Comrades;
Happy kweli ni kilaza,anajiita mwandishi wa habari mkongwe/mwanasheria lkn practically hayumo.
Jina la mtu ukitoa/ukikosea herufi hata moja tu anakuwa sio yule unayemlenga,hii ni wazi na jambo la kawaida kabisa na hasa kwa Wanasheria.
Unapokuwa Professional halafu hufuati ethics za Taaluma yako ni sifuri au kilaza kwa jina lingine.
Reuben
On Wednesday, July 22, 2015 3:38 AM, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Happy
Jina lake ni SAMIA SULUHU HASSAN maana ukichanganya kama ulivyofanya wewe unampata Samia mwingine na sie huyo uliyemkusudia
Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
-----Original Message-----
From: "'Happiness Katabazi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 22 Jul 2015 13:10:13
To: WANABIDII<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] SAMIA HASSAN SULUHU " STYLE"
SAMIA HASSAN SULUHU ' STYLE'
Na Happiness Katabazi
SAMIA ni mwanamke wa kwanza kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushika wadhifa wa mgombea mwenza wa Chama hicho Katika mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM uliomalizika Julai 12 Mwaka huu Mkoani Dodoma ,tangu CCM ilipozaliwa rasmi Mwaka 1977.
Uteuzi huo ni sifa kubwa kwa sisi Wanawake kwasababu imethibitisha pasiposhaka Kuwa Kumbe wanawake wanawake tunaweza na tu nauwezo.
Pili imethibisha kile kilio cha wanawake cha muda mrefu cha kutaka wanawake nao wamepewa nafasi za juu za uongozi ndani ya vyama siasa ,serikalini na kwenye taasisi zingine kimesikika kwa kikishindo kwa chama dola CCM kumteua Mwana mama Samia ambaye ni msomi,asiyena na makuu ,Mzalendo ,Mzoefu Katika siasa za CCM na ameishapata fursa ya kushika nafasi ya ubunge katika jimbo la Makunduchi Zanzibar, Waziri hapa Tanzania Bara na Zanzibar kupewa nafasi hiyo.
Uchaguzi Mkuu wa taifa letu uliopangwa kufanyika Oktoba Mwaka huu, na CCM ikifanikiwa kupata ushindi , basi Samia atakuwa ndiye Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wa kwanza mwanamke tangu Tanzania ipate Uhuru wake Mwaka 1961.
Na hivyo ndivyo itakavyokuwa ,tuombe uzima na historia hiyo mpya ya Tanzania Kuwa na Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke itaandikwa Kwenye vitabu Vya Kumbukumbu na Kwenye vichwa Vya watu wanaofikiri Sawasawa.
Binafsi Leo natangaza wazi kupitia ukurasa wangu huu Kuwa Nitamuunga mkono Samia na Patna wake "Bwana Pombe " yaani John Pombe Magufuli ambaye ni Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Katika safari Yao ya " ukweli " waliyoianza rasmi Julai 12 - Oktoba 25 Mwaka huu.
Nawaamasisha Watanzania wote wanaofikiri Sawasawa Kumuunga mkono Mwana mama Samia ambae ni Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar na Patna wake Bwana Pombe yaani Magufuli.
Nimefanya utafiti wangu nimebaini Samia ni mwanamke anayependa kufunika kichwa chake kwa hijabu,vilemba ikiwemo aina hiyo niliyojitanda Mimi kichwani Katika hii picha yenye sura yangu.
Hivyo kwa wale wanawake wenzangu ambao hawana tabia za kuchukia wanawake wenzao pindi wanapoona wanawake wenzao wamefanikiwa kupata madaraka, mali,Fedha siku Moja Moja ikiwa ni Kumuunga mkono mwanamke mwenzetu Samia Katika Safari yake ya Kweli.
Tuwe tunajitanda ushungi wa aina anayependa kujitanda Samia ikiwa ni Ishara ya Kumuunga mkono nakuonyesha Sisi wanawake wa Tanzania Bara,tupo nae sambamba kwasababu Samia ni Mzanzibar na tukifanya hivyo pia kwa njia Moja au nyingine tutakuwa tunauenzi Muungano wetu ambao kwakweli ni wa aina yake licha kuna Mahasidi wachache wanataka Muungano Uvunjike na Hilo haliwezekani.
Mungu Ibariki Tanzania
Chanzo: Blogg: www.katabazippy.blogspot.com
Facebook: Happy Katabazi
0716 774494
22/7/2015.
Sent from my iPad
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment