Elisa,
Tatizo la Zanzibar ni kwamba mpaka leo hatujaambiwa ni kasoro gani zilipelekea Jecha kusimamisha zoezi la kuhesabu kura. Kura zilikuwa zimeshapigwa.
Hesabu zikaonyesha Maalim anaongoza na hakuna jinsi CCM itashinda. Kungetokea mvurugano wakati kura zinapigwa, kwa mfano, gaidi ajiripue katikati ya wapiga
kura na kuleta taharuki tungeleewa kama zoezi lingesitishwa mpaka usalama uimarike. None of that happened. Do you personally know what was the irregularity that led Jecha to
annul the vote counting?
em
2016-03-30 15:11 GMT-04:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Magoge. Jana ulisikiliza kipindi cha hotuba za Mwalimu Nyerere ITV? Anasema 'samahani japo tunatetea utawala wa sheria lakini yule mgiriki kusema serikali yangu iko mfukoni mwake na hakuna namna ya kumbana kisheria ilibidi nimuweke ndani'. Ukitaka vifungu vya katiba vya kusaidia kurudia uchaguzi na ukivikosa unatumia akili ili mradi ni kwa manufaa ya taifa. Hata Marekani walimpiga Saddam bila haki za kisheria. UN haikuruhusu na bado alipigwa. Sio Tanzania tu inayofanya hivyo.
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 8:33 PM
Hatuwatetei Wamarekani, lakini ni lazima pia
tuweze kujikosowa wenyewe, Hata kama uchaguzi ulitakiwa
urudiwe ungeweza kurudiwa kwa namna bora zaidi ya jinsi
ulivyorudiwa. Au labda na mimi niulize: 1) Je ulifutwa kwa
kufuata kifungu gani cha katiba au sheria 2) Uliporudiwa
ulirudiwa kwa kufungu gani cha katiba au sheria? Labda
tuanzie hapo ndipo tuone kama hatuwezi kujikosowa maana kila
kitu kilienda vizuri kama ilivyotakiwa.
2016-03-30 20:03 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mimi naza
kitenga no 2 na 1.
Hatukufanya madudu katika maeneo yote mawili.
Kwa manufaa ya traifa letu tusingeweza kuzuia uchaguzi
Zanzibar kurudiwa. hapo hatuhitaji marekani
kututafsiriwa.
Kuhusu sheriaq ya mtandao ni kama ambavyo FBI wanagombana na
Apple.
Wao kutunyima msaada inahitaji kuhakikisha kama hawakuwa
nyuma ya mambo hayo tunayoyakimbia. Inahitaji kuwa na miwani
ya mbao kutoyaona haya na kuendelea kuwatetea wamarekani.
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, Telesphor
Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 7:28 PM
Mimi nadhani ni lazima
tutofautishe:
1. Kunyimwa misaada
2. Aina ya madudu yaliyofanya tunyimwe
misaada
3. Tunapojadili 1 hatuwezi
kukwepa 2
4. Kudhani kwamba tumenyimwa
misaada kwa sababu tunaweza kujitegemea ni
kujidanganya.
2016-03-30 18:46 GMT+03:00
'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
30, 2016 4:21 PM, 'ELISA MUHINGO' via WanabidiiHOFU ni kitu kibaya
sana.Ukikutana na mtu hasa msomi
lakini ana hofu ujue huyo ni
sehemu ya tatizo maana pamoja
na elimu,ujuzi na maarifa alivyo navyo hofu/woga
vitamzuia
kufikiri hata kama ana jawabu la tatizo
lenu.Magufuli kama Daudi
na Marekani kama Goliati,
vyovyote marekani ilivyo lazima
isalimu amri.Hofu inaleta
ulegvu wa mikono. Hofu inaleta
maswali ya ovyo, sasa mimi
nitafanyaje? Hofu huleta miguu kupoteza uwezo wake wa
kusimama. Hofu husababisha kinywa kuchemka kwa kuona
haiwezekani na kuona hakuna njia. Hofu huleta kifo cha
moyo.
Hofu huendeleza utumwa. Watu wenye hofu kwa wanadamu
wenzao
na kujiona wao ni sawasawa na panzi wana akili kidogo
hata
kama wamesoma kiasi gani. Marekani hata wakiacha kutoa
misaada yao, hawana uwezo wowote wa kuifuta
TanzaniaHivi Watanzania
wanatishwa na kukosa msaada wa
trilioni moja na zaidi
kidogo. Hivi tukiamua wote leo kufanya kazi kwa bidii
inatuchukua muda gani kuziba pengo hili ambalo watu
wanadhani kwa kukosa fedha hizi ni kama tumekataliwa na
MUNGU. TANZANIA tuna nguvu sana bila hofu na tukifanya
kazi
kwa bidii.
On Wednesday, March
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
uo ndio ukweli sa sura ya jamaa hawa.
ndiyo maana wengine tunawaza kuwa extremist Trump
akichukua
nchi ulimwengu wote utaungana dhidi ya dude hilo na
utakuwa
mwisho wa 'himaya' yao. Wengine hawajui kwa
nini
Putin anawakazania wamarekani wamchague jamaa huyo
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'Pius Makomelelo' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii]
MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 3:43 PM
Wakiona tumegangamala
zaidi,
hawatasita kuja kutafuta silaha za
maangamizi! Urafiki
mwingine inabidi tuwe
makini sana!
On Wednesday, 30
March 2016, 14:41, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Hii
ndiyo sura sahihi ya marekani. Subiri
kidogo, Wakigundua
kuwa Tanzania ya
magufuli imegangamala watatumia njia
nyingine kuendeleza 'urafiki'. CIA ina taasisi
nyingi. Kuna MCC, kuna USAID na mengine mengi.
Yanatumika
kuingilia mataifa yasiende
yanakotaka.
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:
Subject: RE:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA
GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, March 30, 2016, 9:32 AM
Reaction from Charles
Mwijage:
MCC wamekataa
kutoa pesa
kutokana na jinsi uchaguzi wa
Zanzibar ulivyoendeshwa, hiki ni kisingizio
tu. Hatuwezi
kuendesha nchi yetu kwa
matakwa yao. Mbona
wanatoa fedha
Misri na Israel, hizi nchi
hakuna wanaozilalamikia au
hazikandamizi
jamii Fulani?
Reaction
on MCC matter.From:
Jovias
Mwesiga
Sent:
29/03/2016
22:45
To:
WANA
BIDII
Subject:
Re: [wanabidii]
MAREKANI
INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
Watanzania
bwana mimi
nafurahia jinsi
tunavyojitutumua. Ni kitu kizuri kweli ila huu uchungu
umetoka wapi?
Hivi kwaninj MCC wanaondoka vile? Kuna
ukweli
gani madai
yao?
On Mar 29,
2016
13:30,
"Emmanuel Muganda"
<emuganda@gmail.com>
wrote:
Dominick,Kati ya watu
hao Kikwete
anaongoza.em
2016-03-29 7:51
GMT-04:00 'Dominick
Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wapo watu ambao kwao kujitegemea ni
dhambi.Nchi kama Tanzania inaweza wakati
wowote ikapata viongozi dhaifu. Kwa hali
ilivyo haiwezekani
kwa mtu
ambaye ana elimu
ya msingi kuwa rais wa
Tanzania.
Kwa hiyo
wapo
wasomi wa ngazi hiyo ya vyuo vikuu kuongoza
taifa hili lakini ni watu dhaifu. Ndani
yao
hawana dhamira
ya
kujitegemea. Taifa
linaweza kupata kiongozi
ambaye hajui
ni
kwa nini
yeye ni rais, waziri mkuu, waziri
nk,Kuna watu ambao mawazo yao ni
kuombaomba
na kurithi.
Akitaka kufanya jambo anataka
aangalie ni wapi akaombe. Kama kiongozi wenu
ni aina hii
ya
fikira za
kuombaomba taifa halitoki.Na
kama taifa
lina raia
wengi wa aina hii
mwisho wake uko karibu sana. Na Marekani
wanatumia udhaifu wetu huu
kufanya wapendavyo. Ikiwa
kesho
Watanzania wote tukiamua kwa pamoja
tunafanya kazi kwa akili
zetu za kichwani
na moyoni, mikono yetu,
nguvu zetu, miguu
yetu
hawa wamarekani watatuheshimu na kutuogopa
sana.Mtu anasomea uhasibu si kulijenga
taifa bali akaibe fedha za ofisi. Kwa
hiyo
huyu anataka
Marekani walete fedha ili
aibe. Akili zake
za moyoni ni
kuiba mali ya
nchi siyo kufanya kazi ili nchi na raia
tuendelee. Kupanda mchungwa
si jambo la kungoja jirani
aje
apande kwako ila ni la kwako mwenyewe
ila kama unataka
kutukanwa
na watoto wa
jirani yako aliyeamua
kupanda
michungwa
unapokwenda kuomba machungwa kwao shauri
yako.Bila kufanya kazi ili kujitegemea
tutakuwa taifa la hovyo
sana.
On
Tuesday, March 29,
2016
6:56 AM, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com>
wrote:
Irenei
ni kweli kabisa
vyama vya siasa hatuwezi
kutuletea
maendeleo. na ni sahihi kabisa mataifa ya
nje hayawezi kutufaa kwa
maendeleo yetu na ya wajukuu
zetu.
lakini tumefikaje huku, wameingiaje
hawa?
ni kwa
sababu tumeonyesha
kushindwa. kwa muda mrefu tumekuwa
tukiwafuata na bakuli la
kuombea na kuwapigia magoti kuwa
hatujiwezi tunaomba tafadhali. Tumewaita
km
consultants watuandikie proposals
nzuri
maana sisi
hatuwezi.. tumeshindwa.
lakini hela ikija inaenda
mifukoni mwa wachache..
tumeshindwa.
Juzi wananchi wa
Musoma
waliripoti kuwa
wanakunywa unreated
water. dawa
inagharimu 1. 7m per
month.
Idara inakusanya 20m za bills za maji per
month. Usishangae kuomba
msaada wa kuzuia
kipindupindu.
Jana Rais
kupokea repoti za
CAG. tega
sikio
kakaangu usikie mambo ya hovyo
On 29
Mar
2016 00:02, "Ireneus
Mushongi"
<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:
Mbegu.
Sisi
tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo km boda
boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli
or
whoever we
speak our
minds. Magufuli Sio
Mungu but let's
be
realistic that
American principle won't get us anywhere!
I know you guys okays everything American
as
they have been
your
godfather funding and
financing your
political
interests.
As said earlier Americans
work for their interests not from
humanity
point of view.
Wewe
ndivyo ulivyo individually. Do not generalise your
mindset onto others. America is not a
solution
to global
problems. Isn't a solution to
our
matters as well!
That Mbowe, Lowassa
or
Magufuli favours America doesn't
take
away our own decisions
from serving our country. None
of them
think on our behalf.
Let's do it our own way!From:
Edgar
Mbegu
Sent:
28/03/2016
23:04
To:
Wanabidii
Mawazo
Subject:
RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
Bifabusha, mtu akihoji
matumizi ya hovyo namna hiyo,
anaonekana
si
mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata
waliokuwa wanahoji kupigwa
danadana uchaguzi wa Meya DSM
walionekana
kuwa ni wachochezi hadi pale JPM
alipotamka.
Nina Imani kuwa hata hawa
wanaoponda US na sera na siasa
zake siku
JPM akiziunga
mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
tulivyo!
Date: Mon, 28 Mar
2016 15:19:15 +0300
Subject: Re: RE:
[wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA
TANZANIA?
From: acanemwango@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Nakubaliana sana na
wewe
Dominick.
Maendeleo
yanaanza na mtu
binafsi. japo baadhi ya sera
na
taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha
nyumba juhudi
za mtu binafsi.
On
28 Mar
2016 11:14, "'Dominick
Rukokelwa' via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Bifabusha umesema
vema.Tujilaumu
sisi wenyewe kama
Tanzania/
Afrika.Tanzania
tuna ardhi
iliyosheheni
kila kitu. Hivi
kupanda maharage
kunahitaji
msaada kutoka
Marekani?Ardhi tunayo ila tunaitazamaje kwa macho
yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono gani
kwenye
ardhi
yetu?Tunachokiona cha
kwanza ni kuiuza
ardhi ya Tanzania.Sisi ni
walegevu sana,
swala la kazi
linapaswa
kusimamiwa na kila mtu. Kazi peke yake ndiyo
itakayoinua taifa.Kwa
mfano
kuna faida gani kuwa na mfuasi wa
chama chako cha
siasa lakini hataki
kufanya kazi?Unaposimama
kumhutubia
mfuasi
wako hotuba nzima
humhimizi baada ya mkutano na
maandamano
aende akafanye
kazi. Mtu yeyote anayeipenda
Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha
maendeleo.Wenzetu
wanaitazama ardhi tofauti
na sisi. Wenzetu wanajua nini
maana ya
kazi.
On Monday,
March 28,
2016 9:15 AM,
'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Tukipata misaada
tukaitumia
kuleta mifumo
bora tutaendelea. Hata Japani
walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni
kutaka kuiba
hiyo misaada na kutumia
misaada kwa faida ya
watu wachache.
Msaada unaombwa ukiwa
umebeba administrative costs kubwa na
development budget kidogo pia nazo zinahusu
posho za
semina
zinazoendeshwa na walewale
walioandaa
miradi walioko
serikalini. No
tangible development costs. Kwahiyo
mamilioni
ya dola yanaishia mifukoni mwa
watu badala ya
kwenda kwenye
miradi.
Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye
sector ya kilimo ktk Halmashauri moja
mambo niliyoyaona
humo
ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta
na
posho. Hatuwekezi
kwenye miradi.
Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi
wenyewe.
Misaada ikitumika
vizuri inaweza
kuleta maendeleo na
kuondokana na
utegemezi.
Sent from
Samsung
Mobile
-------- Original message
--------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI
INA
SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
Thanks, Ireneus Kakuru
Mushongi na Elisa Muhingo amehoji
yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi
kutufunua
sisi
vipofu TZ
tupo wengi wa kufuata
mikumbo na kujali
tumboni
street.
HK
--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi
<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI
INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA
TANZANIA?
To:
"wanabidii@googlegroups
com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05
Nawaogopa wale
mnaoutukuza umagharibi na na
pia kupima
mafanikio yenu kwa mizania ya
kimagharibi!
Angalia China, India, Asian
Tigers,
hawaendekezi
U-Magharibi. Wana principles
zao nzuri
wanazitumikia
wanazifuata. Huku
hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
za mafanikia, hadi
tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
akili hii tutafika?
Hivi
ni checklist gani ya
kimagharibi
unadhania inatufaa sisi hadi
tuifuate hatua
kwa
hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa,
kiuchumi au
kiutamaduni?
Our
political, cultural,
social and economical
values in terms
of
mission and visions should guide of undertakings. We
are
in a very
different
environment in any of the above;
how
come
their missions
and visions guide our strategies? Hapa
kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na
vision yake
inaweza
kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa
vizuri kwa vitendo
na
nidhamu ya hali ya juu.
Kwa nini
tunang'ang'ania
hizi
dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha
mambo
yetu?
Can't
we learn
from others in the Eastern
world?
Can't we
come up with something African and
particularly
Tanzanian to
guide of move?
Or simply
because bwana
mkubwa Uncle
Sam (US) is not happy, then
we are in a
wrong direction?
Because we
not dancing in his tune? Yes it's time
to
say
no!
For how long
should WE keep on licking
their feet, kissing their ass to
please
them love us? South Africa, North
Korea, Iran,
Libya,
were all sanctioned
and denied the foreign
aid few years
ago;
you
all know what they did out of dependence to
change
their
status.With
exceptional of Libya where
these western
thugs
intervened, we are well informed of
the
situation right now.
Gadhafi is dead
and Libya is a mess.
US
and
her western allies are there at large controlling oil
reserves! Similarly they intervened
Libya
government as
undemocratic, supported few
individuals who
took refuge in
UK and US,
formed political movements, ousted Gadhafi;
those
individuals as they were not united
previously, started
fighting for
power
distribution; the West have failed
and
a
situation in
not manageable right now; gone
beyond
control;
some
groups have turned into terrorist groups,
joined ISIS
and Al-Qaeda; and surprising
enough still
few Tanzanians
are
hailing US as the remedy for our situation; come on
guys;
be
serious and think
ahead.
Ndugu zangu wengine
najua
mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama
kwa kuamua
ama kwa
kulazimishwa na mazingira. By the
way
Donald Trump
doesn't need you
anymore; km uko US; you better come
back
ili tujenge nchi yetu
kwa kaulimbiu zetu wenyewe
badala
ya kuchochea vurugu
na
kulalamika tuuuu! We will never
make
it under US missions and visions to
determine our fate as
a
country. Ndiyo changamoto
zipo bado lakini collectively
sisi
wenyewe bila
kuingiliwa na
yeyote; we can make
it.
Just my
take!
Omukunirwa
Ireneus
2016-03-27 12:56
GMT+03:00
'Mashaka Makana'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama demokrasia ya
chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano
wakati
chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi
na
kuimarisha umasikini
basi
mh.magufuli mpaka 2050!
Sent
from Yahoo Mail
on
Android
From:"'mashakamakana'
via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Tunalo
jembe limechongwa usukumani wala hatuna
haja
ya amri zao.
Dawa
ni kuwapuuza wakileta
yasiyotufaa.
Hongera
wanyarwanda
mh. kagame mpaka 1937
'Bernard' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mapenzi ni
chongo.From:
'ELISA
MUHINGO'
via
Wanabidii
Sent:
27/03/2016
00:52
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii]
MAREKANI INA
SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA
TANZANIA?
Unazungumzia
Marekani
ipi? Iliyomuunga
mkono Savimbi ili Angola angola
isiendelee na kuendeleza
demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
inatetea
democrasia? Marekani iliyovamia
Panama?
Unaongelea
marekani gani inayoona kuwa Tanzania
haikufuata
demokrasia?
Iliyomuunga
Mkono Mobutu kufilisi
Kongo?
--------------------------------------------
On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya'
via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
Marekani
ina shida na wizi
wa
kura unaoendelea Tanzania.
Kutofuatwa
kwa
misingi ya kidemokrasia
ikiwa ni pamoja
na
kuwa
na Tume
huru ya Uchaguzi ndiyo
tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
iliyoundwa
naMwenyekiti
wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
useme
kuta kuwa na uchaguzi hapo.
Mwenyekiti
wa
CCM
(Rais)
ndiye huyo huyo
anayeelekeza
majeshi ya
ulinzi na
usalama
yawanyanyase
wapinzani
wake ili wasishinde uchaguzi, bado
kutakuwa na uchaguzi hapo?
CCM
inajua wazi kwamba haipendwi na
wananchi
ndiyo maana
inang'ang'ania
Katiba iliyopo
inayompa madaraka
makubwa
Rais ambaye ni
Mwenyekiti
wa CCM ili kulinda
masilahi
yake madarakani.
Hili halikubaliki na
Marekani na mataifa mengine
ya Ulaya
yako sawa kabisa kupinga.
On
Thursday,
March
24,
2016 11:05 PM, 'ELISA
MUHINGO'
via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mara
baada ya uchaguzi mkuu
October 2015 na yaliyotokea Marekani
ilisita kuruhusu
msaada kwa serikali ya
Tanzania.
Sababu
mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
Uchaguzi wa Zanzibar na
2) Kutaka
kujua
kama kweli sheria ya mtandao ina
haki ya
kutumika
kuwadhibiti waliokuwa wanatumia
mtandao kuvuruga
uchaguzi ambao baadhi
walikuwa mikononi
mwa
dola.
Majuzi
baada ya
uchaguzi
Zanzibar Marekani ililalamika
kwa
uchaguzi kufanyika
bila
waliogoma
kushirikishwa.
Marekani
inajiona inakosa nini Tanzania
kuwa
salama
na chini
ya viongozi
waliodhibitishwa na tume za
uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
a
[The entire
original message is not
included.]
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
any legal consequences
of his or her
postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you
agree
to this
disclaimer
and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this
message because you are
subscribed to the
Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this
group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options,
visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the
sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented responsibly. Your
continued
membership signifies that you
agree to this disclaimer and
pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop
receiving emails from it, send an
email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata
Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii"
group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata
Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence
statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer
and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send
an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment