Thursday 31 March 2016

Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Huhitaji kuwa mpinzani na wala huhitaji kuisubiri Marekani, kulion tatizo la Zanzibar! Hili tatizo lipo tangu wakati uleee!!

LKK
 
                                                                              


On Thursday, March 31, 2016 8:27 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Kuna watu (na ndio wengi) wanapinga uchaguzi wa Zanznibar kwasababu Marekani imesema haukushirikisha watu wengine na umekwenda kinyume na demokrasia. Watu hao ni hatari maana upepo unawapeleka tu. Kusubiri marekani ikwambie nini maana ya demokrqasia nawe ukabeba kitu kizimakizima ni utumwa mbaya kuliko ule tulioutimua 1961. Ni mgumu kupigana nao
--------------------------------------------
On Thu, 3/31/16, 'Lutgard Kokulinda Kagaruki' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, March 31, 2016, 7:49 AM

Kutetea uchaguzi wa Zanzibar, kwa
njia yoyote ile au sababu zozote zile, inabidi kwanza mtu
ujitoe ufahamu!!

LKK

Sent from my iPad

> On 30 Mar 2016, at 22:11, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Magoge. Jana ulisikiliza kipindi cha hotuba za Mwalimu
Nyerere ITV? Anasema 'samahani japo tunatetea utawala wa
sheria lakini yule mgiriki kusema serikali yangu iko mfukoni
mwake na hakuna namna ya kumbana kisheria ilibidi nimuweke
ndani'. Ukitaka vifungu vya katiba vya kusaidia kurudia
uchaguzi na ukivikosa unatumia akili ili mradi ni kwa
manufaa ya taifa. Hata Marekani walimpiga Saddam bila haki
za kisheria. UN haikuruhusu na bado alipigwa. Sio Tanzania
tu inayofanya hivyo.
> --------------------------------------------
> On Wed, 3/30/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, March 30, 2016, 8:33 PM
>
> Hatuwatetei Wamarekani, lakini ni lazima pia
> tuweze kujikosowa wenyewe, Hata kama uchaguzi
ulitakiwa
> urudiwe ungeweza kurudiwa kwa namna bora zaidi ya
jinsi
> ulivyorudiwa. Au labda na mimi niulize: 1) Je ulifutwa
kwa
> kufuata kifungu gani cha katiba au sheria 2)
Uliporudiwa
> ulirudiwa kwa kufungu gani cha katiba au sheria? Labda
> tuanzie hapo ndipo tuone kama hatuwezi kujikosowa maana
kila
> kitu kilienda vizuri kama ilivyotakiwa.
>
> 2016-03-30 20:03 GMT+03:00
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Mimi naza
> kitenga no 2 na 1.
>
> Hatukufanya madudu katika maeneo yote mawili.
>
> Kwa manufaa ya traifa letu tusingeweza kuzuia uchaguzi
> Zanzibar kurudiwa. hapo hatuhitaji marekani
> kututafsiriwa.
>
> Kuhusu sheriaq ya mtandao ni kama ambavyo FBI
wanagombana na
> Apple.
>
> Wao kutunyima msaada inahitaji kuhakikisha kama
hawakuwa
> nyuma ya mambo hayo tunayoyakimbia. Inahitaji kuwa na
miwani
> ya mbao kutoyaona haya na kuendelea kuwatetea
wamarekani.
>
> --------------------------------------------
>
> On Wed, 3/30/16, Telesphor
> Magobe <tmagobe@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI
NA
> UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
>  To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  Date: Wednesday, March 30, 2016, 7:28 PM
>
>
>
>  Mimi nadhani ni lazima
>
>  tutofautishe:
>
>  1. Kunyimwa misaada
>
>  2. Aina ya madudu yaliyofanya tunyimwe
>
>  misaada
>
>  3. Tunapojadili 1 hatuwezi
>
>  kukwepa 2
>
>  4. Kudhani kwamba tumenyimwa
>
>  misaada kwa sababu tunaweza kujitegemea ni
> kujidanganya.
>
>
>
>  2016-03-30 18:46 GMT+03:00
>
>  'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>  HOFU ni kitu kibaya
>
>  sana.Ukikutana na mtu hasa msomi
>
>  lakini ana hofu ujue huyo ni
> sehemu ya tatizo maana pamoja
>
>  na elimu,ujuzi na maarifa alivyo navyo hofu/woga
> vitamzuia
>
>  kufikiri hata kama ana jawabu la tatizo
>
>  lenu.Magufuli kama Daudi
>
>  na Marekani kama Goliati,
> vyovyote marekani ilivyo lazima
>
>  isalimu amri.Hofu inaleta
>
>  ulegvu wa mikono. Hofu inaleta
> maswali ya ovyo, sasa mimi
>
>  nitafanyaje? Hofu huleta miguu kupoteza uwezo
wake wa
>
>  kusimama. Hofu husababisha kinywa kuchemka kwa
kuona
>
>  haiwezekani na kuona hakuna njia. Hofu huleta
kifo cha
> moyo.
>
>  Hofu huendeleza utumwa. Watu wenye hofu kwa
wanadamu
> wenzao
>
>  na kujiona wao ni sawasawa na panzi wana akili
kidogo
> hata
>
>  kama wamesoma kiasi gani. Marekani hata wakiacha
kutoa
>
>  misaada yao, hawana uwezo wowote wa kuifuta
>
>  TanzaniaHivi Watanzania
>
>  wanatishwa na kukosa msaada wa
> trilioni moja na zaidi
>
>  kidogo. Hivi tukiamua wote leo kufanya kazi kwa
bidii
>
>  inatuchukua muda gani kuziba pengo hili ambalo
watu
>
>  wanadhani kwa kukosa fedha hizi ni kama
tumekataliwa na
>
>  MUNGU. TANZANIA tuna nguvu sana bila hofu na
tukifanya
> kazi
>
>  kwa bidii.
>
>
>
>
>
>      On Wednesday, March
>
>  30, 2016 4:21 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
>
>  wrote:
>
>
>
>
>
>   uo ndio ukweli sa sura ya jamaa hawa.
>
>  ndiyo maana wengine tunawaza kuwa extremist
Trump
> akichukua
>
>  nchi ulimwengu wote utaungana dhidi ya dude hilo
na
> utakuwa
>
>  mwisho wa 'himaya' yao. Wengine hawajui kwa
> nini
>
>  Putin anawakazania wamarekani wamchague jamaa
huyo
>
>  --------------------------------------------
>
>  On Wed, 3/30/16, 'Pius Makomelelo' via
>
>  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>
>
>   Subject: Re: [wanabidii]
>
>  MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
>   To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
>   Date: Wednesday, March 30, 2016, 3:43
PM
>
>
>
>   Wakiona tumegangamala
>
>  zaidi,
>
>   hawatasita kuja kutafuta silaha za
>
>  maangamizi! Urafiki
>
>   mwingine inabidi tuwe
>
>  makini sana!
>
>   
>
>
>
>
>
>      On Wednesday, 30
>
>   March 2016, 14:41, 'ELISA MUHINGO'
via
>
>  Wanabidii
>
>   <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
>   
>
>
>
>   
>
>  Hii
>
>   ndiyo sura sahihi ya marekani. Subiri
>
>  kidogo, Wakigundua
>
>   kuwa Tanzania ya
>
>  magufuli imegangamala watatumia njia
>
>
>
>  nyingine kuendeleza 'urafiki'. CIA ina taasisi
>
>   nyingi. Kuna MCC, kuna USAID na
mengine mengi.
>
>  Yanatumika
>
>   kuingilia mataifa yasiende
>
>  yanakotaka.
>
>
>
>  --------------------------------------------
>
>   On Wed, 3/30/16, Ireneus Mushongi
<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
>
>   wrote:
>
>
>
>   
>
>  Subject: RE:
>
>   [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA
>
>  GANI NA UCHAGUZI WA
>
>   TANZANIA?
>
>    To: wanabidii@googlegroups.com
>
>    Date: Wednesday, March 30, 2016, 9:32 AM
>
>   
>
>    Reaction from Charles
>
>   Mwijage:
>
>   
>
>    MCC wamekataa
>
>   kutoa pesa
>
>  kutokana na jinsi uchaguzi wa
>
>
>
>   Zanzibar ulivyoendeshwa, hiki ni
kisingizio
>
>  tu. Hatuwezi
>
>    kuendesha nchi yetu kwa
>
>  matakwa yao. Mbona
>
>   wanatoa fedha
>
>    Misri na Israel, hizi nchi
>
>
>
>  hakuna wanaozilalamikia au
>
>   
>
>  hazikandamizi
>
>   jamii Fulani?
>
>   
>
>    Reaction
>
>   on MCC matter.From:
>
>   
>
>  Jovias
>
>
>
>   Mwesiga
>
>    Sent:
>
>
>
>
>
>  ‎29/‎03/‎2016
>
>    22:45
>
>
>
>   To:
>
>   
>
>  WANA
>
>    BIDII
>
>    Subject:
>
>    Re: [wanabidii]
>
>   MAREKANI
>
>  INA
>
>    SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
>
>   TANZANIA?
>
>   
>
>    Watanzania
>
>   bwana mimi
>
>  nafurahia jinsi
>
>
>
>
>
>  tunavyojitutumua. Ni kitu kizuri kweli ila huu
uchungu
>
>    umetoka wapi?
>
>   
>
>    Hivi kwaninj MCC wanaondoka vile? Kuna
>
>  ukweli
>
>   gani madai
>
>   
>
>  yao?
>
>    On Mar 29,
>
>   2016
>
>  13:30,
>
>    "Emmanuel Muganda"
>
>   <emuganda@gmail.com>
>
>   
>
>  wrote:
>
>    Dominick,Kati ya watu
>
>   hao Kikwete
>
>    anaongoza.em
>
>
>
>   2016-03-29 7:51
>
>    GMT-04:00 'Dominick
>
>
>
>  Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>    Wapo watu ambao kwao kujitegemea ni
>
>    dhambi.Nchi kama Tanzania inaweza wakati
>
>    wowote ikapata viongozi dhaifu. Kwa hali
>
>   ilivyo haiwezekani
>
>    kwa mtu
>
>  ambaye ana elimu
>
>   ya msingi kuwa rais wa
>
>  Tanzania.
>
>    Kwa hiyo
>
>   wapo
>
>  wasomi wa ngazi hiyo ya vyuo vikuu kuongoza
>
>    taifa hili lakini ni watu dhaifu. Ndani
>
>  yao
>
>   hawana dhamira
>
>    ya
>
>  kujitegemea. Taifa
>
>   linaweza kupata kiongozi
>
>  ambaye hajui
>
>    ni
>
>   kwa nini
>
>  yeye ni rais, waziri mkuu, waziri
>
>
>
>   nk,Kuna watu ambao mawazo yao ni
>
>    kuombaomba
>
>   na kurithi.
>
>  Akitaka kufanya jambo anataka
>
>
>
>   aangalie ni wapi akaombe. Kama
kiongozi wenu
>
>  ni aina hii
>
>   ya
>
>    fikira za
>
>  kuombaomba taifa halitoki.Na
>
>   kama taifa
>
>  lina raia
>
>    wengi wa aina hii
>
>   mwisho wake uko karibu sana. Na
Marekani
>
>
>
>   wanatumia udhaifu wetu huu
>
>  kufanya wapendavyo. Ikiwa
>
>   kesho
>
>    Watanzania wote tukiamua kwa pamoja
>
>   tunafanya kazi kwa akili
>
>   
>
>  zetu za kichwani
>
>   na moyoni, mikono yetu,
>
>  nguvu zetu, miguu
>
>
>
>   yetu
>
>  hawa wamarekani watatuheshimu na kutuogopa
>
>    sana.Mtu anasomea uhasibu si kulijenga
>
>    taifa bali akaibe fedha za ofisi. Kwa
>
>  hiyo
>
>   huyu anataka
>
>   
>
>  Marekani walete fedha ili
>
>   aibe. Akili zake
>
>  za moyoni ni
>
>    kuiba mali ya
>
>   nchi siyo kufanya kazi ili nchi na
raia
>
>
>
>   tuendelee. Kupanda mchungwa
>
>  si jambo la kungoja jirani
>
>   aje
>
>    apande kwako ila ni la kwako mwenyewe
>
>   ila kama unataka
>
>    kutukanwa
>
>  na watoto wa
>
>   jirani yako aliyeamua
>
>  kupanda
>
>    michungwa
>
>
>
>  unapokwenda kuomba machungwa kwao shauri
>
>
>
>
>
>   yako.Bila kufanya kazi ili
kujitegemea
>
>
>
>   tutakuwa taifa la hovyo
>
>  sana.
>
>   
>
>        On
>
>  Tuesday, March 29,
>
>
>
>   2016
>
>  6:56 AM, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com>
>
>    wrote:
>
>     
>
>
>
>
>
>   
>
>  Irenei
>
>    ni kweli kabisa
>
>
>
>  vyama vya siasa hatuwezi
>
>    kutuletea
>
>   maendeleo.  na ni sahihi kabisa
mataifa ya
>
>
>
>   nje hayawezi kutufaa kwa
>
>  maendeleo yetu na ya wajukuu
>
>    zetu.
>
>  lakini tumefikaje huku, wameingiaje
>
>   hawa?
>
>  ni kwa
>
>    sababu tumeonyesha
>
>   kushindwa.  kwa muda mrefu
tumekuwa
>
>
>
>   tukiwafuata na bakuli la
>
>  kuombea na kuwapigia magoti kuwa
>
>   
>
>  hatujiwezi tunaomba tafadhali.  Tumewaita
>
>
>
>  km
>
>    consultants watuandikie proposals
>
>  nzuri
>
>   maana sisi
>
>   
>
>  hatuwezi.. tumeshindwa.
>
>   
>
>    lakini hela ikija inaenda
>
>
>
>  mifukoni mwa wachache..
>
>    tumeshindwa.
>
>   
>
>    Juzi wananchi wa
>
>  Musoma
>
>   waliripoti kuwa
>
>   
>
>  wanakunywa unreated
>
>   water.  dawa
>
>  inagharimu 1. 7m per
>
>    month.
>
>   Idara inakusanya 20m za bills za maji
per
>
>
>
>   month.  Usishangae  kuomba
>
>  msaada wa kuzuia
>
>    kipindupindu.
>
>    Jana Rais
>
>   kupokea repoti za
>
>  CAG.  tega
>
>    sikio
>
>
>
>  kakaangu usikie  mambo ya hovyo
>
>    On 29
>
>  Mar
>
>   2016 00:02, "Ireneus
>
>  Mushongi"
>
>
>
>   <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
>
>    wrote:
>
>   
>
>   
>
>    Mbegu.
>
>   
>
>    Sisi
>
>
>
>  tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo
km boda
>
>    boda wakati wa kampeni!. Wether ni
magufuli
>
>  or
>
>   whoever we
>
>    speak our
>
>  minds.  Magufuli Sio
>
>   Mungu but let's
>
>  be
>
>    realistic that
>
>
>
>  American principle won't get us anywhere!
>
>    I know you guys okays everything American
>
>  as
>
>   they have been
>
>    your
>
>  godfather funding and
>
>   financing your
>
>  political
>
>    interests.
>
>   
>
>
>
>    As said earlier Americans
>
>   work for their interests not from
>
>    humanity
>
>   point of view.
>
>   
>
>    Wewe
>
>
>
>  ndivyo ulivyo individually. Do not generalise
your
>
>    mindset onto others. America is not a
>
>  solution
>
>   to global
>
>   
>
>  problems. Isn't a solution to
>
>   our
>
>  matters as well!
>
>    That Mbowe, Lowassa
>
>  or
>
>   Magufuli favours America doesn't
>
>    take
>
>   away our own decisions
>
>  from serving our country. None
>
>    of them
>
>  think on our behalf.
>
>
>
>
>
>    Let's do it our own way!From:
>
>    Edgar
>
>    Mbegu
>
>
>
>   Sent:
>
>   
>
>  ‎28/‎03/‎2016
>
>
>
>
>
>  23:04
>
>    To:
>
>    Wanabidii
>
>    Mawazo
>
>    Subject:
>
>    RE: [wanabidii] MAREKANI INA
>
>
>
>   SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
>
>  TANZANIA?
>
>   
>
>   
>
>    Bifabusha, mtu akihoji
>
>
>
>  matumizi ya hovyo namna hiyo,
>
>    anaonekana
>
>  si
>
>   mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata
>
>
>
>   waliokuwa wanahoji kupigwa
>
>  danadana uchaguzi wa Meya DSM
>
>    walionekana
>
>  kuwa ni wachochezi hadi pale JPM
>
>
>
>  alipotamka.
>
>    Nina Imani kuwa hata hawa
>
>   wanaoponda US na sera na siasa
>
>    zake siku
>
>   JPM akiziunga
>
>  mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
>
>   
>
>  tulivyo!
>
>    Date: Mon, 28 Mar
>
>   2016 15:19:15 +0300
>
>   
>
>  Subject: Re: RE:
>
>   [wanabidii] MAREKANI INA
>
>  SHIDA GANI NA
>
>
>
>   UCHAGUZI WA
>
>  TANZANIA?
>
>    From: acanemwango@gmail.com
>
>   
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>   
>
>    Nakubaliana sana na
>
>  wewe
>
>   Dominick.
>
>   
>
>    Maendeleo
>
>   yanaanza na mtu
>
>  binafsi.  japo baadhi ya sera
>
>    na
>
>  taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha
>
>
>
>  nyumba juhudi
>
>    za mtu binafsi. 
>
>   
>
>   
>
>    On
>
>  28 Mar
>
>   2016 11:14, "'Dominick
>
>
>
>   Rukokelwa' via
>
>  Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
>   wrote:
>
>    Bifabusha umesema
>
>  vema.Tujilaumu
>
>   sisi wenyewe kama
>
>  Tanzania/
>
>    Afrika.Tanzania
>
>   tuna ardhi
>
>    iliyosheheni
>
>  kila kitu. Hivi
>
>   kupanda maharage
>
>  kunahitaji
>
>    msaada kutoka
>
>
>
>  Marekani?Ardhi tunayo ila tunaitazamaje kwa
macho
>
>    yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono gani
>
>  kwenye
>
>   ardhi
>
>   
>
>  yetu?Tunachokiona cha
>
>    kwanza ni kuiuza
>
>  ardhi ya Tanzania.Sisi ni
>
>   walegevu sana,
>
>  swala la kazi
>
>    linapaswa
>
>
>
>  kusimamiwa na kila mtu. Kazi peke yake ndiyo
>
>    itakayoinua taifa.Kwa
>
>   
>
>  mfano
>
>   kuna faida gani kuwa na mfuasi wa
>
>  chama chako cha
>
>    siasa lakini hataki
>
>  kufanya kazi?Unaposimama
>
>   kumhutubia
>
>  mfuasi
>
>    wako hotuba nzima
>
>   humhimizi baada ya mkutano na
>
>    maandamano
>
>   aende akafanye
>
>  kazi. Mtu yeyote anayeipenda
>
>
>
>   Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo
cha
>
>
>
>   maendeleo.Wenzetu
>
>    wanaitazama ardhi tofauti
>
>
>
>  na sisi. Wenzetu wanajua nini
>
>    maana ya
>
>   kazi.
>
>   
>
>
>
>       On Monday,
>
>   March 28,
>
>    2016 9:15 AM,
>
>
>
>  'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
>   wrote:
>
>     
>
>   
>
>     Tukipata misaada
>
>    tukaitumia
>
>   kuleta mifumo
>
>  bora tutaendelea. Hata Japani
>
>
>
>   walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida
hapa ni
>
>  kutaka kuiba
>
>    hiyo misaada na kutumia
>
>  misaada kwa faida ya
>
>   watu wachache.
>
>    Msaada unaombwa ukiwa
>
>
>
>  umebeba administrative costs kubwa na
>
>
>
>   development budget kidogo pia nazo
zinahusu
>
>  posho za
>
>   semina
>
>   
>
>  zinazoendeshwa na walewale
>
>   walioandaa
>
>  miradi walioko
>
>    serikalini. No
>
>   tangible development costs. Kwahiyo
>
>  mamilioni
>
>    ya dola yanaishia mifukoni mwa
>
>  watu badala ya
>
>   kwenda kwenye
>
>    miradi.
>
>
>
>
>
>  Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye
>
>
>
>
>
>   sector ya kilimo ktk Halmashauri moja
>
>  mambo niliyoyaona
>
>   humo
>
>   
>
>  ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta
>
>   na
>
>  posho. Hatuwekezi
>
>    kwenye miradi.
>
>    Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi
>
>   wenyewe.
>
>    Misaada ikitumika
>
>  vizuri inaweza
>
>   kuleta maendeleo na
>
>    kuondokana na
>
>   utegemezi.
>
>   
>
>    Sent from
>
>   Samsung
>
>    Mobile
>
>   
>
>   
>
>   
>
>  -------- Original message
>
>   --------
>
>    From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>
>
>
>    Date:
>
>    To: wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>    Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI
>
>  INA
>
>   SHIDA GANI NA
>
>   
>
>  UCHAGUZI WA TANZANIA?
>
>   
>
>   
>
>   
>
>   
>
>    Thanks, Ireneus Kakuru
>
>
>
>  Mushongi na Elisa Muhingo amehoji
>
>
>
>   yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama
ninyi
>
>  kutufunua
>
>   sisi
>
>    vipofu TZ
>
>  tupo wengi wa kufuata
>
>   mikumbo na kujali
>
>  tumboni
>
>    street.
>
>    HK
>
>   
>
>
>
>
>
>  --------------------------------------------
>
>    On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi
>
>   <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
>
>    wrote:
>
>   
>
>
>
>   
>
>   Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI
>
>  INA SHIDA GANI NA
>
>    UCHAGUZI WA
>
>  TANZANIA?
>
>     To:
>
>   "wanabidii@googlegroups
>
>   com" <wanabidii@googlegroups.com>
>
>     Date: Sunday, 27 March, 2016,
14:05
>
>   
>
>     Nawaogopa wale
>
>   mnaoutukuza umagharibi na na
>
>
>
>    pia kupima
>
>   mafanikio yenu kwa mizania ya
>
>  kimagharibi!
>
>     Angalia China, India, Asian
>
>  Tigers,
>
>   hawaendekezi
>
>   
>
>  U-Magharibi. Wana principles
>
>   zao nzuri
>
>  wanazitumikia
>
>     wanazifuata. Huku
>
>   hatuna nidhamu ya kazi na kufuata
kanuni
>
>   
>
>   za mafanikia, hadi
>
>  tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
>
>   
>
>  akili hii tutafika?
>
>     Hivi
>
>   ni checklist gani ya
>
>   
>
>  kimagharibi
>
>   unadhania inatufaa sisi hadi
>
>  tuifuate hatua
>
>
>
>   kwa
>
>     hatua ndio tufanikiwe? Ya
Kisiasa,
>
>   kiuchumi au
>
>   
>
>  kiutamaduni?
>
>     Our
>
>   
>
>  political, cultural,
>
>   social and economical
>
>  values in terms
>
>     of
>
>
>
>  mission and visions should guide of undertakings.
We
>
>    are
>
>     in a very
>
>  different
>
>   environment in any of the above;
>
>  how
>
>     come
>
>   their missions
>
>  and visions guide our strategies? Hapa
>
>   
>
>  kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na
>
>
>
>  vision yake
>
>    inaweza
>
>
>
>   
>
>   kutukwamua hapa ilipo kama
ikisimamiwa
>
>  vizuri kwa vitendo
>
>    na
>
>   
>
>  nidhamu ya hali ya juu.
>
>   Kwa nini
>
>  tunang'ang'ania
>
>     hizi
>
>   dhana za kucopy na kupaste katika
kuendesha
>
>  mambo
>
>    yetu?
>
>     Can't
>
>  we learn
>
>   from others in the Eastern
>
>  world?
>
>   
>
>   Can't we
>
>  come up with something African and
>
>   
>
>  particularly
>
>     Tanzanian to
>
>   guide of move?
>
>     Or simply
>
>  because bwana
>
>   mkubwa Uncle
>
>
>
>    Sam (US) is not happy, then
>
>   we are in a
>
>  wrong direction?
>
>     Because we
>
>   not dancing in his tune? Yes it's
time
>
>  to
>
>    say
>
>     no!
>
>   
>
>   For how long
>
>     should WE keep on licking
>
>
>
>  their feet, kissing their ass to
>
>   
>
>  please
>
>   them love us? South Africa, North
>
>  Korea, Iran,
>
>    Libya,
>
>   
>
>  were all sanctioned
>
>   and denied the foreign
>
>  aid few years
>
>     ago;
>
>   you
>
>  all know what they did out of dependence to
>
>    change
>
>     their
>
>  status.With
>
>   exceptional of Libya where
>
>     these western
>
>   thugs
>
>  intervened, we are well informed of
>
>
>
>   the
>
>     situation right now.
>
>  Gadhafi is dead
>
>   and Libya is a mess.
>
>    US
>
>   
>
>   and
>
>  her western allies are there at large controlling
oil
>
>     reserves! Similarly they
intervened
>
>  Libya
>
>   government as
>
>   
>
>  undemocratic, supported few
>
>   individuals who
>
>  took refuge in
>
>     UK and US,
>
>   formed political movements, ousted
Gadhafi;
>
>
>
>   those
>
>   
>
>  individuals as they were not united
>
>
>
>  previously, started
>
>     fighting for
>
>  power
>
>   distribution; the West have failed
>
>  and
>
>    a
>
>     situation in
>
>  not manageable right now; gone
>
>   beyond
>
>    control;
>
>     some
>
>   groups have turned into terrorist
groups,
>
>  joined ISIS
>
>     and Al-Qaeda; and surprising
>
>  enough still
>
>   few Tanzanians
>
>    are
>
>   
>
>
>
>  hailing US as the remedy for our situation; come
on
> guys;
>
>    be
>
>     serious and think
>
>   ahead.
>
>     Ndugu zangu wengine
>
>  najua
>
>     mnaishi huko nje/ ughaibuni,
ama
>
>  kwa kuamua
>
>   ama kwa
>
>   
>
>  kulazimishwa na mazingira. By the
>
>   way
>
>  Donald Trump
>
>     doesn't need you
>
>   anymore; km uko US; you better come
>
>     back
>
>   ili tujenge nchi yetu
>
>  kwa kaulimbiu zetu wenyewe
>
>    badala
>
>     ya kuchochea vurugu
>
>   na
>
>  kulalamika tuuuu! We will never
>
>    make
>
>     it under US missions and
visions to
>
>   determine our fate as
>
>    a
>
>   
>
>   country. Ndiyo changamoto
>
>  zipo bado lakini collectively
>
>    sisi
>
>     wenyewe bila
>
>   kuingiliwa na
>
>  yeyote; we can make
>
>     it.
>
>
>
>    Just my
>
>     take!
>
>   
>
>   
>
>   
>
>
>
>  Omukunirwa
>
>     Ireneus
>
>
>
>   
>
>
>
>   
>
>
>
>   
>
>   
>
>   
>
>
>
>   
>
>     2016-03-27 12:56
>
>
>
>  GMT+03:00
>
>     'Mashaka Makana'
>
>  via
>
>   Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>     Kama demokrasia ya
>
>   
>
>   chaguzi za viongozi kila baada ya
miaka mitano
>
>  wakati
>
>     chaguzi hizi ndiyo
zinatufirisi
>
>  na
>
>   kuimarisha umasikini
>
>   
>
>  basi
>
>     mh.magufuli mpaka 2050!
>
>   
>
>
>
>   
>
>  Sent
>
>     from Yahoo Mail
>
>   on
>
>  Android
>
>
>
>
>
>  From:"'mashakamakana'
>
>   
>
>  via
>
>   Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>
>     Date:Sun, Mar 27, 2016 at
12:38
>
>     Subject:RE: [wanabidii]
MAREKANI INA
>
>     SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
>
>   
>
>      Tunalo
>
>     jembe limechongwa usukumani
wala hatuna
>
>  haja
>
>   ya amri zao.
>
>     Dawa
>
>  ni kuwapuuza wakileta
>
>   yasiyotufaa.
>
>  Hongera
>
>    wanyarwanda
>
>   
>
>  mh. kagame mpaka 1937
>
>   
>
>
>
>   
>
>     'Bernard' via
>
>   Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
>     wrote:
>
>   
>
>     Mapenzi ni
>
>   
>
>   chongo.From:
>
>     'ELISA
>
>  MUHINGO'
>
>   via
>
>   
>
>  Wanabidii
>
>     Sent:
>
>   
>
>  ‎27/‎03/‎2016
>
>   
>
>
>
>  00:52
>
>     To:
>
>     wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>    Subject:
>
>     Re: [wanabidii]
>
>   MAREKANI INA
>
>     SHIDA GANI NA
>
>  UCHAGUZI WA
>
>   TANZANIA?
>
>   
>
>
>
>   
>
>   Unazungumzia
>
>  Marekani
>
>     ipi? Iliyomuunga
>
>   mkono Savimbi ili Angola  angola
>
>   
>
>   isiendelee na kuendeleza
>
>  demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
>
>     inatetea
>
>  democrasia? Marekani iliyovamia
>
>   Panama?
>
>    Unaongelea
>
>   
>
>   marekani gani inayoona kuwa Tanzania
>
>  haikufuata
>
>    demokrasia?
>
>
>
>    Iliyomuunga
>
>   Mkono Mobutu kufilisi
>
>  Kongo?
>
>   
>
>
>
>  --------------------------------------------
>
>     On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya'
>
>   via
>
>     Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
>     wrote:
>
>   
>
>
>
>     Subject: Re:
>
>     [wanabidii] MAREKANI INA
>
>
>
>  SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
>
>     TANZANIA?
>
>      To: "wanabidii@googlegroups.com"
>
>     <wanabidii@googlegroups.com>
>
>      Date: Friday, March 25, 2016, 9:35
AM
>
>     
>
>      Marekani
>
>   
>
>     ina shida na wizi
>
>  wa
>
>   kura unaoendelea Tanzania.
>
>     Kutofuatwa
>
>      kwa
>
>  misingi ya kidemokrasia
>
>     ikiwa ni pamoja
>
>  na
>
>      kuwa
>
>   na Tume
>
>      huru ya Uchaguzi ndiyo
>
>
>
>    tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
>
>     
>
>  iliyoundwa
>
>     naMwenyekiti
>
>
>
>  wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
>
>     
>
>  useme
>
>   kuta kuwa na uchaguzi hapo.
>
>  Mwenyekiti
>
>     wa
>
>   CCM
>
>  (Rais)
>
>      ndiye huyo huyo
>
>   anayeelekeza
>
>     majeshi ya
>
>  ulinzi na
>
>   usalama
>
>     
>
>  yawanyanyase
>
>   
>
>   wapinzani
>
>  wake ili wasishinde uchaguzi, bado
>
>     
>
>  kutakuwa na uchaguzi hapo?
>
>   
>
>     CCM
>
>     
>
>
>
>  inajua wazi kwamba haipendwi na
>
>   
>
>  wananchi
>
>   ndiyo maana
>
>     
>
>  inang'ang'ania
>
>     Katiba iliyopo
>
>  inayompa madaraka
>
>      makubwa
>
>     Rais ambaye ni
>
>   Mwenyekiti
>
>  wa CCM ili kulinda
>
>      masilahi
>
>   yake madarakani.
>
>   
>
>   
>
>   Hili halikubaliki na
>
>  Marekani na mataifa mengine
>
>      ya Ulaya
>
>  yako sawa kabisa kupinga.
>
>     
>
>     
>
>     
>
>
>
>
>
>     
>
>         On
>
>  Thursday,
>
>   March
>
>      24,
>
>  2016 11:05 PM, 'ELISA
>
>   MUHINGO'
>
>  via
>
>     Wanabidii
>
>     
>
>  <wanabidii@googlegroups.com>
>
>     wrote:
>
>       
>
>     
>
>       Mara
>
>      baada ya uchaguzi mkuu
>
>
>
>   
>
>   October 2015 na yaliyotokea Marekani
>
>   
>
>     ilisita kuruhusu
>
>  msaada kwa serikali ya
>
>   Tanzania.
>
>      Sababu
>
>     
>
>   mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
>
>   
>
>   Uchaguzi wa Zanzibar na
>
>      2) Kutaka
>
>   kujua
>
>     kama kweli sheria ya mtandao
ina
>
>   haki ya
>
>   
>
>
>
>    kutumika
>
>   kuwadhibiti waliokuwa wanatumia
>
>  mtandao kuvuruga
>
>      uchaguzi ambao baadhi
>
>  walikuwa mikononi
>
>   mwa
>
>   
>
>  dola.
>
>     
>
>      Majuzi
>
>  baada ya
>
>   
>
>   uchaguzi
>
>      Zanzibar Marekani ililalamika
>
>   kwa
>
>     uchaguzi kufanyika
>
>  bila
>
>      waliogoma
>
>   
>
>   kushirikishwa.
>
>     
>
>     
>
>   Marekani
>
>     inajiona inakosa nini Tanzania
>
>   kuwa
>
>      salama
>
>     na chini
>
>   ya viongozi
>
>  waliodhibitishwa na tume za
>
>     
>
>   uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
>
>     
>
>   Send
>
>   
>
>    Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>     
>
>       
>
>     
>
>   
>
>     
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>     
>
>     
>
>       wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

>
>      Utapata Email ya
>
>   
>
>   
>
>     kudhibitisha ukishatuma
>
>   
>
>   
>
>     
>
>   
>
>     
>
>     
>
>     Disclaimer:
>
>     
>
>     
>
>     
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the
>
>
>
>   
>
>   sole
>
>     
>
>  responsibility
>
>   
>
>   
>
>  for
>
>     a
>
>    [The entire
>
>   original message is not
>
>   
>
>  included.]
>
>   
>
>   
>
>   
>
>    --
>
>   
>
>
>
>    Send
>
>   Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>   
>
>     
>
>   
>
>
>
>    Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
>   
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

>
>   Utapata Email ya
>
>   
>
>  kudhibitisha ukishatuma
>
>   
>
>     
>
>   
>
>   
>
>  Disclaimer:
>
>   
>
>
>
>   Everyone posting to this Forum bears
the
>
>  sole
>
>   responsibility
>
>    for
>
>  any legal consequences
>
>   of his or her
>
>  postings, and hence
>
>
>
>
>
>  statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
>    continued membership signifies that you
>
>  agree
>
>   to this
>
>    disclaimer
>
>  and pledge to abide by
>
>   our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>   
>
>
>
>   ---
>
>   
>
>   
>
>  You received this
>
>   message because you are
>
>  subscribed to the
>
>
>
>   Google
>
>  Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>
>
>    To unsubscribe from this
>
>  group and stop
>
>   receiving emails
>
>    from it, send an email to
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>   
>
>    For more options,
>
>  visit
>
>   https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>   --
>
>   Send
>
>  Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

>
>   Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>
>
>
>   Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to
>
>   this Forum bears the
>
>  sole responsibility for any legal
>
>
>
>  consequences of his or her postings, and hence
> statements
>
>   and facts must be presented
responsibly. Your
>
>  continued
>
>   membership signifies that you
>
>  agree to this disclaimer and
>
>   pledge to
>
>  abide by our Rules and Guidelines.
>
>   ---
>
>   You received this message
>
>
>
>  because you are subscribed to the Google Groups
>
>   "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To unsubscribe
>
>   from this group and stop
>
>  receiving emails from it, send an
>
>   email to
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>   For more options, visit
>
>   https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>     
>
>
>
>
>
>   --
>
>
>
>   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>   
>
>
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata
>
>  Email ya
>
>   kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>   
>
>
>
>   Disclaimer:
>
>
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
>
>  responsibility
>
>   for any legal consequences
>
>  of his or her postings, and hence
>
>
>
>  statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
>   continued membership signifies that
you agree
>
>  to this
>
>   disclaimer and pledge to abide by
>
>  our Rules and
>
>   Guidelines.
>
>
>
>
>
>   ---
>
>
>
>
>
>  You received this message because you are
subscribed to
>
>  the
>
>   Google Groups "Wanabidii"
>
>  group.
>
>
>
>   To unsubscribe
>
>  from this group and stop receiving emails
>
>
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>   For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>  --
>
>  Send
>
>  Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata
>
>  Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>  Everyone posting to
>
>  this Forum bears the sole responsibility for any
legal
>
>  consequences of his or her postings, and hence
> statements
>
>  and facts must be presented responsibly. Your
continued
>
>  membership signifies that you agree to this
disclaimer
> and
>
>  pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>  ---
>
>  You received this message
>
>  because you are subscribed to the Google Groups
>
>  "Wanabidii" group.
>
>  To unsubscribe
>
>  from this group and stop receiving emails from
it, send
> an
>
>  email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>   
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>   Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma
>
>
>
>   
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her
postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to
this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are
subscribed to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To unsubscribe from this group and stop
receiving
> emails
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>   
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata Email ya
>
>  kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>   
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her
postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented
responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to
this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are
subscribed to
> the
>
>  Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>  To unsubscribe from this group and stop
receiving
> emails
>
>  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>

>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>

>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment