Kufukuza watu ambao maeneo yao ya kazi hayana maendeleo yoyote, hawapo katika Tarafa au Kata zao za kazi na kuweka wengine kutasaidia utendaji.
Haiwezekani kwamba yupo Bwana Afya Kata hapo ofisi ya kijiji naofisi haina choo. Shule ya msingi alipo haina choo au vyoo vimetapakaa kinyesi cha wanafunzi mpaka nje na hakuna Kibuyu Chirizi cha watoto kunawa mikono wakitoka chooni na madumu, chupa za plastiki zimezagaa kijijini.
Unafika kijijini kufanya tafiti shirikishi kwa mpango wa serikali kujenga mkwa mfano barabara ambapo watu watahamishwa pia-Extension staff wanakaa makao makuu ya mji wa wilaya sio Kata au Tarafa zao pamoja na huko kuwa na nyumba nzuri za kisasa. Hakuna mobile phone services! Ukimpakia uende naye katani kwake-eti ulimlipe posho! As if anasafiri kwenda nje ya eneo lake la kazi. Fukuza hawa!! Unataka kufanya presentation kiwilaya ili mpate comments zao tena kikao mnaomba muda wa kazi. Pia mmeandaa soda na sambusa-wanataka posho na unapewa kiasi cha posho ya DED, Mwenyekiti wa Council (65,000/=); wakuu wa kidara (40,000/=) na ulipe nauli na Posho wa Madiwani watakaoalikwa nauli na posho itafika 100,000+ per person. Hamna bajeti hiyo mnaamua kuacha kikao hicho ambacho ni sehemu shirikishi ya kazi. Muda wa kazi, unalipwa mshahara unataka tena ulipwe kwa kikao. Vikao vingine kila mtu anaondoka na 150 elfu na walikutana saa 1 tu muda wa kazi. Huu ni wakati sasa wa kurekebisha yote haya.
Mzungu anaingia Roma (TZ) anafanya kama Waroma wanavyofanya. Tunamwambia hiyo ndio Sera au matakwa ya serikali kulipa posho kwa vikao na hata hivyo vya capacity building. Niliondoa katika bajeti ya HESAWA Mara Region 1986-188 nilipata uadui mkubwa. Niliondoa RUDEP Rukwa 1990s ilizuka balaa kubwa sana. Unakuta mwaka mzima injinia wa maji anajenga anafukia mabomba ya maji lakini haonyeshi kilometa alizotakiwa versus ngapi amemaliza kwa kipindi gani cha kazi. Yupo anajenga tu milele na kuchukua hela. Ukisema ukaangalie vijiji husika hayo maendeleo ya kazi unapata upinzani nawe mgeni hukujui kwa kwenda na kuvamia. Usije ukasukiwa zari pia. Watu wamezila hela hasa lakini waliowengi wameishia pombe, nyumba ndogo, anasa kibao wachache sana wametumia pesa za ufisadi kwa maendeleo ya familia na jamii zao. Hii zuia mishahara na miradi hewa ya Mangufuli, tutashuhudia akina mama nyumba ndogo wakiaibisha familia zao kwa kupeleka kukabidhi watoto kwa wake zao halali kuwa baba hamtunzi tena hana hela. Shopping za kukutana katika vikao ulaya zitakwisha na wadada watawatema na tayari wamewajengea majumba na kuwaanzishia biashara. Kidada kitachukua kakijana na mzee hata msaada hatopata kutoka biashara alizomwanzishia. Hana hela sasa. Akina mama lea waliofanya hivyo kutokana na mihela ya kutoka bunge na vikao vingine vya serikali na magumashi yake-watatemwa. Miradi kijana ataiendesha na dogo wake. Kuna mengi ya fedheha yaja!!
--------------------------------------------
On Mon, 28/3/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 28 March, 2016, 22:56
Kama una uzoefu na wafadhili hawa
utaona jinsi wanavyoweka fedha katika kitu wanachoita
'capacity building' Wanafanya hivyo kwa makusudi fulani na
kujiepusha kufanya vitu phisical. Wanapovifanya
wanahakikisha hamtavifaidi. Wakikutana na waombaomba wasiona
mwelekeo (kama waliopita) basi watawamwagia misaada na
mtaishia kupata fedha za semina na matangazo ya ''Msaada huu
umetolewa kwa hisani ya watu wa ----'.
--------------------------------------------
On Mon, 3/28/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, March 28, 2016, 9:15 AM
Tukipata
misaada tukaitumia kuleta mifumo bora tutaendelea. Hata
Japani walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni kutaka
kuiba hiyo misaada na kutumia misaada kwa faida ya watu
wachache. Msaada unaombwa ukiwa umebeba administrative
costs
kubwa na development budget kidogo pia nazo zinahusu posho
za semina zinazoendeshwa na walewale walioandaa miradi
walioko serikalini. No tangible development costs. Kwahiyo
mamilioni ya dola yanaishia mifukoni mwa watu badala ya
kwenda kwenye miradi.
Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye
sector ya kilimo ktk Halmashauri moja mambo niliyoyaona
humo
ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta na posho. Hatuwekezi
kwenye miradi.
Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi wenyewe.
Misaada ikitumika vizuri inaweza kuleta maendeleo na
kuondokana na utegemezi.
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
Thanks, Ireneus Kakuru Mushongi na Elisa Muhingo amehoji
yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi kutufunua sisi
vipofu TZ tupo wengi wa kufuata mikumbo na kujali tumboni
street.
HK
--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi
<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI
NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups
com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05
Nawaogopa wale mnaoutukuza umagharibi na na
pia kupima mafanikio yenu kwa mizania ya
kimagharibi!
Angalia China, India, Asian Tigers, hawaendekezi
U-Magharibi. Wana principles zao nzuri wanazitumikia
wanazifuata. Huku hatuna nidhamu ya kazi na kufuata
kanuni
za mafanikia, hadi tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli
kwa
akili hii tutafika?
Hivi ni checklist gani ya
kimagharibi unadhania inatufaa sisi hadi tuifuate
hatua
kwa
hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa, kiuchumi au
kiutamaduni?
Our
political, cultural, social and economical values in
terms
of mission and visions should guide of undertakings.
We
are
in a very different environment in any of the above;
how
come their missions and visions guide our strategies?
Hapa
kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na vision yake
inaweza
kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa vizuri kwa
vitendo
na
nidhamu ya hali ya juu. Kwa nini tunang'ang'ania
hizi dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha
mambo
yetu?
Can't we learn from others in the Eastern world?
Can't we come up with something African and
particularly
Tanzanian to guide of move?
Or simply because bwana mkubwa Uncle
Sam (US) is not happy, then we are in a wrong
direction?
Because we not dancing in his tune? Yes it's time to
say
no!
For how long
should WE keep on licking their feet, kissing their
ass to
please them love us? South Africa, North Korea,
Iran,
Libya,
were all sanctioned and denied the foreign aid few
years
ago; you all know what they did out of dependence to
change
their status.With exceptional of Libya where
these western thugs intervened, we are well informed
of
the
situation right now. Gadhafi is dead and Libya is a
mess.
US
and her western allies are there at large controlling
oil
reserves! Similarly they intervened Libya government
as
undemocratic, supported few individuals who took
refuge in
UK and US, formed political movements, ousted
Gadhafi;
those
individuals as they were not united previously,
started
fighting for power distribution; the West have failed
and
a
situation in not manageable right now; gone beyond
control;
some groups have turned into terrorist groups, joined
ISIS
and Al-Qaeda; and surprising enough still few
Tanzanians
are
hailing US as the remedy for our situation; come on
guys;
be
serious and think ahead.
Ndugu zangu wengine najua
mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama kwa kuamua ama kwa
kulazimishwa na mazingira. By the way Donald Trump
doesn't need you anymore; km uko US; you better come
back ili tujenge nchi yetu kwa kaulimbiu zetu
wenyewe
badala
ya kuchochea vurugu na kulalamika tuuuu! We will
never
make
it under US missions and visions to determine our
fate as
a
country. Ndiyo changamoto zipo bado lakini
collectively
sisi
wenyewe bila kuingiliwa na yeyote; we can make
it.
Just my
take!
Omukunirwa
Ireneus
2016-03-27 12:56 GMT+03:00
'Mashaka Makana' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>:
Kama demokrasia ya
chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano
wakati
chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi na kuimarisha
umasikini
basi
mh.magufuli mpaka 2050!
Sent
from Yahoo Mail on Android
From:"'mashakamakana'
via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Tunalo
jembe limechongwa usukumani wala hatuna haja ya amri
zao.
Dawa ni kuwapuuza wakileta yasiyotufaa. Hongera
wanyarwanda
mh. kagame mpaka 1937
'Bernard' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mapenzi ni
chongo.From:
'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
Sent:
27/03/2016
00:52
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Unazungumzia Marekani
ipi? Iliyomuunga mkono Savimbi ili Angola angola
isiendelee na kuendeleza demokrasia? Hapo ndipo
ilikuwa
inatetea democrasia? Marekani iliyovamia Panama?
Unaongelea
marekani gani inayoona kuwa Tanzania haikufuata
demokrasia?
Iliyomuunga Mkono Mobutu kufilisi Kongo?
--------------------------------------------
On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
Marekani
ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania.
Kutofuatwa
kwa misingi ya kidemokrasia
ikiwa ni pamoja na
kuwa na Tume
huru ya Uchaguzi ndiyo
tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
iliyoundwa
naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
wa CCM (Rais)
ndiye huyo huyo anayeelekeza
majeshi ya ulinzi na usalama
yawanyanyase
wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
kutakuwa na uchaguzi hapo?
CCM
inajua wazi kwamba haipendwi na
wananchi ndiyo maana
inang'ang'ania
Katiba iliyopo inayompa madaraka
makubwa
Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
masilahi yake madarakani.
Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
On Thursday, March
24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mara
baada ya uchaguzi mkuu
October 2015 na yaliyotokea Marekani
ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania.
Sababu
mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
Uchaguzi wa Zanzibar na
2) Kutaka kujua
kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya
kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao
kuvuruga
uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa
dola.
Majuzi baada ya
uchaguzi
Zanzibar Marekani ililalamika kwa
uchaguzi kufanyika bila
waliogoma
kushirikishwa.
Marekani
inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
salama
na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented
responsibly. Your
continued membership
signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this
message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it,
send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email
kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or
her postings, and hence statements
and
facts must be presented responsi
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email
ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment