Wednesday 30 March 2016

Re: [wanabidii] Karata Pekee Kwa CHADEMA Kwa Sasa!

Karata hiyo haina mashiko kwa sababu ndani ya CUF kuna makusudi ya kuvunja muungano hivyo hakuna nafasi ya agenda hiyo kuwa na mashiko.
Agenda pekee wanayoweza kuileta ni Katiba mpya. Hata hivyo agenda hiyo si muda mrefu Magufuli ataibeba. Magufuli kwa sasa hajaiona. Lakini baada ya kazi nzuri ya kuliresheshea taifa hili heshima uwezekano wa uendelevu wa mafanikio ya magufuli baada yake ni Katiba mpya. Katiba itakayowabana viongozi kutovuruga mafanikio yake. Tukifika hapo CDM watakuwa hawana agenda tena. Wakiileta sasa hakuna wa kuwasikiliza kwa sababu anasikilizwa Magufuli kwa anayotaka kuyafanya. CDM wanahitaji uangalifu sana kinyume chake hawapo.
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Karata Pekee Kwa CHADEMA Kwa Sasa!
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 9:02 PM

Baada ya kuizika rasmi Ajenda/karata ya ufisadi
hasa pale walipomsafisha
na kumkumbatia  Edward Lowassa karata pekee
iliyobaki ni ku-sympathise na Wazanzibari hasa kuhusu suala
la Muungano!


CUF ni wapinzani wakuu wa Muungano, kwa hiyo
wamepata mwenza huku Bara!

CHADEMA hawana mpango na kutawala nchi kwa sasa kwa kuwa
wana lengo la
kugawa nchi! Kazi yao ni kushangilia failures huku kukiwa na
success
wako kimya kama wamemwagiwa maji.


Anayofanya Magufuli mazuri wako kimya, limekuja la
MCC eti ndo wanatoa tamko!

Kama upinzani ni kupinga tu basi watabaki wapinzani milele!
Endeleeni na kick yenu ya kuwapa joto Wazenj!




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment