Ukawa inahitaji kujipanga. inahitaji kwa kuanza kujisafisha. kuondoa mamluki walioingia wakidhani hiyo ni kampuni ya miashara. Wanabadilisha sera na malengo kufuatana na soko au muwekezaji.
Alipokuwapo Slaa waliuhubiri vita ya ufisadi. Ameingia muwekezaji mwingine wanaongelea biashara yake. Kujisafisha ni kuiondoa mimamluki yote. waliokaribisha na waliokaribishwa.
baada ya hapo waanze upya kwa kuandaa mwelekeo. Watafute agenda waiendeleze na waaminike. Vinginevyo watakufa na tutapata hasara. UKAWA sikia.
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Magufuli na wanyonge vs UKAWA na wahisani
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 10:35 AM
Magufuli
na wanyonge vs UKAWA na wahisani
Hatimaye UKAWA
wamejipambanua katika rangi yao halisi ya kutaka kuuza uhuru
kamili wa
nchi...kwa kuwalilia na kuwashabikia wazungu!!
Reference iko humu humu jamvini.
Ni ukweli usio na shaka kwamba UKAWA
walipambana sana hata kabla ya matokeo ya uchaguzi wa Rais
Nov 2015...
Ukawa walipambana vilivyo kuwaonesha wazungu
kuwa Tanzania hakuna amani...
Ukawa kwa mara ya kwanza Tanzania walihakikisha kuwa
vyombo vya
habari vya kimagharibi vinaonesha Tanzania kuna tension
kiasi cha amani
kutoweka....
Ila kwa weledi mkubwa na uzalendo uliokithiri
vyombo vyetu vya kiuongozi na kiusalama vikashinda jaribio
hilo ovu la
UKAWA na wananchi wa Tanzania wakamaliza uchaguzi kwa amani
na ustaarabu
kama ikivyo desturi yetu.
UKAWA waliandaa maandamano UK na
USA na sio Manzese,Magomeni au Tandahimba ili kuonesha kuwa
nchi hii
haina demokrasia kisa CCM ilikuwa imeshinda na inaendelea
kushinda...huku wakisahau kuwa ndani ya vyama vyao wanacheza
tikitaka na
kugeuza gia za angani ili tu viongozi wao wawe wa kudumu
yaani
wanahubiri demokrasia ambayo ndani ya vyama vyao
haipo.
UKAWA wako tayari kuomba majeshi nje ili
tukupambana na CCM(REFERENCE: Vijana wa IT na mabodyguard
kutoka nje ya nchi)
UKAWA inaendelea kujidhihirisha kwa sera
zake za utegemezi kwa
mataifa ya nje...yaani UKAWA inaachana na dhana ya kutumia
resource
nyingi tulizonazo kukwamua wananchi kutoka kwenye matatizo
na badala
yake inajikita kwenye kuamini kuwa maendeleo yatakuja kwa
msaada na
hisani ya watu wa marekani.
UKAWA inatukumbusha vikundi vya miaka ile ya kudai uhuru
...vikundi tulivyoviita vibaraka wa wakoloni.
HII NI HULKA CHAFU YA UKAWA
iliyotubadilishia gia angani!!
UKAWA hii ya sasa ni UKAWA inayonukia kinyesi cha
UFISADI PAPA
baada ya kukiokota na kujipaka yenyewe karibia na uchaguzi
wa 2015.
Hii ni UKAWA iliyopoteza agenda muhimu za
kitaifa kama vile vita
dhidi ya ufisadi,ukosefu wa ajira,ukosefu wa uadilifu,elimu
duni na afya
isiyoridhisha....UKAWA inahaha kutafuta Agenda ya kubakia
kwenye ulingo
wa siasa kwa gharama yoyote baada ya kuvurunda
...!
UKAWA inajitenga rasmi na hoja za wananchi
na badala yake inachukua mrengo wa kunyenyekea
wakoloni!
UKAWA inaanzisha mapambano upya ya sisi
wazalendo dhidi ya Ukoloni
wa kisasa na kwa nguvu zetu,adabu,uvumilivu na msimamo
tutashinda tu...!
UKAWA haisikiki kwebye vita dhidi ya mauaji ya albino
lakini
inataka isikike kwenye msaada wa MCC...HUU NI UNAFIKI WA
KUTUPWA!!
SHAME UPON UKAWA ILIYOAMINIWA NA KUJIGEUZIA
GIA ANGANI...!
KWA MAGUFULI HAKIKA MTAISOMA NAMBA....KWANI AGENDA YETU NI
KAZI TU KAZI TU KAZI TU!
iliwahi kusemwa kuwa 'NGUO YA KUAZIMA
HAISITIRI.....Tufanye kazi na tulipe kodi! KWA HISANI YA MTU WA
TANZANIA!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment