Kutetea uchaguzi wa Zanzibar, kwa njia yoyote ile au sababu zozote zile, inabidi kwanza mtu ujitoe ufahamu!!
LKK
Sent from my iPad
> On 30 Mar 2016, at 22:11, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Magoge. Jana ulisikiliza kipindi cha hotuba za Mwalimu Nyerere ITV? Anasema 'samahani japo tunatetea utawala wa sheria lakini yule mgiriki kusema serikali yangu iko mfukoni mwake na hakuna namna ya kumbana kisheria ilibidi nimuweke ndani'. Ukitaka vifungu vya katiba vya kusaidia kurudia uchaguzi na ukivikosa unatumia akili ili mradi ni kwa manufaa ya taifa. Hata Marekani walimpiga Saddam bila haki za kisheria. UN haikuruhusu na bado alipigwa. Sio Tanzania tu inayofanya hivyo.
> --------------------------------------------
> On Wed, 3/30/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, March 30, 2016, 8:33 PM
>
> Hatuwatetei Wamarekani, lakini ni lazima pia
> tuweze kujikosowa wenyewe, Hata kama uchaguzi ulitakiwa
> urudiwe ungeweza kurudiwa kwa namna bora zaidi ya jinsi
> ulivyorudiwa. Au labda na mimi niulize: 1) Je ulifutwa kwa
> kufuata kifungu gani cha katiba au sheria 2) Uliporudiwa
> ulirudiwa kwa kufungu gani cha katiba au sheria? Labda
> tuanzie hapo ndipo tuone kama hatuwezi kujikosowa maana kila
> kitu kilienda vizuri kama ilivyotakiwa.
>
> 2016-03-30 20:03 GMT+03:00
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Mimi naza
> kitenga no 2 na 1.
>
> Hatukufanya madudu katika maeneo yote mawili.
>
> Kwa manufaa ya traifa letu tusingeweza kuzuia uchaguzi
> Zanzibar kurudiwa. hapo hatuhitaji marekani
> kututafsiriwa.
>
> Kuhusu sheriaq ya mtandao ni kama ambavyo FBI wanagombana na
> Apple.
>
> Wao kutunyima msaada inahitaji kuhakikisha kama hawakuwa
> nyuma ya mambo hayo tunayoyakimbia. Inahitaji kuwa na miwani
> ya mbao kutoyaona haya na kuendelea kuwatetea wamarekani.
>
> --------------------------------------------
>
> On Wed, 3/30/16, Telesphor
> Magobe <tmagobe@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
> UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Wednesday, March 30, 2016, 7:28 PM
>
>
>
> Mimi nadhani ni lazima
>
> tutofautishe:
>
> 1. Kunyimwa misaada
>
> 2. Aina ya madudu yaliyofanya tunyimwe
>
> misaada
>
> 3. Tunapojadili 1 hatuwezi
>
> kukwepa 2
>
> 4. Kudhani kwamba tumenyimwa
>
> misaada kwa sababu tunaweza kujitegemea ni
> kujidanganya.
>
>
>
> 2016-03-30 18:46 GMT+03:00
>
> 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
> HOFU ni kitu kibaya
>
> sana.Ukikutana na mtu hasa msomi
>
> lakini ana hofu ujue huyo ni
> sehemu ya tatizo maana pamoja
>
> na elimu,ujuzi na maarifa alivyo navyo hofu/woga
> vitamzuia
>
> kufikiri hata kama ana jawabu la tatizo
>
> lenu.Magufuli kama Daudi
>
> na Marekani kama Goliati,
> vyovyote marekani ilivyo lazima
>
> isalimu amri.Hofu inaleta
>
> ulegvu wa mikono. Hofu inaleta
> maswali ya ovyo, sasa mimi
>
> nitafanyaje? Hofu huleta miguu kupoteza uwezo wake wa
>
> kusimama. Hofu husababisha kinywa kuchemka kwa kuona
>
> haiwezekani na kuona hakuna njia. Hofu huleta kifo cha
> moyo.
>
> Hofu huendeleza utumwa. Watu wenye hofu kwa wanadamu
> wenzao
>
> na kujiona wao ni sawasawa na panzi wana akili kidogo
> hata
>
> kama wamesoma kiasi gani. Marekani hata wakiacha kutoa
>
> misaada yao, hawana uwezo wowote wa kuifuta
>
> TanzaniaHivi Watanzania
>
> wanatishwa na kukosa msaada wa
> trilioni moja na zaidi
>
> kidogo. Hivi tukiamua wote leo kufanya kazi kwa bidii
>
> inatuchukua muda gani kuziba pengo hili ambalo watu
>
> wanadhani kwa kukosa fedha hizi ni kama tumekataliwa na
>
> MUNGU. TANZANIA tuna nguvu sana bila hofu na tukifanya
> kazi
>
> kwa bidii.
>
>
>
>
>
> On Wednesday, March
>
> 30, 2016 4:21 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
> uo ndio ukweli sa sura ya jamaa hawa.
>
> ndiyo maana wengine tunawaza kuwa extremist Trump
> akichukua
>
> nchi ulimwengu wote utaungana dhidi ya dude hilo na
> utakuwa
>
> mwisho wa 'himaya' yao. Wengine hawajui kwa
> nini
>
> Putin anawakazania wamarekani wamchague jamaa huyo
>
> --------------------------------------------
>
> On Wed, 3/30/16, 'Pius Makomelelo' via
>
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii]
>
> MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Wednesday, March 30, 2016, 3:43 PM
>
>
>
> Wakiona tumegangamala
>
> zaidi,
>
> hawatasita kuja kutafuta silaha za
>
> maangamizi! Urafiki
>
> mwingine inabidi tuwe
>
> makini sana!
>
>
>
>
>
>
>
> On Wednesday, 30
>
> March 2016, 14:41, 'ELISA MUHINGO' via
>
> Wanabidii
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> Hii
>
> ndiyo sura sahihi ya marekani. Subiri
>
> kidogo, Wakigundua
>
> kuwa Tanzania ya
>
> magufuli imegangamala watatumia njia
>
>
>
> nyingine kuendeleza 'urafiki'. CIA ina taasisi
>
> nyingi. Kuna MCC, kuna USAID na mengine mengi.
>
> Yanatumika
>
> kuingilia mataifa yasiende
>
> yanakotaka.
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Wed, 3/30/16, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
> Subject: RE:
>
> [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA
>
> GANI NA UCHAGUZI WA
>
> TANZANIA?
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Date: Wednesday, March 30, 2016, 9:32 AM
>
>
>
> Reaction from Charles
>
> Mwijage:
>
>
>
> MCC wamekataa
>
> kutoa pesa
>
> kutokana na jinsi uchaguzi wa
>
>
>
> Zanzibar ulivyoendeshwa, hiki ni kisingizio
>
> tu. Hatuwezi
>
> kuendesha nchi yetu kwa
>
> matakwa yao. Mbona
>
> wanatoa fedha
>
> Misri na Israel, hizi nchi
>
>
>
> hakuna wanaozilalamikia au
>
>
>
> hazikandamizi
>
> jamii Fulani?
>
>
>
> Reaction
>
> on MCC matter.From:
>
>
>
> Jovias
>
>
>
> Mwesiga
>
> Sent:
>
>
>
>
>
> 29/03/2016
>
> 22:45
>
>
>
> To:
>
>
>
> WANA
>
> BIDII
>
> Subject:
>
> Re: [wanabidii]
>
> MAREKANI
>
> INA
>
> SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
>
> TANZANIA?
>
>
>
> Watanzania
>
> bwana mimi
>
> nafurahia jinsi
>
>
>
>
>
> tunavyojitutumua. Ni kitu kizuri kweli ila huu uchungu
>
> umetoka wapi?
>
>
>
> Hivi kwaninj MCC wanaondoka vile? Kuna
>
> ukweli
>
> gani madai
>
>
>
> yao?
>
> On Mar 29,
>
> 2016
>
> 13:30,
>
> "Emmanuel Muganda"
>
> <emuganda@gmail.com>
>
>
>
> wrote:
>
> Dominick,Kati ya watu
>
> hao Kikwete
>
> anaongoza.em
>
>
>
> 2016-03-29 7:51
>
> GMT-04:00 'Dominick
>
>
>
> Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
> Wapo watu ambao kwao kujitegemea ni
>
> dhambi.Nchi kama Tanzania inaweza wakati
>
> wowote ikapata viongozi dhaifu. Kwa hali
>
> ilivyo haiwezekani
>
> kwa mtu
>
> ambaye ana elimu
>
> ya msingi kuwa rais wa
>
> Tanzania.
>
> Kwa hiyo
>
> wapo
>
> wasomi wa ngazi hiyo ya vyuo vikuu kuongoza
>
> taifa hili lakini ni watu dhaifu. Ndani
>
> yao
>
> hawana dhamira
>
> ya
>
> kujitegemea. Taifa
>
> linaweza kupata kiongozi
>
> ambaye hajui
>
> ni
>
> kwa nini
>
> yeye ni rais, waziri mkuu, waziri
>
>
>
> nk,Kuna watu ambao mawazo yao ni
>
> kuombaomba
>
> na kurithi.
>
> Akitaka kufanya jambo anataka
>
>
>
> aangalie ni wapi akaombe. Kama kiongozi wenu
>
> ni aina hii
>
> ya
>
> fikira za
>
> kuombaomba taifa halitoki.Na
>
> kama taifa
>
> lina raia
>
> wengi wa aina hii
>
> mwisho wake uko karibu sana. Na Marekani
>
>
>
> wanatumia udhaifu wetu huu
>
> kufanya wapendavyo. Ikiwa
>
> kesho
>
> Watanzania wote tukiamua kwa pamoja
>
> tunafanya kazi kwa akili
>
>
>
> zetu za kichwani
>
> na moyoni, mikono yetu,
>
> nguvu zetu, miguu
>
>
>
> yetu
>
> hawa wamarekani watatuheshimu na kutuogopa
>
> sana.Mtu anasomea uhasibu si kulijenga
>
> taifa bali akaibe fedha za ofisi. Kwa
>
> hiyo
>
> huyu anataka
>
>
>
> Marekani walete fedha ili
>
> aibe. Akili zake
>
> za moyoni ni
>
> kuiba mali ya
>
> nchi siyo kufanya kazi ili nchi na raia
>
>
>
> tuendelee. Kupanda mchungwa
>
> si jambo la kungoja jirani
>
> aje
>
> apande kwako ila ni la kwako mwenyewe
>
> ila kama unataka
>
> kutukanwa
>
> na watoto wa
>
> jirani yako aliyeamua
>
> kupanda
>
> michungwa
>
>
>
> unapokwenda kuomba machungwa kwao shauri
>
>
>
>
>
> yako.Bila kufanya kazi ili kujitegemea
>
>
>
> tutakuwa taifa la hovyo
>
> sana.
>
>
>
> On
>
> Tuesday, March 29,
>
>
>
> 2016
>
> 6:56 AM, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Irenei
>
> ni kweli kabisa
>
>
>
> vyama vya siasa hatuwezi
>
> kutuletea
>
> maendeleo. na ni sahihi kabisa mataifa ya
>
>
>
> nje hayawezi kutufaa kwa
>
> maendeleo yetu na ya wajukuu
>
> zetu.
>
> lakini tumefikaje huku, wameingiaje
>
> hawa?
>
> ni kwa
>
> sababu tumeonyesha
>
> kushindwa. kwa muda mrefu tumekuwa
>
>
>
> tukiwafuata na bakuli la
>
> kuombea na kuwapigia magoti kuwa
>
>
>
> hatujiwezi tunaomba tafadhali. Tumewaita
>
>
>
> km
>
> consultants watuandikie proposals
>
> nzuri
>
> maana sisi
>
>
>
> hatuwezi.. tumeshindwa.
>
>
>
> lakini hela ikija inaenda
>
>
>
> mifukoni mwa wachache..
>
> tumeshindwa.
>
>
>
> Juzi wananchi wa
>
> Musoma
>
> waliripoti kuwa
>
>
>
> wanakunywa unreated
>
> water. dawa
>
> inagharimu 1. 7m per
>
> month.
>
> Idara inakusanya 20m za bills za maji per
>
>
>
> month. Usishangae kuomba
>
> msaada wa kuzuia
>
> kipindupindu.
>
> Jana Rais
>
> kupokea repoti za
>
> CAG. tega
>
> sikio
>
>
>
> kakaangu usikie mambo ya hovyo
>
> On 29
>
> Mar
>
> 2016 00:02, "Ireneus
>
> Mushongi"
>
>
>
> <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
> Mbegu.
>
>
>
> Sisi
>
>
>
> tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo km boda
>
> boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli
>
> or
>
> whoever we
>
> speak our
>
> minds. Magufuli Sio
>
> Mungu but let's
>
> be
>
> realistic that
>
>
>
> American principle won't get us anywhere!
>
> I know you guys okays everything American
>
> as
>
> they have been
>
> your
>
> godfather funding and
>
> financing your
>
> political
>
> interests.
>
>
>
>
>
> As said earlier Americans
>
> work for their interests not from
>
> humanity
>
> point of view.
>
>
>
> Wewe
>
>
>
> ndivyo ulivyo individually. Do not generalise your
>
> mindset onto others. America is not a
>
> solution
>
> to global
>
>
>
> problems. Isn't a solution to
>
> our
>
> matters as well!
>
> That Mbowe, Lowassa
>
> or
>
> Magufuli favours America doesn't
>
> take
>
> away our own decisions
>
> from serving our country. None
>
> of them
>
> think on our behalf.
>
>
>
>
>
> Let's do it our own way!From:
>
> Edgar
>
> Mbegu
>
>
>
> Sent:
>
>
>
> 28/03/2016
>
>
>
>
>
> 23:04
>
> To:
>
> Wanabidii
>
> Mawazo
>
> Subject:
>
> RE: [wanabidii] MAREKANI INA
>
>
>
> SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
>
> TANZANIA?
>
>
>
>
>
> Bifabusha, mtu akihoji
>
>
>
> matumizi ya hovyo namna hiyo,
>
> anaonekana
>
> si
>
> mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata
>
>
>
> waliokuwa wanahoji kupigwa
>
> danadana uchaguzi wa Meya DSM
>
> walionekana
>
> kuwa ni wachochezi hadi pale JPM
>
>
>
> alipotamka.
>
> Nina Imani kuwa hata hawa
>
> wanaoponda US na sera na siasa
>
> zake siku
>
> JPM akiziunga
>
> mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
>
>
>
> tulivyo!
>
> Date: Mon, 28 Mar
>
> 2016 15:19:15 +0300
>
>
>
> Subject: Re: RE:
>
> [wanabidii] MAREKANI INA
>
> SHIDA GANI NA
>
>
>
> UCHAGUZI WA
>
> TANZANIA?
>
> From: acanemwango@gmail.com
>
>
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Nakubaliana sana na
>
> wewe
>
> Dominick.
>
>
>
> Maendeleo
>
> yanaanza na mtu
>
> binafsi. japo baadhi ya sera
>
> na
>
> taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha
>
>
>
> nyumba juhudi
>
> za mtu binafsi.
>
>
>
>
>
> On
>
> 28 Mar
>
> 2016 11:14, "'Dominick
>
>
>
> Rukokelwa' via
>
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
> Bifabusha umesema
>
> vema.Tujilaumu
>
> sisi wenyewe kama
>
> Tanzania/
>
> Afrika.Tanzania
>
> tuna ardhi
>
> iliyosheheni
>
> kila kitu. Hivi
>
> kupanda maharage
>
> kunahitaji
>
> msaada kutoka
>
>
>
> Marekani?Ardhi tunayo ila tunaitazamaje kwa macho
>
> yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono gani
>
> kwenye
>
> ardhi
>
>
>
> yetu?Tunachokiona cha
>
> kwanza ni kuiuza
>
> ardhi ya Tanzania.Sisi ni
>
> walegevu sana,
>
> swala la kazi
>
> linapaswa
>
>
>
> kusimamiwa na kila mtu. Kazi peke yake ndiyo
>
> itakayoinua taifa.Kwa
>
>
>
> mfano
>
> kuna faida gani kuwa na mfuasi wa
>
> chama chako cha
>
> siasa lakini hataki
>
> kufanya kazi?Unaposimama
>
> kumhutubia
>
> mfuasi
>
> wako hotuba nzima
>
> humhimizi baada ya mkutano na
>
> maandamano
>
> aende akafanye
>
> kazi. Mtu yeyote anayeipenda
>
>
>
> Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha
>
>
>
> maendeleo.Wenzetu
>
> wanaitazama ardhi tofauti
>
>
>
> na sisi. Wenzetu wanajua nini
>
> maana ya
>
> kazi.
>
>
>
>
>
> On Monday,
>
> March 28,
>
> 2016 9:15 AM,
>
>
>
> 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
> Tukipata misaada
>
> tukaitumia
>
> kuleta mifumo
>
> bora tutaendelea. Hata Japani
>
>
>
> walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni
>
> kutaka kuiba
>
> hiyo misaada na kutumia
>
> misaada kwa faida ya
>
> watu wachache.
>
> Msaada unaombwa ukiwa
>
>
>
> umebeba administrative costs kubwa na
>
>
>
> development budget kidogo pia nazo zinahusu
>
> posho za
>
> semina
>
>
>
> zinazoendeshwa na walewale
>
> walioandaa
>
> miradi walioko
>
> serikalini. No
>
> tangible development costs. Kwahiyo
>
> mamilioni
>
> ya dola yanaishia mifukoni mwa
>
> watu badala ya
>
> kwenda kwenye
>
> miradi.
>
>
>
>
>
> Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye
>
>
>
>
>
> sector ya kilimo ktk Halmashauri moja
>
> mambo niliyoyaona
>
> humo
>
>
>
> ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta
>
> na
>
> posho. Hatuwekezi
>
> kwenye miradi.
>
> Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi
>
> wenyewe.
>
> Misaada ikitumika
>
> vizuri inaweza
>
> kuleta maendeleo na
>
> kuondokana na
>
> utegemezi.
>
>
>
> Sent from
>
> Samsung
>
> Mobile
>
>
>
>
>
>
>
> -------- Original message
>
> --------
>
> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>
>
>
> Date:
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
> Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI
>
> INA
>
> SHIDA GANI NA
>
>
>
> UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Thanks, Ireneus Kakuru
>
>
>
> Mushongi na Elisa Muhingo amehoji
>
>
>
> yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi
>
> kutufunua
>
> sisi
>
> vipofu TZ
>
> tupo wengi wa kufuata
>
> mikumbo na kujali
>
> tumboni
>
> street.
>
> HK
>
>
>
>
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi
>
> <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI
>
> INA SHIDA GANI NA
>
> UCHAGUZI WA
>
> TANZANIA?
>
> To:
>
> "wanabidii@googlegroups
>
> com" <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05
>
>
>
> Nawaogopa wale
>
> mnaoutukuza umagharibi na na
>
>
>
> pia kupima
>
> mafanikio yenu kwa mizania ya
>
> kimagharibi!
>
> Angalia China, India, Asian
>
> Tigers,
>
> hawaendekezi
>
>
>
> U-Magharibi. Wana principles
>
> zao nzuri
>
> wanazitumikia
>
> wanazifuata. Huku
>
> hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
>
>
>
> za mafanikia, hadi
>
> tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
>
>
>
> akili hii tutafika?
>
> Hivi
>
> ni checklist gani ya
>
>
>
> kimagharibi
>
> unadhania inatufaa sisi hadi
>
> tuifuate hatua
>
>
>
> kwa
>
> hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa,
>
> kiuchumi au
>
>
>
> kiutamaduni?
>
> Our
>
>
>
> political, cultural,
>
> social and economical
>
> values in terms
>
> of
>
>
>
> mission and visions should guide of undertakings. We
>
> are
>
> in a very
>
> different
>
> environment in any of the above;
>
> how
>
> come
>
> their missions
>
> and visions guide our strategies? Hapa
>
>
>
> kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na
>
>
>
> vision yake
>
> inaweza
>
>
>
>
>
> kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa
>
> vizuri kwa vitendo
>
> na
>
>
>
> nidhamu ya hali ya juu.
>
> Kwa nini
>
> tunang'ang'ania
>
> hizi
>
> dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha
>
> mambo
>
> yetu?
>
> Can't
>
> we learn
>
> from others in the Eastern
>
> world?
>
>
>
> Can't we
>
> come up with something African and
>
>
>
> particularly
>
> Tanzanian to
>
> guide of move?
>
> Or simply
>
> because bwana
>
> mkubwa Uncle
>
>
>
> Sam (US) is not happy, then
>
> we are in a
>
> wrong direction?
>
> Because we
>
> not dancing in his tune? Yes it's time
>
> to
>
> say
>
> no!
>
>
>
> For how long
>
> should WE keep on licking
>
>
>
> their feet, kissing their ass to
>
>
>
> please
>
> them love us? South Africa, North
>
> Korea, Iran,
>
> Libya,
>
>
>
> were all sanctioned
>
> and denied the foreign
>
> aid few years
>
> ago;
>
> you
>
> all know what they did out of dependence to
>
> change
>
> their
>
> status.With
>
> exceptional of Libya where
>
> these western
>
> thugs
>
> intervened, we are well informed of
>
>
>
> the
>
> situation right now.
>
> Gadhafi is dead
>
> and Libya is a mess.
>
> US
>
>
>
> and
>
> her western allies are there at large controlling oil
>
> reserves! Similarly they intervened
>
> Libya
>
> government as
>
>
>
> undemocratic, supported few
>
> individuals who
>
> took refuge in
>
> UK and US,
>
> formed political movements, ousted Gadhafi;
>
>
>
> those
>
>
>
> individuals as they were not united
>
>
>
> previously, started
>
> fighting for
>
> power
>
> distribution; the West have failed
>
> and
>
> a
>
> situation in
>
> not manageable right now; gone
>
> beyond
>
> control;
>
> some
>
> groups have turned into terrorist groups,
>
> joined ISIS
>
> and Al-Qaeda; and surprising
>
> enough still
>
> few Tanzanians
>
> are
>
>
>
>
>
> hailing US as the remedy for our situation; come on
> guys;
>
> be
>
> serious and think
>
> ahead.
>
> Ndugu zangu wengine
>
> najua
>
> mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama
>
> kwa kuamua
>
> ama kwa
>
>
>
> kulazimishwa na mazingira. By the
>
> way
>
> Donald Trump
>
> doesn't need you
>
> anymore; km uko US; you better come
>
> back
>
> ili tujenge nchi yetu
>
> kwa kaulimbiu zetu wenyewe
>
> badala
>
> ya kuchochea vurugu
>
> na
>
> kulalamika tuuuu! We will never
>
> make
>
> it under US missions and visions to
>
> determine our fate as
>
> a
>
>
>
> country. Ndiyo changamoto
>
> zipo bado lakini collectively
>
> sisi
>
> wenyewe bila
>
> kuingiliwa na
>
> yeyote; we can make
>
> it.
>
>
>
> Just my
>
> take!
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Omukunirwa
>
> Ireneus
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> 2016-03-27 12:56
>
>
>
> GMT+03:00
>
> 'Mashaka Makana'
>
> via
>
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
> Kama demokrasia ya
>
>
>
> chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano
>
> wakati
>
> chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi
>
> na
>
> kuimarisha umasikini
>
>
>
> basi
>
> mh.magufuli mpaka 2050!
>
>
>
>
>
>
>
> Sent
>
> from Yahoo Mail
>
> on
>
> Android
>
>
>
>
>
> From:"'mashakamakana'
>
>
>
> via
>
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
>
> Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
>
> SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
>
>
> Tunalo
>
> jembe limechongwa usukumani wala hatuna
>
> haja
>
> ya amri zao.
>
> Dawa
>
> ni kuwapuuza wakileta
>
> yasiyotufaa.
>
> Hongera
>
> wanyarwanda
>
>
>
> mh. kagame mpaka 1937
>
>
>
>
>
>
>
> 'Bernard' via
>
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
>
>
> Mapenzi ni
>
>
>
> chongo.From:
>
> 'ELISA
>
> MUHINGO'
>
> via
>
>
>
> Wanabidii
>
> Sent:
>
>
>
> 27/03/2016
>
>
>
>
>
> 00:52
>
> To:
>
> wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Subject:
>
> Re: [wanabidii]
>
> MAREKANI INA
>
> SHIDA GANI NA
>
> UCHAGUZI WA
>
> TANZANIA?
>
>
>
>
>
>
>
> Unazungumzia
>
> Marekani
>
> ipi? Iliyomuunga
>
> mkono Savimbi ili Angola angola
>
>
>
> isiendelee na kuendeleza
>
> demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
>
> inatetea
>
> democrasia? Marekani iliyovamia
>
> Panama?
>
> Unaongelea
>
>
>
> marekani gani inayoona kuwa Tanzania
>
> haikufuata
>
> demokrasia?
>
>
>
> Iliyomuunga
>
> Mkono Mobutu kufilisi
>
> Kongo?
>
>
>
>
>
> --------------------------------------------
>
> On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya'
>
> via
>
> Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
> Subject: Re:
>
> [wanabidii] MAREKANI INA
>
>
>
> SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
>
> TANZANIA?
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
>
>
>
> Marekani
>
>
>
> ina shida na wizi
>
> wa
>
> kura unaoendelea Tanzania.
>
> Kutofuatwa
>
> kwa
>
> misingi ya kidemokrasia
>
> ikiwa ni pamoja
>
> na
>
> kuwa
>
> na Tume
>
> huru ya Uchaguzi ndiyo
>
>
>
> tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
>
>
>
> iliyoundwa
>
> naMwenyekiti
>
>
>
> wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
>
>
>
> useme
>
> kuta kuwa na uchaguzi hapo.
>
> Mwenyekiti
>
> wa
>
> CCM
>
> (Rais)
>
> ndiye huyo huyo
>
> anayeelekeza
>
> majeshi ya
>
> ulinzi na
>
> usalama
>
>
>
> yawanyanyase
>
>
>
> wapinzani
>
> wake ili wasishinde uchaguzi, bado
>
>
>
> kutakuwa na uchaguzi hapo?
>
>
>
> CCM
>
>
>
>
>
> inajua wazi kwamba haipendwi na
>
>
>
> wananchi
>
> ndiyo maana
>
>
>
> inang'ang'ania
>
> Katiba iliyopo
>
> inayompa madaraka
>
> makubwa
>
> Rais ambaye ni
>
> Mwenyekiti
>
> wa CCM ili kulinda
>
> masilahi
>
> yake madarakani.
>
>
>
>
>
> Hili halikubaliki na
>
> Marekani na mataifa mengine
>
> ya Ulaya
>
> yako sawa kabisa kupinga.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> On
>
> Thursday,
>
> March
>
> 24,
>
> 2016 11:05 PM, 'ELISA
>
> MUHINGO'
>
> via
>
> Wanabidii
>
>
>
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
> Mara
>
> baada ya uchaguzi mkuu
>
>
>
>
>
> October 2015 na yaliyotokea Marekani
>
>
>
> ilisita kuruhusu
>
> msaada kwa serikali ya
>
> Tanzania.
>
> Sababu
>
>
>
> mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
>
>
>
> Uchaguzi wa Zanzibar na
>
> 2) Kutaka
>
> kujua
>
> kama kweli sheria ya mtandao ina
>
> haki ya
>
>
>
>
>
> kutumika
>
> kuwadhibiti waliokuwa wanatumia
>
> mtandao kuvuruga
>
> uchaguzi ambao baadhi
>
> walikuwa mikononi
>
> mwa
>
>
>
> dola.
>
>
>
> Majuzi
>
> baada ya
>
>
>
> uchaguzi
>
> Zanzibar Marekani ililalamika
>
> kwa
>
> uchaguzi kufanyika
>
> bila
>
> waliogoma
>
>
>
> kushirikishwa.
>
>
>
>
>
> Marekani
>
> inajiona inakosa nini Tanzania
>
> kuwa
>
> salama
>
> na chini
>
> ya viongozi
>
> waliodhibitishwa na tume za
>
>
>
> uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
>
>
>
> Send
>
>
>
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> Utapata Email ya
>
>
>
>
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the
>
>
>
>
>
> sole
>
>
>
> responsibility
>
>
>
>
>
> for
>
> a
>
> [The entire
>
> original message is not
>
>
>
> included.]
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
>
>
> Send
>
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> Utapata Email ya
>
>
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the
>
> sole
>
> responsibility
>
> for
>
> any legal consequences
>
> of his or her
>
> postings, and hence
>
>
>
>
>
> statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that you
>
> agree
>
> to this
>
> disclaimer
>
> and pledge to abide by
>
> our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
>
>
>
> ---
>
>
>
>
>
> You received this
>
> message because you are
>
> subscribed to the
>
>
>
> Google
>
> Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>
>
> To unsubscribe from this
>
> group and stop
>
> receiving emails
>
> from it, send an email to
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
> For more options,
>
> visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --
>
> Send
>
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to
>
> this Forum bears the
>
> sole responsibility for any legal
>
>
>
> consequences of his or her postings, and hence
> statements
>
> and facts must be presented responsibly. Your
>
> continued
>
> membership signifies that you
>
> agree to this disclaimer and
>
> pledge to
>
> abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message
>
>
>
> because you are subscribed to the Google Groups
>
> "Wanabidii" group.
>
>
>
> To unsubscribe
>
> from this group and stop
>
> receiving emails from it, send an
>
> email to
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
>
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata
>
> Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
>
> responsibility
>
> for any legal consequences
>
> of his or her postings, and hence
>
>
>
> statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that you agree
>
> to this
>
> disclaimer and pledge to abide by
>
> our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
>
>
>
> ---
>
>
>
>
>
> You received this message because you are subscribed to
>
> the
>
> Google Groups "Wanabidii"
>
> group.
>
>
>
> To unsubscribe
>
> from this group and stop receiving emails
>
>
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --
>
> Send
>
> Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata
>
> Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to
>
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
>
> consequences of his or her postings, and hence
> statements
>
> and facts must be presented responsibly. Your continued
>
> membership signifies that you agree to this disclaimer
> and
>
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message
>
> because you are subscribed to the Google Groups
>
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe
>
> from this group and stop receiving emails from it, send
> an
>
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
> for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
> statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that you agree to this
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> --
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
> for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
> statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that you agree to this
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment