Wednesday, 21 September 2016

Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.

Naam tunaweza kuonana. Niambie kesho saa sita tukutane wapi. Kabla na baada ya hapo nitakuwa sipatikani.
--------------------------------------------
On Wed, 9/21/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera upya.
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, September 21, 2016, 6:07 PM

Mzee
muhingo. Niko Bukoba sasa hivi nafanya asesment ya misaada
na effects za tetemeko. Naweza kukuona tuhojiane kidogo? Am
a journalist sir
On Sep 21, 2016 4:45 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Bahati
mbaya nitatoka kwa muda hapa ningefuatilia.

Sijawa na uhakika kama misaada ya vifaa vya ujenzi inaweza
kugawiwa kwa watu wote na taasisi zaidi ya serikali. Ninaona
kila anayeleta anakabidhi serikali.

Nami kuna watu wangependa misaada iwafikie watu fulani na
wanatarajia kuipitisha kwangu. Ni ndugu zao. Hiyo inaweza
kuwaendea moja kwa moja. Lakini vinginevyo na viongozi wa
dini waligawa vyakula lakini vifaa vya ujenzi walivipeleka
serikalini *kama sikosei. Anayejua tofauti asaidie) najua
serikali ina urasimu ndiyo maana hadi sasa kuna watu tunaona
wanapata mateso na wako tayari kuanza kujen ga wanasubiri
serikali. nayo bado "inafanya maandalizi". They
were cought unprepared and arent experienced. Ninafikiri
wangewapa TCRS au Red cross wangeishawafikia tayari.------------------------------ --------------

On Tue, 9/20/16, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera
upya.

 To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Tuesday, September 20, 2016, 4:51 PM Muhingo n

 LSM.

 Binafsi sipendelei kupitisha misaada serikalini

 cozy ningumu kidogo kufikia walengwa ipasavyo. Ningekuwa
na

 muda wa kutosha ningeulizia wolrd vision na red cross
namna

 ya kumsaidia LSM. Labda aingie kwenye web zao atapata

 contacts na kama atashindwa anitaarifu alhamisi naweza

 kufika world vision kuulizia au hata red cross.

 On Sep 20, 2016 2:28 PM,

 "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Lakini

 pia mratibu Mkuu akiwa serikali imetoa namba ya benki.

 CRDB. ------------------------------ -------------- On Mon, 9/19/16, Ludovick Simon Mwijage <bugabo18@hotmail.com>

 wrote:  Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera

 upya.  To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>  Date: Monday, September 19, 2016, 11:41 PM  #yiv7024275859 #yiv7024275859 -- P  {margin-top:0;margin-bottom: 0; }#yiv7024275859  Ndugu Kamala,  Ninashukuru sana. Niko Copenhagen, Denmark.
Ningependa  kutuma mchango wa kifedha kwa njia ya benki au
Western

 Union  lakini sina anwani kamili ya kuwakilisha mchango huu

 kwa  moja ya mashirika uliyotaja. Juma hili nitajaribu

 kwenda  Msalaba Mwekundu hapa Copenhagen   nione kama wataniunganisha na mojawapo ya mashirika  hayo.  Vinginevyo ninakushukuru kwa kunielekeza ni wapi  nianzie.  Waitu obusinge  Alamsiki,  LSM     From:  wanabidii@googlegroups.com  <wanabidii@googlegroups.com>

 on behalf of J L Kamala  <jlkamala@gmail.com>  Sent: Monday, September 19, 2016 9:28 PM  To: wanabidii  Subject: Re: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera  upya.     LSM  Misaada inaratibiwa na mashirika ya kidini,  kanisa katoloki, world vision nk.  For more info, jlkamala@gmail.com  On Sep 19, 2016 3:35  PM, "Ludovick Simon Mwijage" <bugabo18@hotmail.com>  wrote:  Tafadhali kama kuna anayefahamu shirika au watu  wanaoratibu misaada ya waathirika wa mtetemeko wa
ardhi

 huko  Bukoba anifahamishe.  Ninatanguliza shukrani,  LSM     From:  wanabidii@googlegroups.com  <wanabidii@googlegroups.com>  on behalf of J L Kamala <jlkamala@gmail.com>  Sent: Saturday, September 17, 2016 7:41 PM  To: Wanazuoni; wanabidii  Subject: [wanabidii] Michango kwa kuijenga kagera  upya.     Wandugu,  Ni faraja kubwa sana kuona Watanzania wenzetu na raia
wa

 nje  ya nchi wanavyoshirikiana bega kwa bega kusaidia
wahanga

 wa  tetemeko la ardhi la september 10. kwakweli
inafariji,  inatia moyo ni ishara ya umoja wetu.  Kagera imepigwa, kagera imeharibiwa watu wameathirika  kijamii, kiuchumi nk. Nyumba ziko chini,vifo,
magonjwa

 na  ulemavu. wanakagera wana hali mbaya sana.  Hili ni pigo la tatu tangu nchi yetu ipate uhuru.

 ilianza  vita ya kagera, ikaja janga la ukimwi, na sasa
tetemeko

 la  ardhi. japo kuwa kuna kuzama kwa meli, mafuriko hasa
ya  elnino na vimbunga/ukame  Kagera ina wakati mgumu sana aisee. inatia huruma

 kuzungukia  maeneo ya mkoa huu. zilipokuwa nyumba ni vifusi,
mabati  yaliyokuwa yameezeka majumba sasa yamepigiliwa
misumari

 na  kuwa ndio makazi yao. hali ni mbaya.  Faraja kubwa ni kwa wanaochangia walichonacho.
Shurani  kwenu  --  J L Kamala  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com
Utapata

 Email ya kudhibitisha  ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to   abide by our Rules and Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed
to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to  wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com.  For more options, visit  https://groups.google.com/d/

 optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com
Utapata

 Email ya kudhibitisha  ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to   abide by our Rules and Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed
to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to  wanabidii+unsubscribe@  googlegroups.com.  For more options, visit  https://groups.google.com/d/

 optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com Utapata
Email ya  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to   abide by our Rules and Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed
to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout.  --  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com     Kujiondoa Tuma Email kwenda  wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya  kudhibitisha ukishatuma     Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility  for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence  statements and facts must be presented responsibly.

 Your  continued membership signifies that you agree to this  disclaimer and pledge to abide by our Rules and  Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed
to

 the  Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha

 ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@

 googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/

 optout. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment