
 upya.

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Monday, September 19, 2016, 11:41 PM  #yiv7024275859 #yiv7024275859 -- P

  {margin-top:0;margin-bottom:0; }#yiv7024275859

  Ndugu Kamala,  Ninashukuru sana. Niko Copenhagen, Denmark. Ningependa

  kutuma mchango wa kifedha kwa njia ya benki au Western
 Union

  lakini sina anwani kamili ya kuwakilisha mchango huu
 kwa

  moja ya mashirika uliyotaja. Juma hili nitajaribu
 kwenda

  Msalaba Mwekundu hapa Copenhagen

   nione kama wataniunganisha na mojawapo ya mashirika

  hayo.  Vinginevyo ninakushukuru kwa kunielekeza ni wapi

  nianzie.  Waitu obusinge  Alamsiki,

  LSM

     From:

  wanabidii@googlegroups.com

  <wanabidii@googlegroups.com>
 on behalf of J L Kamala

  <jlkamala@gmail.com>  Sent: Monday, September 19, 2016 9:28 PM  To: wanabidii  Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera

  upya.

  LSM

  Misaada inaratibiwa na mashirika ya kidini,

  kanisa katoloki, world vision nk.  For more info, jlkamala@gmail.com  On Sep 19, 2016 3:35

  PM, "Ludovick Simon Mwijage" <bugabo18@hotmail.com>

  wrote:

  Tafadhali kama kuna anayefahamu shirika au watu

  wanaoratibu misaada ya waathirika wa mtetemeko wa ardhi
 huko

  Bukoba anifahamishe.  Ninatanguliza shukrani,

  LSM

     From:

  wanabidii@googlegroups.com

  <wanabidii@googlegroups.com>

  on behalf of J L Kamala <jlkamala@gmail.com>  Sent: Saturday, September 17, 2016 7:41 PM  To: Wanazuoni; wanabidii  Subject: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera

  upya.

     Wandugu,

  Ni faraja kubwa sana kuona Watanzania wenzetu na raia wa
 nje

  ya nchi wanavyoshirikiana bega kwa bega kusaidia wahanga
 wa

  tetemeko la ardhi la september 10. kwakweli inafariji,

  inatia moyo ni ishara ya umoja wetu.

  Kagera imepigwa, kagera imeharibiwa watu wameathirika

  kijamii, kiuchumi nk. Nyumba ziko chini,vifo, magonjwa
 na

  ulemavu. wanakagera wana hali mbaya sana.  Hili ni pigo la tatu tangu nchi yetu ipate uhuru.
 ilianza

  vita ya kagera, ikaja janga la ukimwi, na sasa tetemeko
 la

  ardhi. japo kuwa kuna kuzama kwa meli, mafuriko hasa ya

  elnino na vimbunga/ukame

  Kagera ina wakati mgumu sana aisee. inatia huruma
 kuzungukia

  maeneo ya mkoa huu. zilipokuwa nyumba ni vifusi, mabati

  yaliyokuwa yameezeka majumba sasa yamepigiliwa misumari
 na

  kuwa ndio makazi yao. hali ni mbaya.

  Faraja kubwa ni kwa wanaochangia walichonacho. Shurani

  kwenu

  --  J L Kamala

  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com Utapata
 Email ya kudhibitisha

  ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to

   abide by our Rules and Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to

  wanabidii+unsubscribe@

  googlegroups.com.  For more options, visit

  https://groups.google.com/d/
 optout.

 googlegroups.com Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
 ukishatuma Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
 googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/
 optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.--
J L Kamala

0 comments:

Post a Comment