Ila ni nzuri ili kujua ni akina nani wanasema ukweli na akina nani ni waongo au wanasema uwongo. "Give a liar a long rope."
2015-07-25 18:00 GMT+03:00 Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>:
Kila kitu siku hizi ni pesa.--2015-07-25 9:29 GMT-04:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:Hii kitu imeachwa muda matokeo kila mtu anakuja na vyake.
Nashindwa kuamini kuwa ni bahati mbaya au ni mpango mzima well planned.
On Jul 25, 2015 2:21 AM, "Simon Mkina" <smkina@gmail.com> wrote:--Du.....!!!! kulishwa tunalishwa mengi, ila hili ni zaidi ya mlo. Ni uongo uliopitiliza...
On 25 Jul 2015 10:09 am, "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote:--Mnashangaa nini? Kuna watu wanalipwa kwa kutunga uwongo na kuwaaminisha wengine uwongo? Shame upon them!--2015-07-25 10:01 GMT+03:00 idriss kempanju <kimdr53@gmail.com>:"Mtu wa namna hiyo hatufai! Aende zake huko akalime shamba lake" Mwalimu Nyerere
On 25 Jul 2015 02:52, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:--Sasa tunahabarishana uzushi maana Habari hii lazima tuwe uthibitisho.
Tunajaziana emails
On Jul 24, 2015 3:03 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--Ipo siku utamsikia Mwalimu nerere akihutubia mkutano na utawaalika watu waende uwanjani kumsikiliza
--------------------------------------------
On Fri, 7/24/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Nimesikitishwa na Freeman Mbowe kuuza CHADEMA kwa Edward Lowasa
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, July 24, 2015, 5:00 PM
Nimesikitishwa
na uamuzi wa Freeman Mbowe kuuza CHADEMA kwa shilingi
Bilioni 10 tu kwa Edward LowasaNimepokea
taarifa kwa masikitiko makubwa sana juu ya Mwenyekiti wa
CHADEMA, FREEMAN AIKAEL MBOWE kuuza chama kwa shilingi
bilioni 10 kwa fisadi Lowasa ambaye kwa mara kadhaa ametajwa
kuhusika kwenye kashfa nyingi za ufisadi hapa nchini. Kwa
mujibu wa taarifa hizo, Edward Lowasa amempa Freeman Mbowe
in personal shilingi Bilioni 10 kama hongo ili aweze
kuteuliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya
UKAWA.Hakika hizi ni taarifa mbaya
sana kwa wapenda demokrasia nchini na kwamba vita dhidi ya
ufisadi sasa inakuwa ngumu. Hii ni kwa sababu hawa wapinzani
ambao ndio tuliwategemea kuiamsha serikali dhidi ya
mapambano ya rushwa ndo wameingia kwenye mkumbo wa kutoa na
kupokea rushwa. Hii ni fedheha kubwa sana kwao na ni aibu
kwa siasa za Tanzania. Mbowe kanajisi upinzani na
amedhalilisha sana siasa za nchi yetu.Kwa Lowasa kuhamia upinzani si
tatizo. Ila tatizo ninaloliona hapa ni hili la kutoa
shilingi bilioni 10 ili tu ateuliwe kuwa mgombea urais. Kama
kiongozi wa chama anaweza kununuliwa kwa shilingi bilioni
10, vipi kuhusu rasilimali za nchi yetu? Tutamtofautishaje
na wale machifu ambao walikubali kuwekeana mikataba na
wakoloni kwa kupewa tu bunduki, vioo na vipande vya nguo
huku wao wakitoa vipande vya dhahabu? Hakika inaniuma sana
na inasikitisha sana.Ni
dhahiri sasa hatuna upinzani wa kweli nchini bali tuna
wachumia tumbo. Freeman Mbiwe pupa na tamaa ya fedha
inamfanya asione azma aliyonayo juu ya maelfu ya wafuasi
wake ambao walimuona kama ni kiongozi jasiri na mchukia
rushwa. Sasa katumbukia kwenye shimo. Nani atamnasua?
Tafakari na chukua hatua.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment