Nimeipenda hii!! Kukurupuka kuna madhara makubwa. Mbongo -akili ya visasi na kutokupenda ukweli na kuaibishwa -HADHARANI! watoto shuleni wanaathirika, mke na wanafamilia wengine kwa baba kusutwa mbele ya Media anaonekana na msuto kusikika. Taasisi haiwezeshi kwa vifaa na pesa halafu mtu anasutwa kwa huduma mbovu! Unamkamata na kumfukuza Waziri lakini haswa ingekuwa kwa mfano ktk suala la ardhi watu kujenga pasipo ruhusiwa-umkamate mpimaji wa kwanza aliyekwenda kukagua kiwanja na kuthibitisha kinafaa. Afisa wa NEMC na Industrial officer wa Wizara ya ardhi waliopitia mchoro wa ujenzi na process ya manufacturing na kuona pia uchafu ulioonyeshwa utatolewa na levels zake za kemikali mbali mbali-Wakaupitisha na kumpelekea waziri akasaini kutoa kiwacha hicho kwa ujenzi w kiwanda hicho. Pili, finally baada yabkiwanda kujengwa team husika ilikwenda kukagua kuona ujenzi wa mchoro uliopitishwa na hata waste stabilization ponds zipo zimejengwa. Wanathibitisha na Wizara husika-ardhi, Viwanda inatoa kibali uzalishaji uanze, pia kukagua kila baada ya muda na kupima emissions. Wafukuze wale waliokagua mara ya kwanza eneo, pia waliokagua mchoro na kukamilika kwa mchoro kumtaka waziri husika sas atoe kibali cha kiwanda kuanza. kitakuwa kimezingatia sheria zote local and international na location. Unafukuza wale wa juu tu hapa, pale bila umakini na uchukuzi kwanza unamuaibisha mbele za watu! Inakuja inakugeukia ukweli unapogundulika na ulikwisha kumfedhehesha vbaya sana! Umejenga uadui, mswahili vengeance ndio tija yake, kila sekta mazari yanaibuka. Uchumi na huduma haziendi mbele bali walioaibishwa na kukomolewa nao kutafuta njia za kuunda mazari kulipiza kisasi. Ua na maliza chanzo cha tatizo sio matokeo.
Ninaomba pia Wizara husika itumie NHC kuwajengea maeneo ya biashara hao wajasiriamali hawame mabarabarani na nje ya matuka ya wenzao. Kusewe na mfanya biashara barabarani. Wote wakae maeneo maalum ya masoko kikata na Mtaa. Watumie JKT na magari yao kuwabeba kuwapeleka huko na kusimamia na serikali ya mtaa na masoko kuwagawia meza/makazi. JWTZ walinde usalama kwa wale watakaogoma kuondoka mitaani barabarani wale kisago. Ustawi wa jamii watumie mgambo kuwabeba omba omba kuwapeleka kambi za wazee na watoto wa mitaani. unakuta ombaomba wapo nje ya majengo ya GVT au serikali au bustani barabarani wanafua, wanaanika nguo wamejaa na watoto. Viongozi wa GVT wanapita wanawaona hawa na wanaona vijana na mibaba imejaa chini ya miti na barabarani inatembeza midoli na spare za magari. Mji umekuwa vurugu, makorokoro, magari yanazobwa njia za mkato matokeo foleni masaa mengi mahala pafupi. Haya yanaonekana lakini wapo vamia hapa, vamia pale!
Pia, waiambie wizara ya mambo ya ndani-iondoe bar na restaurants zote zilizopo nje ya vutuo vya polisi. Ni hatarimtu anaweza kufika hapo akaripua bomu akaua polisi, mahabusu na raia. Bara ya kileo jirani au adjacent police post ndio utamaduni gani? Eneo la Kituo liwe fence na kama ni chai wawe na vyombo vya kuchemsha ndani wanywe wakitaka kula vizito wapokezane kwenda kula restaurnts kama hakuja huduma ya kuletewa kwa mkataba. wale wauzao chakula nje ya wizara ya afya na matititi wazi yamekatwa pale mbele ya geti-watumbuliwe waondoke sio kutumbua machinjio peke yake-hawa wapo gate la mbele la wizara ya Afya. Makamba naye ajitambue!!
--------------------------------------------
On Fri, 4/3/16, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] HIVI January Makamba ANAFIKIRI KWA KUTUMIA KIUNGO GANI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 4 March, 2016, 8:20
Shida yetu hatupendi
kuambiwa ukweli,
Kuna uongo gani hapo? Na
majuzi kwenye sherehe za maadhimisho ya chama
JK alimwambia Magu "...kuna vijana
walifanya kampeni....
...waangaliwe...", bado anafikiria mambo
yanaenda kama alivyokuwa
akiyaendesha
yeye.
Mlizoea kufanya
urahisi flani mpewe vyeo... Leo pamekuwa pagumu.
teh teh
teh
"Ikumbukwe kwamba serikali ya JK
ilikuwa makini kuliko hii serikali ya
KUKURUPUKA. Sasa iweje huyu mwendawazimu
aikashfu serikali ya JK
hadharani? "
Gikaro, wasemea umakini kwenye nini??
--
*"Anyone who conducts an
argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his
memory." Leonardo daa Vinci
*
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment