Tuesday 29 March 2016

RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Atu.Pamoja na ukweli huo ni lazima tuanzie mahala fulani.
Wakati mkuu wa kaya akitembeza bakuli tulikuwa tunaandika humu kuwa hiyo ni aibu. MCC walipotukatalia fedha zao kwasababu ya masharti nilijisikia vizuri kwa sababu kusingekuwa mabadiliko magogoni ingebidi kuharakisha ili tutimize masharti. Huo ndio uitwao utumwa mamboleo. Sasa kwamba tunaye mkuu wa kaya asiyeburuzwa na masharti ya wafadhili
--------------------------------------------
On Tue, 3/29/16, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, March 29, 2016, 6:55 AM

Irenei
ni kweli kabisa vyama vya siasa hatuwezi
kutuletea maendeleo.  na ni sahihi kabisa mataifa ya nje
hayawezi kutufaa kwa maendeleo yetu na ya wajukuu zetu. 
lakini tumefikaje huku, wameingiaje hawa? ni kwa sababu
tumeonyesha kushindwa.  kwa muda mrefu tumekuwa tukiwafuata
na bakuli la kuombea na kuwapigia magoti kuwa hatujiwezi
tunaomba tafadhali.  Tumewaita km consultants watuandikie
proposals nzuri maana sisi hatuwezi.. tumeshindwa.

lakini hela ikija inaenda mifukoni mwa wachache..
tumeshindwa.

Juzi wananchi wa Musoma  waliripoti kuwa
wanakunywa unreated water.  dawa inagharimu 1. 7m per
month.  Idara inakusanya 20m za bills za maji per month. 
Usishangae  kuomba msaada wa kuzuia kipindupindu.
Jana Rais kupokea repoti za CAG.  tega sikio
kakaangu usikie  mambo ya hovyo
On 29 Mar 2016 00:02,
"Ireneus Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:


Mbegu.

Sisi tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata
upepo km boda boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli or
whoever we speak our minds.  Magufuli Sio Mungu but
let's be realistic that American principle won't get
us anywhere! I know you guys okays everything American as
they have been your godfather funding and financing your
political interests.

As
said earlier Americans work for their interests not from
humanity point of view.

Wewe ndivyo ulivyo individually. Do not
generalise your mindset onto others. America is not a
solution to global problems. Isn't a solution to our
matters as well!
That Mbowe, Lowassa or
Magufuli favours America doesn't take away our own
decisions from serving our country. None of them think on
our behalf.

Let's do
it our own way!From:
Edgar
Mbegu
Sent:
‎28/‎03/‎2016
23:04
To:
Wanabidii
Mawazo
Subject:
RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?


Bifabusha, mtu akihoji matumizi ya hovyo namna
hiyo, anaonekana si mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata
waliokuwa wanahoji kupigwa danadana uchaguzi wa Meya DSM
walionekana kuwa ni wachochezi hadi pale JPM alipotamka.
Nina Imani kuwa hata hawa wanaoponda US na sera na siasa
zake siku JPM akiziunga mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
tulivyo!
Date: Mon, 28 Mar 2016
15:19:15 +0300
Subject: Re: RE: [wanabidii]
MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
From: acanemwango@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Nakubaliana sana
na wewe Dominick. 

Maendeleo yanaanza na mtu binafsi.  japo baadhi ya sera na
taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha nyumba juhudi za
mtu binafsi.  


On 28 Mar 2016 11:14, "'Dominick
Rukokelwa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Bifabusha
umesema vema.Tujilaumu
sisi wenyewe kama Tanzania/ Afrika.Tanzania tuna ardhi iliyosheheni kila kitu.
Hivi kupanda maharage kunahitaji msaada kutoka
Marekani?Ardhi tunayo ila
tunaitazamaje kwa macho yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono
gani kwenye ardhi yetu?Tunachokiona cha kwanza ni kuiuza ardhi ya
Tanzania.Sisi ni walegevu
sana, swala la kazi linapaswa kusimamiwa na kila mtu. Kazi
peke yake ndiyo itakayoinua taifa.Kwa mfano kuna faida gani kuwa na mfuasi wa
chama chako cha siasa lakini hataki kufanya
kazi?Unaposimama
kumhutubia mfuasi wako hotuba nzima humhimizi baada ya
mkutano na maandamano aende akafanye kazi. Mtu yeyote
anayeipenda Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha
maendeleo.Wenzetu
wanaitazama ardhi tofauti na sisi. Wenzetu wanajua nini
maana ya kazi. 

On Monday, March 28,
2016 9:15 AM, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


Tukipata
misaada tukaitumia kuleta mifumo bora tutaendelea. Hata
Japani walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni kutaka
kuiba hiyo misaada na kutumia misaada kwa faida ya watu
wachache. Msaada unaombwa ukiwa umebeba administrative costs
kubwa na development budget kidogo pia nazo zinahusu posho
za semina zinazoendeshwa na walewale walioandaa miradi
walioko serikalini. No tangible development costs. Kwahiyo
mamilioni ya dola yanaishia mifukoni mwa watu badala ya
kwenda kwenye miradi. 
Nilibahatika kufanya budget analysis
kwenye sector ya kilimo ktk Halmashauri moja mambo
niliyoyaona humo ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta na
posho. Hatuwekezi kwenye miradi.
Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu
sisi wenyewe. Misaada ikitumika vizuri inaweza kuleta
maendeleo na kuondokana na utegemezi.

Sent from Samsung
Mobile


-------- Original message
--------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Date:
To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?




Thanks, Ireneus Kakuru Mushongi na Elisa
Muhingo amehoji yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi
kutufunua sisi vipofu TZ tupo wengi wa kufuata mikumbo na
kujali tumboni street.
HK

--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:

Subject: Re: RE:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups
com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05

Nawaogopa wale mnaoutukuza
umagharibi na na
pia kupima mafanikio yenu
kwa mizania ya kimagharibi!
Angalia China,
India, Asian Tigers, hawaendekezi

U-Magharibi. Wana principles zao nzuri wanazitumikia
wanazifuata. Huku hatuna nidhamu ya kazi na
kufuata kanuni
za mafanikia, hadi
tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
akili
hii tutafika?
Hivi ni checklist gani ya
kimagharibi unadhania inatufaa sisi hadi
tuifuate hatua kwa
hatua ndio tufanikiwe?
Ya Kisiasa, kiuchumi au
kiutamaduni?
Our
political, cultural,
social and economical values in terms
of
mission and visions should guide of undertakings. We are
in a very different environment in any of the
above; how
come their missions and visions
guide our strategies? Hapa
kazi tu ni Kauli
mbiu ambayo mission na vision yake inaweza

kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa vizuri kwa vitendo
na
nidhamu ya hali ya juu. Kwa nini
tunang'ang'ania
hizi dhana za
kucopy na kupaste katika kuendesha mambo yetu?
Can't we learn from others in the Eastern
world?
Can't we come up with something
African and particularly
Tanzanian to guide
of move?
Or simply because bwana mkubwa
Uncle
Sam (US) is not happy, then we are in
a wrong direction?
Because we not dancing
in his tune? Yes it's time to say

no!
For how long
should WE
keep on licking their feet, kissing their ass to
please them love us? South Africa, North
Korea, Iran, Libya,
were all sanctioned and
denied the foreign aid few years
ago; you
all know what they did out of dependence to change
their status.With exceptional of Libya
where
these western thugs intervened, we
are well informed of the
situation right
now. Gadhafi is dead and Libya is a mess. US
and her western allies are there at large
controlling oil
reserves! Similarly they
intervened Libya government as

undemocratic, supported few individuals who took refuge
in
UK and US, formed political movements,
ousted Gadhafi; those
individuals as they
were not united previously, started

fighting for power distribution; the West have failed and
a
situation in not manageable right now;
gone beyond control;
some groups have
turned into terrorist groups, joined ISIS

and Al-Qaeda; and surprising enough still few Tanzanians
are
hailing US as the remedy for our
situation; come on guys; be
serious and
think ahead.
Ndugu zangu wengine najua
mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama kwa kuamua
ama kwa
kulazimishwa na mazingira. By the
way Donald Trump
doesn't need you
anymore; km uko US; you better come
back
ili tujenge nchi yetu kwa kaulimbiu zetu wenyewe badala
ya kuchochea vurugu na kulalamika tuuuu! We
will never make
it under US missions and
visions to determine our fate as a
country.
Ndiyo changamoto zipo bado lakini collectively sisi
wenyewe bila kuingiliwa na yeyote; we can
make
it.
Just my
take!


Omukunirwa
Ireneus 



 


2016-03-27 12:56 GMT+03:00
'Mashaka
Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama demokrasia ya
chaguzi za
viongozi kila baada ya miaka mitano wakati

chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi na kuimarisha umasikini
basi
mh.magufuli mpaka 2050!

Sent
from
Yahoo Mail on Android 
From:"'mashakamakana'
via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

  Tunalo

jembe limechongwa usukumani wala hatuna haja ya amri zao.
Dawa ni kuwapuuza wakileta yasiyotufaa.
Hongera wanyarwanda
mh. kagame mpaka
1937



'Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


Mapenzi ni
chongo.From:

'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
Sent:
‎27/‎03/‎2016
00:52
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii]
MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?

Unazungumzia
Marekani
ipi? Iliyomuunga mkono Savimbi ili
Angola  angola
isiendelee na kuendeleza
demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
inatetea
democrasia? Marekani iliyovamia Panama? Unaongelea
marekani gani inayoona kuwa Tanzania
haikufuata demokrasia?
Iliyomuunga Mkono
Mobutu kufilisi Kongo?

--------------------------------------------
On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 
Subject: Re:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA
GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
 
  Marekani

ina shida na wizi wa kura
unaoendelea Tanzania.
Kutofuatwa
  kwa misingi ya kidemokrasia

ikiwa ni pamoja na
  kuwa na Tume
  huru ya Uchaguzi ndiyo

tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
 
iliyoundwa
naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye
mgombea halafu
  useme kuta kuwa na
uchaguzi hapo. Mwenyekiti
wa CCM (Rais)
  ndiye huyo huyo anayeelekeza
majeshi ya ulinzi na usalama
  yawanyanyase
wapinzani wake
ili wasishinde uchaguzi, bado
  kutakuwa na
uchaguzi hapo?

CCM
  inajua wazi kwamba haipendwi na
wananchi ndiyo maana
 
inang'ang'ania
Katiba iliyopo
inayompa madaraka
  makubwa
Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili
kulinda
  masilahi yake madarakani.

Hili halikubaliki na
Marekani na mataifa mengine
  ya Ulaya yako
sawa kabisa kupinga.
 
 

 
 

    On Thursday, March
  24, 2016 11:05
PM, 'ELISA MUHINGO' via

Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
  
 
  Mara
 
baada ya uchaguzi mkuu
October 2015 na
yaliyotokea Marekani


ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania.
  Sababu
  mbili ilizozitaja
ni 1) Kufutwa kwa
Uchaguzi wa Zanzibar
na
  2) Kutaka kujua
kama
kweli sheria ya mtandao ina haki ya

kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia
mtandao kuvuruga
  uchaguzi ambao baadhi
walikuwa mikononi mwa
dola.
 
  Majuzi baada ya
uchaguzi
  Zanzibar Marekani
ililalamika kwa
uchaguzi kufanyika bila
  waliogoma
kushirikishwa.
 
  Marekani
inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
  salama
na chini ya viongozi
waliodhibitishwa na tume za
  uchaguzi kuwa
ndio waliochaguliwa?
  Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   

 

  Kujiondoa Tuma
Email kwenda
 
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 

   
 
 
Disclaimer:
 
 
 
Everyone posting to this Forum bears the

sole
  responsibility
 
for
any legal consequences


  of his or her postings, and hence
 
  statements and facts
must be presented
responsibly. Your
  continued membership

signifies that you agree
  to this
  disclaimer and pledge to abide by
  our Rules and Guidelines.

 

 
 
---
 


  You received this


message because you are subscribed to the



  Google Groups
"Wanabidii"
group.
 
 
  To
unsubscribe from this group and stop
 
receiving emails
  from it,
send an email to
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
 
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
 
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to
  this Forum bears the
sole
responsibility for any legal

consequences of his or
  her
postings, and hence statements
  and
facts must be presented responsi



--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.


---


You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.

To unsubscribe
from this group and stop receiving emails

from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


[The entire original message is not
included.]



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment