Wednesday 30 March 2016

Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

1. Kama ni dikteta awe ni yule anayetulazimisha kutenda haki.
2. Kuheshimu sheria, misingi ya utawala bora, demokrasia na haki za binadamu.
3. Na kusiwe na dikteta wa kufanya hayo hapo juu yadolole.

2016-03-30 9:32 GMT+03:00 Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>:
Reaction from Charles Mwijage:

MCC wamekataa kutoa pesa kutokana na jinsi uchaguzi wa Zanzibar ulivyoendeshwa, hiki ni kisingizio tu. Hatuwezi kuendesha nchi yetu kwa matakwa yao. Mbona wanatoa fedha Misri na Israel, hizi nchi hakuna wanaozilalamikia au hazikandamizi jamii Fulani?

Reaction on MCC matter.

From: Jovias Mwesiga
Sent: ‎29/‎03/‎2016 22:45
To: WANA BIDII

Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Watanzania bwana mimi nafurahia jinsi tunavyojitutumua. Ni kitu kizuri kweli ila huu uchungu umetoka wapi?
Hivi kwaninj MCC wanaondoka vile? Kuna ukweli gani madai yao?

On Mar 29, 2016 13:30, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:
Dominick,
Kati ya watu hao Kikwete anaongoza.
em

2016-03-29 7:51 GMT-04:00 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wapo watu ambao kwao kujitegemea ni dhambi.
Nchi kama Tanzania inaweza wakati wowote ikapata viongozi dhaifu. Kwa hali ilivyo haiwezekani kwa mtu ambaye ana elimu ya msingi kuwa rais wa Tanzania. Kwa hiyo wapo wasomi wa ngazi hiyo ya vyuo vikuu kuongoza taifa hili lakini ni watu dhaifu. Ndani yao hawana dhamira ya kujitegemea. Taifa linaweza kupata kiongozi ambaye hajui ni kwa nini yeye ni rais, waziri mkuu, waziri nk,
Kuna watu ambao mawazo yao ni kuombaomba na kurithi. Akitaka kufanya jambo anataka aangalie ni wapi akaombe. Kama kiongozi wenu ni aina hii ya fikira za kuombaomba taifa halitoki.Na kama taifa lina raia wengi wa aina hii mwisho wake uko karibu sana. Na Marekani wanatumia udhaifu wetu huu kufanya wapendavyo. Ikiwa kesho Watanzania wote tukiamua kwa pamoja tunafanya kazi kwa akili zetu za kichwani na moyoni, mikono yetu, nguvu zetu, miguu yetu hawa wamarekani watatuheshimu na kutuogopa sana.
Mtu anasomea uhasibu si kulijenga taifa bali akaibe fedha za ofisi. Kwa hiyo huyu anataka Marekani walete fedha ili aibe. Akili zake za moyoni ni kuiba mali ya nchi siyo kufanya kazi ili nchi na raia tuendelee. Kupanda mchungwa si jambo la kungoja jirani aje apande kwako ila ni la kwako mwenyewe ila kama unataka kutukanwa na watoto wa jirani yako aliyeamua kupanda michungwa unapokwenda kuomba machungwa kwao shauri yako.
Bila kufanya kazi ili kujitegemea tutakuwa taifa la hovyo sana. 


On Tuesday, March 29, 2016 6:56 AM, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com> wrote:


Irenei
ni kweli kabisa vyama vya siasa hatuwezi kutuletea maendeleo.  na ni sahihi kabisa mataifa ya nje hayawezi kutufaa kwa maendeleo yetu na ya wajukuu zetu.  lakini tumefikaje huku, wameingiaje hawa? ni kwa sababu tumeonyesha kushindwa.  kwa muda mrefu tumekuwa tukiwafuata na bakuli la kuombea na kuwapigia magoti kuwa hatujiwezi tunaomba tafadhali.  Tumewaita km consultants watuandikie proposals nzuri maana sisi hatuwezi.. tumeshindwa.
lakini hela ikija inaenda mifukoni mwa wachache.. tumeshindwa.
Juzi wananchi wa Musoma  waliripoti kuwa wanakunywa unreated water.  dawa inagharimu 1. 7m per month.  Idara inakusanya 20m za bills za maji per month.  Usishangae  kuomba msaada wa kuzuia kipindupindu.
Jana Rais kupokea repoti za CAG.  tega sikio kakaangu usikie  mambo ya hovyo
On 29 Mar 2016 00:02, "Ireneus Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Mbegu.

Sisi tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo km boda boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli or whoever we speak our minds.  Magufuli Sio Mungu but let's be realistic that American principle won't get us anywhere! I know you guys okays everything American as they have been your godfather funding and financing your political interests.

As said earlier Americans work for their interests not from humanity point of view.

Wewe ndivyo ulivyo individually. Do not generalise your mindset onto others. America is not a solution to global problems. Isn't a solution to our matters as well!
That Mbowe, Lowassa or Magufuli favours America doesn't take away our own decisions from serving our country. None of them think on our behalf.

Let's do it our own way!

From: Edgar Mbegu
Sent: ‎28/‎03/‎2016 23:04
To: Wanabidii Mawazo
Subject: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?


Bifabusha, mtu akihoji matumizi ya hovyo namna hiyo, anaonekana si mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata waliokuwa wanahoji kupigwa danadana uchaguzi wa Meya DSM walionekana kuwa ni wachochezi hadi pale JPM alipotamka. Nina Imani kuwa hata hawa wanaoponda US na sera na siasa zake siku JPM akiziunga mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo tulivyo!

Date: Mon, 28 Mar 2016 15:19:15 +0300
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
From: acanemwango@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Nakubaliana sana na wewe Dominick. 
Maendeleo yanaanza na mtu binafsi.  japo baadhi ya sera na taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha nyumba juhudi za mtu binafsi.  
On 28 Mar 2016 11:14, "'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bifabusha umesema vema.
Tujilaumu sisi wenyewe kama Tanzania/ Afrika.
Tanzania tuna ardhi iliyosheheni kila kitu. Hivi kupanda maharage kunahitaji msaada kutoka Marekani?
Ardhi tunayo ila tunaitazamaje kwa macho yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono gani kwenye ardhi yetu?
Tunachokiona cha kwanza ni kuiuza ardhi ya Tanzania.
Sisi ni walegevu sana, swala la kazi linapaswa kusimamiwa na kila mtu. Kazi peke yake ndiyo itakayoinua taifa.
Kwa mfano kuna faida gani kuwa na mfuasi wa chama chako cha siasa lakini hataki kufanya kazi?
Unaposimama kumhutubia mfuasi wako hotuba nzima humhimizi baada ya mkutano na maandamano aende akafanye kazi. Mtu yeyote anayeipenda Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha maendeleo.
Wenzetu wanaitazama ardhi tofauti na sisi. Wenzetu wanajua nini maana ya kazi. 


On Monday, March 28, 2016 9:15 AM, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Tukipata misaada tukaitumia kuleta mifumo bora tutaendelea. Hata Japani walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni kutaka kuiba hiyo misaada na kutumia misaada kwa faida ya watu wachache. Msaada unaombwa ukiwa umebeba administrative costs kubwa na development budget kidogo pia nazo zinahusu posho za semina zinazoendeshwa na walewale walioandaa miradi walioko serikalini. No tangible development costs. Kwahiyo mamilioni ya dola yanaishia mifukoni mwa watu badala ya kwenda kwenye miradi. 

Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye sector ya kilimo ktk Halmashauri moja mambo niliyoyaona humo ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta na posho. Hatuwekezi kwenye miradi.

Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi wenyewe. Misaada ikitumika vizuri inaweza kuleta maendeleo na kuondokana na utegemezi.


Sent from Samsung Mobile



-------- Original message --------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?




Thanks, Ireneus Kakuru Mushongi na Elisa Muhingo amehoji yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi kutufunua sisi vipofu TZ tupo wengi wa kufuata mikumbo na kujali tumboni street.
HK

--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:

Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05

Nawaogopa wale mnaoutukuza umagharibi na na
pia kupima mafanikio yenu kwa mizania ya kimagharibi!
Angalia China, India, Asian Tigers, hawaendekezi
U-Magharibi. Wana principles zao nzuri wanazitumikia
wanazifuata. Huku hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
za mafanikia, hadi tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
akili hii tutafika?
Hivi ni checklist gani ya
kimagharibi unadhania inatufaa sisi hadi tuifuate hatua kwa
hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa, kiuchumi au
kiutamaduni?
Our
political, cultural, social and economical values in terms
of mission and visions should guide of undertakings. We are
in a very different environment in any of the above; how
come their missions and visions guide our strategies? Hapa
kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na vision yake inaweza
kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa vizuri kwa vitendo na
nidhamu ya hali ya juu. Kwa nini tunang'ang'ania
hizi dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha mambo yetu?
Can't we learn from others in the Eastern world?
Can't we come up with something African and particularly
Tanzanian to guide of move?
Or simply because bwana mkubwa Uncle
Sam (US) is not happy, then we are in a wrong direction?
Because we not dancing in his tune? Yes it's time to say
no!
For how long
should WE keep on licking their feet, kissing their ass to
please them love us? South Africa, North Korea, Iran, Libya,
were all sanctioned and denied the foreign aid few years
ago; you all know what they did out of dependence to change
their status.With exceptional of Libya where
these western thugs intervened, we are well informed of the
situation right now. Gadhafi is dead and Libya is a mess. US
and her western allies are there at large controlling oil
reserves! Similarly they intervened Libya government as
undemocratic, supported few individuals who took refuge in
UK and US, formed political movements, ousted Gadhafi; those
individuals as they were not united previously, started
fighting for power distribution; the West have failed and a
situation in not manageable right now; gone beyond control;
some groups have turned into terrorist groups, joined ISIS
and Al-Qaeda; and surprising enough still few Tanzanians are
hailing US as the remedy for our situation; come on guys; be
serious and think ahead.
Ndugu zangu wengine najua
mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama kwa kuamua ama kwa
kulazimishwa na mazingira. By the way Donald Trump
doesn't need you anymore; km uko US; you better come
back ili tujenge nchi yetu kwa kaulimbiu zetu wenyewe badala
ya kuchochea vurugu na kulalamika tuuuu! We will never make
it under US missions and visions to determine our fate as a
country. Ndiyo changamoto zipo bado lakini collectively sisi
wenyewe bila kuingiliwa na yeyote; we can make
it.
Just my
take!


Omukunirwa
Ireneus 



 

2016-03-27 12:56 GMT+03:00
'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama demokrasia ya
chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano wakati
chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi na kuimarisha umasikini basi
mh.magufuli mpaka 2050!

Sent
from Yahoo Mail on Android  From:"'mashakamakana'
via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

  Tunalo
jembe limechongwa usukumani wala hatuna haja ya amri zao.
Dawa ni kuwapuuza wakileta yasiyotufaa. Hongera wanyarwanda
mh. kagame mpaka 1937


'Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Mapenzi ni
chongo.From:
'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
Sent:
‎27/‎03/‎2016
00:52
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Unazungumzia Marekani
ipi? Iliyomuunga mkono Savimbi ili Angola  angola
isiendelee na kuendeleza demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
inatetea democrasia? Marekani iliyovamia Panama? Unaongelea
marekani gani inayoona kuwa Tanzania haikufuata demokrasia?
Iliyomuunga Mkono Mobutu kufilisi Kongo?
--------------------------------------------
On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject: Re:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
 
  Marekani

ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania.
Kutofuatwa
  kwa misingi ya kidemokrasia
ikiwa ni pamoja na
  kuwa na Tume
  huru ya Uchaguzi ndiyo
tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
  iliyoundwa
naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
  useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
wa CCM (Rais)
  ndiye huyo huyo anayeelekeza
majeshi ya ulinzi na usalama
  yawanyanyase
wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
  kutakuwa na uchaguzi hapo?

CCM
  inajua wazi kwamba haipendwi na
wananchi ndiyo maana
  inang'ang'ania
Katiba iliyopo inayompa madaraka
  makubwa
Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
  masilahi yake madarakani.

Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
  ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
 
 
 
 
    On Thursday, March
  24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
  
 
  Mara
  baada ya uchaguzi mkuu
October 2015 na yaliyotokea Marekani

ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania.
  Sababu
  mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
Uchaguzi wa Zanzibar na
  2) Kutaka kujua
kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya

kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
  uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa
dola.
 
  Majuzi baada ya
uchaguzi
  Zanzibar Marekani ililalamika kwa
uchaguzi kufanyika bila
  waliogoma
kushirikishwa.
 
  Marekani
inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
  salama
na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
  uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
  Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 
 
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
  responsibility
  for
a

[The entire original message is not included.]

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment