Hii ndiyo sura sahihi ya marekani. Subiri kidogo, Wakigundua kuwa Tanzania ya magufuli imegangamala watatumia njia nyingine kuendeleza 'urafiki'. CIA ina taasisi nyingi. Kuna MCC, kuna USAID na mengine mengi. Yanatumika kuingilia mataifa yasiende yanakotaka.
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com> wrote:
Subject: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, March 30, 2016, 9:32 AM
Reaction from Charles Mwijage:
MCC wamekataa kutoa pesa kutokana na jinsi uchaguzi wa
Zanzibar ulivyoendeshwa, hiki ni kisingizio tu. Hatuwezi
kuendesha nchi yetu kwa matakwa yao. Mbona wanatoa fedha
Misri na Israel, hizi nchi hakuna wanaozilalamikia au
hazikandamizi jamii Fulani?
Reaction on MCC matter.From:
Jovias
Mwesiga
Sent:
29/03/2016
22:45
To:
WANA
BIDII
Subject:
Re: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Watanzania bwana mimi nafurahia jinsi
tunavyojitutumua. Ni kitu kizuri kweli ila huu uchungu
umetoka wapi?
Hivi kwaninj MCC wanaondoka vile? Kuna ukweli gani madai
yao?
On Mar 29, 2016 13:30,
"Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Dominick,Kati ya watu hao Kikwete
anaongoza.em
2016-03-29 7:51
GMT-04:00 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wapo watu ambao kwao kujitegemea ni
dhambi.Nchi kama Tanzania inaweza wakati
wowote ikapata viongozi dhaifu. Kwa hali ilivyo haiwezekani
kwa mtu ambaye ana elimu ya msingi kuwa rais wa Tanzania.
Kwa hiyo wapo wasomi wa ngazi hiyo ya vyuo vikuu kuongoza
taifa hili lakini ni watu dhaifu. Ndani yao hawana dhamira
ya kujitegemea. Taifa linaweza kupata kiongozi ambaye hajui
ni kwa nini yeye ni rais, waziri mkuu, waziri
nk,Kuna watu ambao mawazo yao ni
kuombaomba na kurithi. Akitaka kufanya jambo anataka
aangalie ni wapi akaombe. Kama kiongozi wenu ni aina hii ya
fikira za kuombaomba taifa halitoki.Na kama taifa lina raia
wengi wa aina hii mwisho wake uko karibu sana. Na Marekani
wanatumia udhaifu wetu huu kufanya wapendavyo. Ikiwa kesho
Watanzania wote tukiamua kwa pamoja tunafanya kazi kwa akili
zetu za kichwani na moyoni, mikono yetu, nguvu zetu, miguu
yetu hawa wamarekani watatuheshimu na kutuogopa
sana.Mtu anasomea uhasibu si kulijenga
taifa bali akaibe fedha za ofisi. Kwa hiyo huyu anataka
Marekani walete fedha ili aibe. Akili zake za moyoni ni
kuiba mali ya nchi siyo kufanya kazi ili nchi na raia
tuendelee. Kupanda mchungwa si jambo la kungoja jirani aje
apande kwako ila ni la kwako mwenyewe ila kama unataka
kutukanwa na watoto wa jirani yako aliyeamua kupanda
michungwa unapokwenda kuomba machungwa kwao shauri
yako.Bila kufanya kazi ili kujitegemea
tutakuwa taifa la hovyo sana.
On Tuesday, March 29,
2016 6:56 AM, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com>
wrote:
Irenei
ni kweli kabisa vyama vya siasa hatuwezi
kutuletea maendeleo. na ni sahihi kabisa mataifa ya
nje hayawezi kutufaa kwa maendeleo yetu na ya wajukuu
zetu. lakini tumefikaje huku, wameingiaje hawa? ni kwa
sababu tumeonyesha kushindwa. kwa muda mrefu tumekuwa
tukiwafuata na bakuli la kuombea na kuwapigia magoti kuwa
hatujiwezi tunaomba tafadhali. Tumewaita km
consultants watuandikie proposals nzuri maana sisi
hatuwezi.. tumeshindwa.
lakini hela ikija inaenda mifukoni mwa wachache..
tumeshindwa.
Juzi wananchi wa Musoma waliripoti kuwa
wanakunywa unreated water. dawa inagharimu 1. 7m per
month. Idara inakusanya 20m za bills za maji per
month. Usishangae kuomba msaada wa kuzuia
kipindupindu.
Jana Rais kupokea repoti za CAG. tega
sikio kakaangu usikie mambo ya hovyo
On 29 Mar 2016 00:02, "Ireneus Mushongi"
<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:
Mbegu.
Sisi tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo km boda
boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli or whoever we
speak our minds. Magufuli Sio Mungu but let's be
realistic that American principle won't get us anywhere!
I know you guys okays everything American as they have been
your godfather funding and financing your political
interests.
As said earlier Americans work for their interests not from
humanity point of view.
Wewe ndivyo ulivyo individually. Do not generalise your
mindset onto others. America is not a solution to global
problems. Isn't a solution to our matters as well!
That Mbowe, Lowassa or Magufuli favours America doesn't
take away our own decisions from serving our country. None
of them think on our behalf.
Let's do it our own way!From:
Edgar
Mbegu
Sent:
28/03/2016
23:04
To:
Wanabidii
Mawazo
Subject:
RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Bifabusha, mtu akihoji matumizi ya hovyo namna hiyo,
anaonekana si mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata
waliokuwa wanahoji kupigwa danadana uchaguzi wa Meya DSM
walionekana kuwa ni wachochezi hadi pale JPM alipotamka.
Nina Imani kuwa hata hawa wanaoponda US na sera na siasa
zake siku JPM akiziunga mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
tulivyo!
Date: Mon, 28 Mar 2016 15:19:15 +0300
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
From: acanemwango@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Nakubaliana sana na wewe Dominick.
Maendeleo yanaanza na mtu binafsi. japo baadhi ya sera
na taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha nyumba juhudi
za mtu binafsi.
On 28 Mar 2016 11:14, "'Dominick
Rukokelwa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Bifabusha umesema vema.Tujilaumu sisi wenyewe kama Tanzania/
Afrika.Tanzania tuna ardhi
iliyosheheni kila kitu. Hivi kupanda maharage kunahitaji
msaada kutoka Marekani?Ardhi tunayo ila tunaitazamaje kwa macho
yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono gani kwenye ardhi
yetu?Tunachokiona cha
kwanza ni kuiuza ardhi ya Tanzania.Sisi ni walegevu sana, swala la kazi
linapaswa kusimamiwa na kila mtu. Kazi peke yake ndiyo
itakayoinua taifa.Kwa
mfano kuna faida gani kuwa na mfuasi wa chama chako cha
siasa lakini hataki kufanya kazi?Unaposimama kumhutubia mfuasi
wako hotuba nzima humhimizi baada ya mkutano na
maandamano aende akafanye kazi. Mtu yeyote anayeipenda
Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha
maendeleo.Wenzetu
wanaitazama ardhi tofauti na sisi. Wenzetu wanajua nini
maana ya kazi.
On Monday, March 28,
2016 9:15 AM, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Tukipata misaada
tukaitumia kuleta mifumo bora tutaendelea. Hata Japani
walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni kutaka kuiba
hiyo misaada na kutumia misaada kwa faida ya watu wachache.
Msaada unaombwa ukiwa umebeba administrative costs kubwa na
development budget kidogo pia nazo zinahusu posho za semina
zinazoendeshwa na walewale walioandaa miradi walioko
serikalini. No tangible development costs. Kwahiyo mamilioni
ya dola yanaishia mifukoni mwa watu badala ya kwenda kwenye
miradi.
Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye
sector ya kilimo ktk Halmashauri moja mambo niliyoyaona humo
ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta na posho. Hatuwekezi
kwenye miradi.
Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi wenyewe.
Misaada ikitumika vizuri inaweza kuleta maendeleo na
kuondokana na utegemezi.
Sent from Samsung
Mobile
-------- Original message --------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
Thanks, Ireneus Kakuru Mushongi na Elisa Muhingo amehoji
yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi kutufunua sisi
vipofu TZ tupo wengi wa kufuata mikumbo na kujali tumboni
street.
HK
--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05
Nawaogopa wale mnaoutukuza umagharibi na na
pia kupima mafanikio yenu kwa mizania ya kimagharibi!
Angalia China, India, Asian Tigers, hawaendekezi
U-Magharibi. Wana principles zao nzuri wanazitumikia
wanazifuata. Huku hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
za mafanikia, hadi tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
akili hii tutafika?
Hivi ni checklist gani ya
kimagharibi unadhania inatufaa sisi hadi tuifuate hatua
kwa
hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa, kiuchumi au
kiutamaduni?
Our
political, cultural, social and economical values in terms
of mission and visions should guide of undertakings. We
are
in a very different environment in any of the above; how
come their missions and visions guide our strategies? Hapa
kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na vision yake
inaweza
kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa vizuri kwa vitendo
na
nidhamu ya hali ya juu. Kwa nini tunang'ang'ania
hizi dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha mambo
yetu?
Can't we learn from others in the Eastern world?
Can't we come up with something African and
particularly
Tanzanian to guide of move?
Or simply because bwana mkubwa Uncle
Sam (US) is not happy, then we are in a wrong direction?
Because we not dancing in his tune? Yes it's time to
say
no!
For how long
should WE keep on licking their feet, kissing their ass to
please them love us? South Africa, North Korea, Iran,
Libya,
were all sanctioned and denied the foreign aid few years
ago; you all know what they did out of dependence to
change
their status.With exceptional of Libya where
these western thugs intervened, we are well informed of
the
situation right now. Gadhafi is dead and Libya is a mess.
US
and her western allies are there at large controlling oil
reserves! Similarly they intervened Libya government as
undemocratic, supported few individuals who took refuge in
UK and US, formed political movements, ousted Gadhafi;
those
individuals as they were not united previously, started
fighting for power distribution; the West have failed and
a
situation in not manageable right now; gone beyond
control;
some groups have turned into terrorist groups, joined ISIS
and Al-Qaeda; and surprising enough still few Tanzanians
are
hailing US as the remedy for our situation; come on guys;
be
serious and think ahead.
Ndugu zangu wengine najua
mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama kwa kuamua ama kwa
kulazimishwa na mazingira. By the way Donald Trump
doesn't need you anymore; km uko US; you better come
back ili tujenge nchi yetu kwa kaulimbiu zetu wenyewe
badala
ya kuchochea vurugu na kulalamika tuuuu! We will never
make
it under US missions and visions to determine our fate as
a
country. Ndiyo changamoto zipo bado lakini collectively
sisi
wenyewe bila kuingiliwa na yeyote; we can make
it.
Just my
take!
Omukunirwa
Ireneus
2016-03-27 12:56 GMT+03:00
'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama demokrasia ya
chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano wakati
chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi na kuimarisha umasikini
basi
mh.magufuli mpaka 2050!
Sent
from Yahoo Mail on Android
From:"'mashakamakana'
via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Tunalo
jembe limechongwa usukumani wala hatuna haja ya amri zao.
Dawa ni kuwapuuza wakileta yasiyotufaa. Hongera
wanyarwanda
mh. kagame mpaka 1937
'Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mapenzi ni
chongo.From:
'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
Sent:
27/03/2016
00:52
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
Unazungumzia Marekani
ipi? Iliyomuunga mkono Savimbi ili Angola angola
isiendelee na kuendeleza demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
inatetea democrasia? Marekani iliyovamia Panama?
Unaongelea
marekani gani inayoona kuwa Tanzania haikufuata
demokrasia?
Iliyomuunga Mkono Mobutu kufilisi Kongo?
--------------------------------------------
On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
Marekani
ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania.
Kutofuatwa
kwa misingi ya kidemokrasia
ikiwa ni pamoja na
kuwa na Tume
huru ya Uchaguzi ndiyo
tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
iliyoundwa
naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
wa CCM (Rais)
ndiye huyo huyo anayeelekeza
majeshi ya ulinzi na usalama
yawanyanyase
wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
kutakuwa na uchaguzi hapo?
CCM
inajua wazi kwamba haipendwi na
wananchi ndiyo maana
inang'ang'ania
Katiba iliyopo inayompa madaraka
makubwa
Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
masilahi yake madarakani.
Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
On Thursday, March
24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mara
baada ya uchaguzi mkuu
October 2015 na yaliyotokea Marekani
ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania.
Sababu
mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
Uchaguzi wa Zanzibar na
2) Kutaka kujua
kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya
kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa
dola.
Majuzi baada ya
uchaguzi
Zanzibar Marekani ililalamika kwa
uchaguzi kufanyika bila
waliogoma
kushirikishwa.
Marekani
inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
salama
na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the
sole
responsibility
for
a
[The entire original message is not
included.]
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment