Wednesday, 22 July 2015

Re: [wanabidii] SAMIA HASSAN SULUHU " STYLE"

Neno ptna vile vile linavyotumika na mwandishi huyu laweza kutoka nje ya kusudi la CCM. lakini pia huyu mama kachaguliwa kwa uwezo wake zaidi si kwa sababu ya maumbile yake
--------------------------------------------
On Wed, 7/22/15, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] SAMIA HASSAN SULUHU " STYLE"
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 22, 2015, 1:54 PM

Comrades;Happy
kweli ni kilaza,anajiita mwandishi wa habari
mkongwe/mwanasheria lkn practically hayumo.Jina la
mtu ukitoa/ukikosea herufi hata moja tu anakuwa sio yule
unayemlenga,hii ni wazi na jambo la kawaida kabisa na hasa
kwa Wanasheria.Unapokuwa
Professional halafu hufuati ethics za Taaluma yako ni sifuri
au kilaza kwa jina lingine. Reuben




On Wednesday, July
22, 2015 3:38 AM, fatma_elia via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Happy

Jina lake ni SAMIA SULUHU
HASSAN maana ukichanganya kama ulivyofanya wewe unampata
Samia mwingine na sie huyo uliyemkusudia

Fatma

Sent
from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.

-----Original
Message-----
From: "'Happiness
Katabazi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wed, 22 Jul 2015 13:10:13
To: WANABIDII<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] SAMIA HASSAN SULUHU "
STYLE"







SAMIA HASSAN
SULUHU ' STYLE'

Na
Happiness Katabazi

SAMIA ni
mwanamke wa kwanza kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kushika wadhifa wa mgombea mwenza wa Chama hicho Katika
mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM uliomalizika Julai
12 Mwaka huu Mkoani Dodoma ,tangu  CCM ilipozaliwa rasmi
Mwaka 1977.

Uteuzi huo ni
sifa kubwa kwa sisi Wanawake kwasababu imethibitisha
pasiposhaka Kuwa Kumbe wanawake wanawake tunaweza na tu
nauwezo.

Pili imethibisha 
kile kilio cha wanawake cha muda mrefu cha kutaka wanawake
nao wamepewa nafasi za juu za uongozi ndani ya vyama siasa
,serikalini na kwenye taasisi zingine kimesikika kwa
kikishindo kwa chama dola CCM kumteua Mwana mama Samia
ambaye ni msomi,asiyena na makuu ,Mzalendo ,Mzoefu Katika
siasa za CCM na ameishapata  fursa ya kushika nafasi ya
ubunge katika jimbo la Makunduchi Zanzibar,  Waziri hapa 
Tanzania Bara na Zanzibar kupewa nafasi hiyo.

Uchaguzi Mkuu wa taifa letu
uliopangwa kufanyika Oktoba Mwaka huu, na CCM ikifanikiwa 
kupata ushindi , basi Samia atakuwa  ndiye Makamu wa Rais
wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wa kwanza
mwanamke tangu Tanzania ipate Uhuru wake Mwaka 1961.

Na hivyo ndivyo itakavyokuwa
,tuombe uzima na historia hiyo mpya ya Tanzania Kuwa na
Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke itaandikwa Kwenye vitabu
Vya Kumbukumbu na Kwenye vichwa Vya watu wanaofikiri
Sawasawa.

Binafsi Leo
natangaza wazi kupitia ukurasa wangu huu Kuwa Nitamuunga
mkono Samia na Patna wake "Bwana Pombe " yaani
John Pombe Magufuli ambaye ni Mgombea urais  kwa tiketi ya
CCM Katika safari Yao ya " ukweli " waliyoianza
rasmi Julai 12 - Oktoba  25 Mwaka huu.

Nawaamasisha  Watanzania wote wanaofikiri
Sawasawa Kumuunga mkono Mwana mama Samia ambae ni Mtanzania
mwenye asili ya Zanzibar na Patna wake Bwana Pombe yaani
Magufuli.

Nimefanya utafiti
wangu nimebaini Samia ni mwanamke anayependa kufunika kichwa
chake kwa hijabu,vilemba ikiwemo aina hiyo niliyojitanda
Mimi kichwani Katika hii picha yenye sura yangu.

Hivyo kwa wale wanawake
wenzangu  ambao  hawana tabia za kuchukia wanawake wenzao
pindi wanapoona wanawake wenzao wamefanikiwa kupata
madaraka, mali,Fedha siku Moja Moja ikiwa ni Kumuunga mkono
mwanamke mwenzetu Samia Katika Safari yake ya Kweli.

Tuwe tunajitanda ushungi wa
aina anayependa kujitanda Samia ikiwa ni Ishara ya Kumuunga
mkono nakuonyesha Sisi wanawake wa Tanzania Bara,tupo nae
sambamba kwasababu Samia ni Mzanzibar na tukifanya hivyo pia
kwa njia Moja au nyingine tutakuwa tunauenzi Muungano wetu
ambao kwakweli ni wa aina yake licha kuna Mahasidi wachache
wanataka Muungano Uvunjike na Hilo haliwezekani.

Mungu Ibariki Tanzania

Chanzo: Blogg:
www.katabazippy.blogspot.com
Facebook: Happy
Katabazi
0716 774494
22/7/2015.



Sent from my iPad

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment