Wednesday 30 March 2016

Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

uo ndio ukweli sa sura ya jamaa hawa. ndiyo maana wengine tunawaza kuwa extremist Trump akichukua nchi ulimwengu wote utaungana dhidi ya dude hilo na utakuwa mwisho wa 'himaya' yao. Wengine hawajui kwa nini Putin anawakazania wamarekani wamchague jamaa huyo
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, 'Pius Makomelelo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 30, 2016, 3:43 PM

Wakiona tumegangamala zaidi,
hawatasita kuja kutafuta silaha za maangamizi! Urafiki
mwingine inabidi tuwe makini sana!



On Wednesday, 30
March 2016, 14:41, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Hii
ndiyo sura sahihi ya marekani. Subiri kidogo, Wakigundua
kuwa Tanzania ya magufuli imegangamala watatumia njia
nyingine kuendeleza 'urafiki'. CIA ina taasisi
nyingi. Kuna MCC, kuna USAID na mengine mengi. Yanatumika
kuingilia mataifa yasiende yanakotaka.
--------------------------------------------
On Wed, 3/30/16, Ireneus Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:

Subject: RE:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, March 30, 2016, 9:32 AM

Reaction from Charles
Mwijage:

MCC wamekataa
kutoa pesa kutokana na jinsi uchaguzi wa

Zanzibar ulivyoendeshwa, hiki ni kisingizio tu. Hatuwezi
kuendesha nchi yetu kwa matakwa yao. Mbona
wanatoa fedha
Misri na Israel, hizi nchi
hakuna wanaozilalamikia au
hazikandamizi
jamii Fulani?

Reaction
on MCC matter.From:
Jovias

Mwesiga
Sent:

‎29/‎03/‎2016
22:45

To:
WANA
BIDII
Subject:
Re: [wanabidii]
MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?

Watanzania
bwana mimi nafurahia jinsi

tunavyojitutumua. Ni kitu kizuri kweli ila huu uchungu
umetoka wapi?

Hivi kwaninj MCC wanaondoka vile? Kuna ukweli
gani madai
yao?
On Mar 29,
2016 13:30,
"Emmanuel Muganda"
<emuganda@gmail.com>
wrote:
Dominick,Kati ya watu
hao Kikwete
anaongoza.em

2016-03-29 7:51
GMT-04:00 'Dominick
Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Wapo watu ambao kwao kujitegemea ni
dhambi.Nchi kama Tanzania inaweza wakati
wowote ikapata viongozi dhaifu. Kwa hali
ilivyo haiwezekani
kwa mtu ambaye ana elimu
ya msingi kuwa rais wa Tanzania.
Kwa hiyo
wapo wasomi wa ngazi hiyo ya vyuo vikuu kuongoza
taifa hili lakini ni watu dhaifu. Ndani yao
hawana dhamira
ya kujitegemea. Taifa
linaweza kupata kiongozi ambaye hajui
ni
kwa nini yeye ni rais, waziri mkuu, waziri

nk,Kuna watu ambao mawazo yao ni
kuombaomba
na kurithi. Akitaka kufanya jambo anataka

aangalie ni wapi akaombe. Kama kiongozi wenu ni aina hii
ya
fikira za kuombaomba taifa halitoki.Na
kama taifa lina raia
wengi wa aina hii
mwisho wake uko karibu sana. Na Marekani

wanatumia udhaifu wetu huu kufanya wapendavyo. Ikiwa
kesho
Watanzania wote tukiamua kwa pamoja
tunafanya kazi kwa akili
zetu za kichwani
na moyoni, mikono yetu, nguvu zetu, miguu

yetu hawa wamarekani watatuheshimu na kutuogopa
sana.Mtu anasomea uhasibu si kulijenga
taifa bali akaibe fedha za ofisi. Kwa hiyo
huyu anataka
Marekani walete fedha ili
aibe. Akili zake za moyoni ni
kuiba mali ya
nchi siyo kufanya kazi ili nchi na raia

tuendelee. Kupanda mchungwa si jambo la kungoja jirani
aje
apande kwako ila ni la kwako mwenyewe
ila kama unataka
kutukanwa na watoto wa
jirani yako aliyeamua kupanda
michungwa
unapokwenda kuomba machungwa kwao shauri

yako.Bila kufanya kazi ili kujitegemea

tutakuwa taifa la hovyo sana. 

    On Tuesday, March 29,

2016 6:56 AM, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com>
wrote:
 


  Irenei
ni kweli kabisa
vyama vya siasa hatuwezi
kutuletea
maendeleo.  na ni sahihi kabisa mataifa ya

nje hayawezi kutufaa kwa maendeleo yetu na ya wajukuu
zetu.  lakini tumefikaje huku, wameingiaje
hawa? ni kwa
sababu tumeonyesha
kushindwa.  kwa muda mrefu tumekuwa

tukiwafuata na bakuli la kuombea na kuwapigia magoti kuwa
hatujiwezi tunaomba tafadhali.  Tumewaita
km
consultants watuandikie proposals nzuri
maana sisi
hatuwezi.. tumeshindwa.

lakini hela ikija inaenda
mifukoni mwa wachache..
tumeshindwa.

Juzi wananchi wa Musoma 
waliripoti kuwa
wanakunywa unreated
water.  dawa inagharimu 1. 7m per
month. 
Idara inakusanya 20m za bills za maji per

month.  Usishangae  kuomba msaada wa kuzuia
kipindupindu.
Jana Rais
kupokea repoti za CAG.  tega
sikio
kakaangu usikie  mambo ya hovyo
On 29 Mar
2016 00:02, "Ireneus Mushongi"

<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:


Mbegu.

Sisi
tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo km boda
boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli or
whoever we
speak our minds.  Magufuli Sio
Mungu but let's be
realistic that
American principle won't get us anywhere!
I know you guys okays everything American as
they have been
your godfather funding and
financing your political
interests.

As said earlier Americans
work for their interests not from
humanity
point of view.
 
Wewe
ndivyo ulivyo individually. Do not generalise your
mindset onto others. America is not a solution
to global
problems. Isn't a solution to
our matters as well!
That Mbowe, Lowassa or
Magufuli favours America doesn't
take
away our own decisions from serving our country. None
of them think on our behalf.


Let's do it our own way!From:
Edgar
Mbegu

Sent:
‎28/‎03/‎2016

23:04
To:
Wanabidii
Mawazo
Subject:
RE: [wanabidii] MAREKANI INA

SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?


Bifabusha, mtu akihoji
matumizi ya hovyo namna hiyo,
anaonekana si
mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata

waliokuwa wanahoji kupigwa danadana uchaguzi wa Meya DSM
walionekana kuwa ni wachochezi hadi pale JPM
alipotamka.
Nina Imani kuwa hata hawa
wanaoponda US na sera na siasa
zake siku
JPM akiziunga mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
tulivyo!
Date: Mon, 28 Mar
2016 15:19:15 +0300
Subject: Re: RE:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA

UCHAGUZI WA TANZANIA?
From: acanemwango@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Nakubaliana sana na wewe
Dominick. 

Maendeleo
yanaanza na mtu binafsi.  japo baadhi ya sera
na taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha
nyumba juhudi
za mtu binafsi.  


On 28 Mar
2016 11:14, "'Dominick

Rukokelwa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Bifabusha umesema vema.Tujilaumu
sisi wenyewe kama Tanzania/
Afrika.Tanzania
tuna ardhi
iliyosheheni kila kitu. Hivi
kupanda maharage kunahitaji
msaada kutoka
Marekani?Ardhi tunayo ila tunaitazamaje kwa macho
yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono gani kwenye
ardhi
yetu?Tunachokiona cha
kwanza ni kuiuza ardhi ya Tanzania.Sisi ni
walegevu sana, swala la kazi
linapaswa
kusimamiwa na kila mtu. Kazi peke yake ndiyo
itakayoinua taifa.Kwa
mfano
kuna faida gani kuwa na mfuasi wa chama chako cha
siasa lakini hataki kufanya kazi?Unaposimama
kumhutubia mfuasi
wako hotuba nzima
humhimizi baada ya mkutano na
maandamano
aende akafanye kazi. Mtu yeyote anayeipenda

Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha

maendeleo.Wenzetu
wanaitazama ardhi tofauti
na sisi. Wenzetu wanajua nini
maana ya
kazi. 

    On Monday,
March 28,
2016 9:15 AM,
'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
 

  Tukipata misaada
tukaitumia
kuleta mifumo bora tutaendelea. Hata Japani

walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni kutaka kuiba
hiyo misaada na kutumia misaada kwa faida ya
watu wachache.
Msaada unaombwa ukiwa
umebeba administrative costs kubwa na

development budget kidogo pia nazo zinahusu posho za
semina
zinazoendeshwa na walewale
walioandaa miradi walioko
serikalini. No
tangible development costs. Kwahiyo mamilioni
ya dola yanaishia mifukoni mwa watu badala ya
kwenda kwenye
miradi. 

Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye

sector ya kilimo ktk Halmashauri moja mambo niliyoyaona
humo
ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta
na posho. Hatuwekezi
kwenye miradi.
Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi
wenyewe.
Misaada ikitumika vizuri inaweza
kuleta maendeleo na
kuondokana na
utegemezi.

Sent from
Samsung
Mobile


-------- Original message
--------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Date: 
To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
 



Thanks, Ireneus Kakuru
Mushongi na Elisa Muhingo amehoji

yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi kutufunua
sisi
vipofu TZ tupo wengi wa kufuata
mikumbo na kujali tumboni
street.
HK


--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi
<ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:

 
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
  To:
"wanabidii@googlegroups
com" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05
 
  Nawaogopa wale
mnaoutukuza umagharibi na na
  pia kupima
mafanikio yenu kwa mizania ya kimagharibi!
  Angalia China, India, Asian Tigers,
hawaendekezi
  U-Magharibi. Wana principles
zao nzuri wanazitumikia
  wanazifuata. Huku
hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
 
za mafanikia, hadi tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
  akili hii tutafika?
  Hivi
ni checklist gani ya
  kimagharibi
unadhania inatufaa sisi hadi tuifuate hatua

kwa
  hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa,
kiuchumi au
  kiutamaduni?
  Our
  political, cultural,
social and economical values in terms
  of
mission and visions should guide of undertakings. We
are
  in a very different
environment in any of the above; how
  come
their missions and visions guide our strategies? Hapa
  kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na
vision yake
inaweza
 
kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa vizuri kwa vitendo
na
  nidhamu ya hali ya juu.
Kwa nini tunang'ang'ania
  hizi
dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha mambo
yetu?
  Can't we learn
from others in the Eastern world?
 
Can't we come up with something African and
particularly
  Tanzanian to
guide of move?
  Or simply because bwana
mkubwa Uncle
  Sam (US) is not happy, then
we are in a wrong direction?
  Because we
not dancing in his tune? Yes it's time to
say
  no!
 
For how long
  should WE keep on licking
their feet, kissing their ass to
  please
them love us? South Africa, North Korea, Iran,
Libya,
  were all sanctioned
and denied the foreign aid few years
  ago;
you all know what they did out of dependence to
change
  their status.With
exceptional of Libya where
  these western
thugs intervened, we are well informed of

the
  situation right now. Gadhafi is dead
and Libya is a mess.
US
 
and her western allies are there at large controlling oil
  reserves! Similarly they intervened Libya
government as
  undemocratic, supported few
individuals who took refuge in
  UK and US,
formed political movements, ousted Gadhafi;

those
  individuals as they were not united
previously, started
  fighting for power
distribution; the West have failed and
a
  situation in not manageable right now; gone
beyond
control;
  some
groups have turned into terrorist groups, joined ISIS
  and Al-Qaeda; and surprising enough still
few Tanzanians
are
 
hailing US as the remedy for our situation; come on guys;
be
  serious and think
ahead.
  Ndugu zangu wengine najua
  mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama kwa kuamua
ama kwa
  kulazimishwa na mazingira. By the
way Donald Trump
  doesn't need you
anymore; km uko US; you better come
  back
ili tujenge nchi yetu kwa kaulimbiu zetu wenyewe
badala
  ya kuchochea vurugu
na kulalamika tuuuu! We will never
make
  it under US missions and visions to
determine our fate as
a
 
country. Ndiyo changamoto zipo bado lakini collectively
sisi
  wenyewe bila
kuingiliwa na yeyote; we can make
  it.
  Just my
  take!
 
 
 
Omukunirwa
  Ireneus 
 

 
 
 
 
 
  2016-03-27 12:56
GMT+03:00
  'Mashaka Makana' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
  Kama demokrasia ya
 
chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano wakati
  chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi na
kuimarisha umasikini
basi
  mh.magufuli mpaka 2050!
 

  Sent
  from Yahoo Mail
on Android 

From:"'mashakamakana'
  via
Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
  Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
  Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
  SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
 
  Tunalo
  jembe limechongwa usukumani wala hatuna haja
ya amri zao.
  Dawa ni kuwapuuza wakileta
yasiyotufaa. Hongera
wanyarwanda
  mh. kagame mpaka 1937
 
 
  'Bernard' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 
  Mapenzi ni
 
chongo.From:
  'ELISA MUHINGO'
via
  Wanabidii
  Sent:
  ‎27/‎03/‎2016
 
00:52
  To:
  wanabidii@googlegroups.com
  Subject:
  Re: [wanabidii]
MAREKANI INA
  SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
 
 
Unazungumzia Marekani
  ipi? Iliyomuunga
mkono Savimbi ili Angola  angola
 
isiendelee na kuendeleza demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
  inatetea democrasia? Marekani iliyovamia
Panama?
Unaongelea
 
marekani gani inayoona kuwa Tanzania haikufuata
demokrasia?
  Iliyomuunga
Mkono Mobutu kufilisi Kongo?
 
--------------------------------------------
  On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya'
via
  Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
 

  Subject: Re:
  [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
  TANZANIA?
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
  <wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
 
  Marekani
 
  ina shida na wizi wa
kura unaoendelea Tanzania.
  Kutofuatwa
  kwa misingi ya kidemokrasia
  ikiwa ni pamoja na
  kuwa
na Tume
  huru ya Uchaguzi ndiyo
  tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
  iliyoundwa
  naMwenyekiti
wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
  useme
kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
  wa
CCM (Rais)
  ndiye huyo huyo
anayeelekeza
  majeshi ya ulinzi na
usalama
  yawanyanyase
 
wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
  kutakuwa na uchaguzi hapo?
 
  CCM
 
inajua wazi kwamba haipendwi na
  wananchi
ndiyo maana
  inang'ang'ania
  Katiba iliyopo inayompa madaraka
  makubwa
  Rais ambaye ni
Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
  masilahi
yake madarakani.
 
 
Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
  ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
 
 
 

 
      On Thursday,
March
  24, 2016 11:05 PM, 'ELISA
MUHINGO' via
  Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
  wrote:
    
 
    Mara
  baada ya uchaguzi mkuu
 
October 2015 na yaliyotokea Marekani
 
  ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya
Tanzania.
  Sababu
 
mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
 
Uchaguzi wa Zanzibar na
  2) Kutaka
kujua
  kama kweli sheria ya mtandao ina
haki ya
 
  kutumika
kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
  uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi
mwa
  dola.
 
  Majuzi baada ya
 
uchaguzi
  Zanzibar Marekani ililalamika
kwa
  uchaguzi kufanyika bila
  waliogoma
 
kushirikishwa.
 
 
Marekani
  inajiona inakosa nini Tanzania
kuwa
  salama
  na chini
ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
 
uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
   
Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
   
     
   
 
   
Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 
    wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
   
  kudhibitisha ukishatuma
 
 
     
   
   
  Disclaimer:
   
 
 
Everyone posting to this Forum bears the
 
sole
  responsibility
 
  for
  a
[The entire
original message is not
included.]



--

Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda


wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:


Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.


---

You received this
message because you are subscribed to the

Google Groups "Wanabidii" group.


To unsubscribe from this group and stop
receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment