kama unaona uchungu Lowasa kuwa rais tafuna ndimu. wewe ni fisadi hata zaidi ya Lowasa. Miaka 7 imepita mbona hukuongea haya? jana alisema, shut-up au nenda mahakamani.
On Tuesday, July 28, 2015 11:48 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Maskini Mnyika!? najua watu wenye akili kama ninyi mna wakati mgumu kipindi hiki. Pole sana mtumbwi wa udongo mfinyanzi huu. hatukujua
--------------------------------------------
On Tue, 7/28/15, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Mbunge wangu Mnyika hata wewe leo umesahau haya ya Lowasa?
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 28, 2015, 11:24 PM
Wednesday, September 3, 2008
SERIKALI IACHE KUMLINDA LOWASSA
Ni mmoja wa mizizi
ya ufisadi wa Richmond
Akamatwe,
ahojiwiwe na achukuliwe hatua za kisheria.
Siku chache zilizopita. Nilitoa taarifa hii kwa vyombo
vya
habari. Hata hivyo, kwa sababu ambazo sizifahamu, habari hii
haikutoka katika
magazeti mengi ya kila siku. Pengine inaweza ikawa ni njia
iliyotumika
kufikisha ujumbe(barua pepe) lakini kuna uwezekano mkubwa
sababu ikawa ni kuwa
Lowassa hakutajwa kuchukuliwa hatua kama hizi ambazo
nimezieleza hapa katika
yale Maazimio 23 ya Bunge.
Yeye aliambiwa tu atakafakari na
kuchukua maamuzi ambayo
ataona yanafaa. Yeye akaamua kujiuzulu. Lakini bado
siridhiki sana na sababu
hii kwa kuwa maazimio hayo 23 hayajasema Karamagi na Msabaha
wachunguzwe kuhusu
Rushwa kama serikali ilivyoamua. Kama imeamualiwa na
Serikali hawa wachunguzwe,
kwanini serikali haikumjumuisha na Lowassa? Hii inafanya
niamini kwamba bado
msimamo huu hapa chini ni mwafaka:
Bwana Lowassa alikiri kwamba alikuwa
anafahamu kwamba
Richmond ni kampuni ya kitapeli, lakini katika kipindi chote
cha uongozi wake
aliinyamazia hali hii na kwa kiasi kikubwa aliitetea kampuni
hiyo mbele ya
macho ya umma. Wakati wa Viongozi mbalimbali wa upinzani
walipoweka bayana
kwamba Richmond ni kampuni isiyo na uwezo, serikali ilitetea
kampuni hiyo.
Vyombo mbalimbali vya habari vilimtuhumu Bwana Lowassa mwaka
2006 na 2007 kama
kiongozi wa Shughuli za serikali bungeni, kwamba alishiriki
'kuwaziba midomo'
wabunge wa CCM wasijadili suala hili. Pia, ni Bwana Lowassa
huyo huyo,
alinukuliwa akiwa Arusha akiwataka watanzania wasiijadili
kampuni ya Richmond
baada ya mvua kuanza kunyesha.
Kama Bwana Lowassa wakati wote huo
alijua kama
ni kampuni ya kitapeli kama anavyojaribu alivyojaribu
kujitetea, uamuzi wake wa
kuwaasa watanzania wasiijadili ulikuwa ni wa kulinda ufisadi
ambao aliufahamu.
Inashangaza pia ni Lowassa huyo huyo alisema alijua kuwa
Richmond ni kampuni ya
kitapeli; ni Lowassa huyo huyo alisema kwamba alishauriwa
vibaya na watumishi
wa umma aliowataja kuhusu uwezo wa Richmond; Ni Lowassa huyo
huyo aliyesema
kwamba alijua kuwa TANESCO chini ya Menejimenti ya Net Group
Solution walitaka
kuhujumu mchakato wa tenda na hivyo 'kuwanyang'anya'.
Lakini ni Lowassa huyo
huyo aliyekuwa Waziri Mkuu ambaye angeweza kuviagiza vyombo
vya dola kumwezesha
kuthibitisha 'utapeli wa Richmond'; hivyo, maelezo ya
sasa yanayotolewa kuhusu
ushiriki wake yanaonyesha kuwa sasa kuna mwelekeo wa
kumlinda.
Tunaendelea kushangazwa na Serikali na
Bwana Lowassa kutumia
utetezi wake kueleza tu nia yake ya kutaka mkataba wa
Richmond usitishwe; nia
ambayo kama ni kweli alikuwa na uwezo wa kuitekeleza na
hakuitekeleza.
Tunaitaka Serikali na Bwana Lowassa kuweka bayana ni kwa
vipi Richmond ilipewa
tenda hiyo na kwa shinikizo la nani.
Bwana Lowassa anakwepa kuyazungumzia
haya
kwa kuwa anajua kabisa kwamba ni yeye aliyetumia madaraka
yake vibaya alipokuwa
Waziri Mkuu kwa kukiuka Sheria na Taratibu za Ununuzi kwa
'kupora' mchakato
uliokuwa ukiendeshwa na TANESCO, 'kuunda kamati yake' na
kuzisukuma mamlaka za
ununuzi hali iliyopelekea Richmond kupewa tenda ili hali
haikuwa na uwezo
uliotakiwa. Ni uzembe huu ambao umelisababishia hasara taifa
kwa kulipa
shilingi milioni 152 kila siku kwa kampuni ya Dowans
iliyohamishiwa mkataba wa
kitapeli wa Richmond; na takribani bilioni 172 kwa ujumla
ambazo taifa
linawajibika kuzilipa kutokana na kukodisha mitambo hiyo.
Hvyo tunarudia tena
rai yetu ya kutaka fedha zilizozilipwa kizembe mpaka sasa
kurejesghwa
serikalini.
Kwa vyovyote vile, jitihada za Bwana
Lowassa za kuhamasisha ujenzi
wa Sekondari Kata, na utumishi wake kama Waziri Mkuu katika
kipindi cha miaka
miwili, haviwezi kuzidi hasara aliyosababisha katika uchumi
wetu kipindi chote
tulichokosa umeme wa dharura na wala hailingani na hasara
ambayo tunaendelea
kuilipa kila siku iendayo kwa Mungu. Maamuzi haya ya Bwana
Lowassa yanaendelea
kuwaumiza wananchi wote ikiwemo wa Jimbo lake la Monduli
ambao wanataabika kwa
mzigo wa gharama za umeme.
Vijana wa CHADEMA tulitarajia kuwa,
baada ya Bwana Lowassa
kukiri mwenyewe hadharani kuhusu uzembe wake na matumizi
mabaya ya madaraka
Rais Kikwete angelekeza hatua za kuchukuliwa dhidi yake
badala ya kuendelea
kumpamba kama "shujaa wa uwajibikaji', kinyume na hayo
tutaamini kwamba
serikali yake inaendeshwa kwa 'ubia wa
kulindana'.
Aidha tunarudia kutoa rai
kwamba Rais Kikwete kuwafukuza kazi watumishi wote wa umma
waandamizi ambao
wametajwa na Bwana Lowassa kushiriki uzembe na matumizi
mabaya ya madaraka;
watumishi ambao walitajwa pia na Kamati Teule ya Bunge
lakini mpaka sasa
wanaendelea kutumikia nafasi zao mbalimbali. Kwa kuwa Waziri
Mkuu Pinda
ameshatangaza kwamba kwa wale wateule wa Rais, Kamati yake
imeshapeleka suala
zima kwake, tunategemea Rais atachukua hatua za haraka ili
kuonyesha mfano kwa
viongozi wengine wa chini yake wanaotarajiwa kuchukua hatua
kwa watumishi wa
chini.
Bwana Lowassa
alithibitisha kwamba maneno yake kwamba wapo viongozi
waandamizi wa Serikali
ambao amewataja kwa majina wamefanya maamuzi ya kifisadi,
kitendo chake cha
kunyamazia ufisadi huo- kinafanya iwe vigumu kwa yeye
kutenganishwa na tuhuma
za ufisadi zilizomo katika mchakato mzima wa kupewa tenda
kwa kampuni ya
Richmond na mambo yote yaliyotokea baada ya Mkataba huo
kuhamishiwa kwa kampuni
ya Dowans.
Aidha tumefadhaishwa na Taarifa ya
Waziri Mkuu Pindi kwamba
kujiuzulu kwa Waziri Mkuu na Baadhi ya Mawaziri ilikuwa ni
ishara ya hatua
ambazo serikali imechukua kutekeleza maazimio ya Bunge
kuhusu suala husika.
Tunarudia kukumbusha kwamba toka sakata la Richmond
lilipoanza zaidi ya mwaka
mmoja uliopita tulimtaka Bwana Lowassa kujiuzulu kulinda
heshima yake lakini
alikaidi na kuitetea kampuni ya Richmond. Uamuzi wa yeye
kujiuzulu baada ya
kashfa yote kuwa hadharani, umesaidia tu kuilinda serikali
ya CCM lakini katu
hauwezi kumpatia heshima ya uwajibikaji na wala hakuwezi
kuwa ishara ya kwamba
Maazimio ya Bunge yameshatekelezwa.
Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa
CHADEMA (BAVICHA), kwa
taarifa hii tunarudia kukemea jitihada zozote za kumlinda na
kumtangaza Lowassa
kuwa shujaa katika taifa letu kwani hali hii ikiachwa
kuendelea inatoa mfano
mbaya kwa vijana wa Tanzania. Tusingependa kwa namna yoyote
katika taifa letu,
mtuhumiwa wa ufisadi aliyetajwa pia katika orodha ya
mafisadi(list of shame)
kulindwa na kuenziwa kama shujaa wa Taifa letu kwani ni
kuharibu maana nzima ya
ushujaa katika uwajibikaji.
"Inasikitisha kwamba vijana wezi
wadogo wadogo wakijazana
magerezani. Vijana wamachinga kuendelea kukosa mitaji na
maeneo ya kufanyia
biashara; wanafunzi wa elimu ya juu wakipandishiwa ada na
wengine kukosa
mikopo- huku fedha za walipa kodi zikiendelea kuteketea kwa
ufisadi na
watuhumiwa wa ufisadi wakiendelea kutamba hadharani. Hali
hii ikiachwa,
itaharibu utawala wa sheria na kuleta matabaka katika taifa
letu. Vijana
tusingependa kuona nchi yetu inatumbukia kwenye migawanyiko
kwa sababu ya
kuwalinda watu wachache kwa kisingizio cha haki za
binadamu"
Imetolewa tarehe 31 Agosti 2008
safirini Kenya na:
John Mnyika
Mkurugenzi wa Vijana
0754694553
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment