Tuesday 29 March 2016

RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Mwenye umri wa 60 years+ atakumbuka Motto wa JK nyerere wa Kata Mti-Panda Mti; Mtu ni Kazi, Kazi ni Uhai, Mtu ni Afya. Miradi ya majiko bora na sanifu ya kutumia kuni ndogo na kutoa moshi nje kuokoa afya ya wapishi-akina mama ilifanyika TZ nzima miaka ile. Mpaka kukaunda TaTeDO ipo Dar ofisi near Chuo cha ustawi Bamaga na near LHRC. Wamefundisha mafundi wa majiko sanifu nchi nzima na watakupa simu zao walipo kwa wilaya uliyopo. Majiko ya nyumbani na ya taasisi. Kuna majiko ya mkaa pia naya kuchoma nyama ambayo ni sanifu. Donors wameendesha miradi hiyo katika maeneo yao ya uhisani. Pamoja na mashirika mengine ya balozi mbalimbali na NGOs kwa mfano TCRS-Singida; World Vision, SNV etc. Pamoja na juhudi hizo ni agroforestry kupanda miti kama luceanea, mijohoro, miwati, muarobaini, mikaratusi etc. Tatizo ni pale jiko sanifu la kupikia nyumbani litakapobomoka-hatengenezi tena anarudia kuweka tofari au mawe anakula moshi. Kujenga vent pipe ya mawe au tofari za kuchoma anaona tabu ambapo ni kwa afya na usalama wake. Macho mekundu yatokanayo na moshi wa kupika umefanya wanawake lake zone wauwawe kwa kushukiwa kuwa wachawi kumbe ni kemikali zitokazo na moshi.

Maeneo ya kilimo cha mpunga mfano Wilaya ya Kilosa- Kidodi, Ruaha, Kilombero wamewafundisha jinsi ya kutengeneza kupanga tofari na kuchoma tofari kwa kutumia pumba za mpunga na takataka nyingine; kutengeneza mkaa kutokana na taka zizalishwazo nyumbani. Utaona nyumba nyingi za udongo zimebadilika kijiji chote kinakuwa na nyumba za tofari za kuchoma na kuezekwa kwa bati. Hizi juhudi hazijulikani na wengi lakini zipo humu TZ. Kisha kuwasaidia kuwa na mbuzi wa kisasa wa maziwa na nufugaji wa nguruwe kupata maziwa na nyama na kipato.

Nani amfundishe mtanzania kitu aelewe. Ikiwa pamoja na kampeni zote za mtu ni afya, decentralization ya ufagiaji, ukusanyaji taka na uzoaji kupeleka dampo na matokeo ya kipindupindu kinaua hadi leo-bado mtanzania anaunganisha choo chake mtaro wazi na mavi yanatiririka na maji machafu mwaka mzima? Bado pamoja na kampeni za mtu ni afya kuanazia 1974 na kufagia kila jumamosi wakati ule, pipa za taka kila mtaa (baadae wakaanza kuziiba) na assa hii ya Mh Mangufuli kuhusu usafi-bado wanaamka na kutupa malundo ya viroba vya taka usiku katikati ya barabara, vituo vya bus na mitaroni? Anakata miti anauza mbao mke anatembea kutwa kutafuta kuni na kubakwa huko. Anabomoa bomba la maji kuuza chuma chakavu na anajua matatizo atakayoipa familia na hela analewea? Jiko sanifu na udongo wa mfinyanzi kibao na wana TOT vijijini lakini anaona shida kama vile anavyoona shida kuchimba choo na kukijenga chenye hifadhi ila kutwa kijiweni au kilabuni? Umfanye nini mbongo???

Kama mbongo ana akili timamu-anawekaje madawa tena viripukwa undergroung kwenye pharmacy yake-eti alipoulizwa-hakujua madhara yake! Cheti cha kuanzisha duka la dawa kakipataje? Mbona na dawa zenyewe zimeandika uhifadhi wake kwa joto la kiasi gani. Ana vyeti feki huyo na akiporwa dawa anaona kaonewa. Vivyo hivyo dawa za shamba zipo kwenye underground storage facility na hakuna ventilation! Ni hivyo akili za pumba-kuna bar wanachoma nyama, hapo kando yake kuna duka la mitungi ya gas, jirani kuna duka la dawa za binadamu au dawa za mifugo na kilimo. Mbele kidogo kuna mashine ya kusaga au duka la chakula cha ,mifugo kumejaa pumba na nyingine zimeanikwa nje na jirani kuna saluni ya akina dada/kaka na kemikali zake. Halafu wamebananisha njia zote mpaka feeder roads. Niambie-wanaona moto ukiunguza nyumba na bado wanafanya hivi. Pembeni kuna garage na wanafanya welding na mbele yake au carpentry workshop ambako wanapaka rangi na mafuta mengine kwenye mbao yanayotoa hewa kali na mbaya ya kuleta kifafa kwa binadamu ambao nao hufanyakazi bila ya protective gear. Jirani au nyuma ya karakana na saluni hizo kuna nyumba ya kulala binadamu. Ongea nao, waelimishe na kuwaelekeza-wanabinua midomo! Moto utawaka watapata loss, moto ukishakuzimwa-wanabananisha majengo hivyo hivyo hawajifunzi kitu kutokana na hasara na madhara waliyopata. Wakibomolewa kwa nguvu-wanaonewa. Haki za binadamu, vyama vya siasa na walafi wengine maelezo mengi magazetini naktk TV. Bongoland hiyo!!

Urban planning imefanyika DSM. Walianza na squatter demolition, wakaja na squatter upgrading, wakaingia na Sites and Services surveyed plots (Sinza, Tegeta yote kuanzia tangibovu, Kiwalani, Kipawa, Tabata etc), wakaja na Strategic Urban Development Planning Framework (SUDPF), ikaingia Community Infrastructural Updrading Programme (CIUP) au kurasimisha makazi kwa mbinu shirikishi. Miradi ya vyoo bora na mikopo ya vyoo na mafundi vyoo waliopata mafunzo yaliyotolewa na DSD na DSSD wakishirikiana na mashirika ya nje ya UK na Holland. Mpaka magari maalum na vitoroli vya kupakulia kinyesi wanaopakua kwa mkono-yote haya yalifanywa na serikali hii ya TZ. Wakaunda NEMC kuangalia na kusimamia mmazingira yasichafuliwe na wana makazi na viwanda. Wakaunda NIMR kuangalia masuala ya tafiti za maradhi kimaadili etc, etc. Hebu fanya Outcome evaluation ya initiatives zote uone matokeo yake miaka 20+ baada ya utekelezaji ukipita miji na mikoa yote kisha boresha kwa mbinu endelevu nyingine. Angalia kuanzia strategies zote mpaka hiyo urban planning na kuwa na surveyed plots makazi ya kima cha chini-Low income areas! sasa ni makorokoro, majengo ya gjhorofa ktk makazi hayo kuzibana hewa safi nao kuhamia mashimoni. Ukiwavunjia-wanahamia na familia zao kulala na kuoga ktk rapid bus transport stands!!

TZ-Kichwa cha mwendawazimu!! Hiyo Kinondoni Mkwajuni-Hannanasif ni mradi wa kuboresha chini ya SUDPF-wameuza baada ya kuboresha shirikishi-wamehamia kinyesini, wameuza mabwe pande-Kabang-kinyesini tena. Kigogo ni CIUP-kaangalie mpaka dampo la kigogo. Rudi Singida kaangalie majiko sanifu na mashine za TCRS za kukamulia Alizeti zimefikia wapi?!

Wacha nimalizie hapa kabla sijaudhi watu. Kichefu chefu. Tunahitaji Dictator!!

Kama Kawa




--------------------------------------------
On Tue, 29/3/16, haha12@poczta.fm <haha12@poczta.fm> wrote:

Subject: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 29 March, 2016, 14:40


Maendeleo yataweza kupatikana iwapo tutafata
mbinu wanazofanya mataifa mengi ya nchi zilizoendelea na
zinazoendelea sio kiuchumi tu, bali hata kisiasa. Nilazima
vizazi vya sasa vi- sacrifice kwa vizazi vinavyokuja. Miundo
ya maisha lazima tuyabadilishe kidogo kidogo. Kwa mfano:
Tanzania hivi sasa inasemekana kuwa na gas nyingi sana,
lakini still tunaendelea kupika kutumia kuni au mikaa bila
kujua kuwa tunaathiri mazingara yetu kwa regular cutting of
trees. Nani wa kulaumiwa, ni serikali kwani hakuna mwamko
wowote katika masuala yanayotukabili ya kesho na keshokutwa.
Yanayotatuliwa ni hayo tunayoyaona leo. Raia wa kawaida hana
uwezo wa kutumia gas kwani hana uwezo wa kununuwa gas cooker
na hata nyumba tunazozijenga nyingi zao hazikutayarishwa
kuwa na vifaa hivyo kana kwamba hakuna urban planning
kabisa.Watu wanajijengea tu wanavyotaka. We don't think
of tomorrow. Ndio maana nasema iwapo hatuto waige watu wa
nchi zinzoendelea au zilizoendelea tutabaki kulaumiana tu.
Ukweli ni kwamba matatizo ni mengi sana katika nchi za
ulimwengu wa tatu na ni sisi wenyewe tunapaswa tuyatatue,BUT
we need good reletionship with the developed world to tackle
most of those problems. Let's take them as our mentors
but the final decisions should be retained in our hands.

Mtanganyika

Od: "Atu Mwangomale"
<acanemwango@gmail.com>
Do: wanabidii@googlegroups.com;
Wysłane: 5:55 Wtorek 2016-03-29
Temat: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI
WA TANZANIA?Irenei
ni kweli kabisa vyama vya siasa hatuwezi
kutuletea maendeleo.  na ni sahihi kabisa mataifa ya nje
hayawezi kutufaa kwa maendeleo yetu na ya wajukuu zetu. 
lakini tumefikaje huku, wameingiaje hawa? ni kwa sababu
tumeonyesha kushindwa.  kwa muda mrefu tumekuwa tukiwafuata
na bakuli la kuombea na kuwapigia magoti kuwa hatujiwezi
tunaomba tafadhali.  Tumewaita km consultants watuandikie
proposals nzuri maana sisi hatuwezi.. tumeshindwa.

lakini hela ikija inaenda mifukoni mwa wachache..
tumeshindwa.

Juzi wananchi wa Musoma  waliripoti kuwa
wanakunywa unreated water.  dawa inagharimu 1. 7m per
month.  Idara inakusanya 20m za bills za maji per month. 
Usishangae  kuomba msaada wa kuzuia kipindupindu.
Jana Rais kupokea repoti za CAG.  tega sikio
kakaangu usikie  mambo ya hovyo
On 29 Mar 2016 00:02,
"Ireneus Mushongi" <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:


Mbegu.

Sisi tukaongea km watanzania. Si Bendera fuata upepo km boda
boda wakati wa kampeni!. Wether ni magufuli or whoever we
speak our minds.  Magufuli Sio Mungu but let's be
realistic that American principle won't get us anywhere!
I know you guys okays everything American as they have been
your godfather funding and financing your political
interests.

As said earlier Americans work for their interests not from
humanity point of view.

Wewe ndivyo ulivyo individually. Do not generalise your
mindset onto others. America is not a solution to global
problems. Isn't a solution to our matters as well!
That Mbowe, Lowassa or Magufuli favours America doesn't
take away our own decisions from serving our country. None
of them think on our behalf.

Let's do it our own way!From:
Edgar
Mbegu
Sent:
‎28/‎03/‎2016
23:04
To:
Wanabidii
Mawazo
Subject:
RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?


Bifabusha, mtu akihoji matumizi ya hovyo namna hiyo,
anaonekana si mzalendo, anachochea vurugu n.k. Hata
waliokuwa wanahoji kupigwa danadana uchaguzi wa Meya DSM
walionekana kuwa ni wachochezi hadi pale JPM alipotamka.
Nina Imani kuwa hata hawa wanaoponda US na sera na siasa
zake siku JPM akiziunga mkono, na wao wataunga mkono. Ndivyo
tulivyo!
Date: Mon, 28 Mar 2016 15:19:15 +0300
Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
From: acanemwango@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Nakubaliana sana na wewe Dominick. 

Maendeleo yanaanza na mtu binafsi.  japo baadhi ya sera na
taratibu zetu wakati mwingine zinarudisha nyumba juhudi za
mtu binafsi.  

On 28 Mar 2016 11:14, "'Dominick
Rukokelwa' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Bifabusha
umesema vema.Tujilaumu
sisi wenyewe kama Tanzania/ Afrika.Tanzania tuna ardhi iliyosheheni kila kitu.
Hivi kupanda maharage kunahitaji msaada kutoka
Marekani?Ardhi tunayo ila
tunaitazamaje kwa macho yetu, kwa fikira zetu? Tuna maono
gani kwenye ardhi yetu?Tunachokiona cha kwanza ni kuiuza ardhi ya
Tanzania.Sisi ni walegevu
sana, swala la kazi linapaswa kusimamiwa na kila mtu. Kazi
peke yake ndiyo itakayoinua taifa.Kwa mfano kuna faida gani kuwa na mfuasi wa
chama chako cha siasa lakini hataki kufanya
kazi?Unaposimama
kumhutubia mfuasi wako hotuba nzima humhimizi baada ya
mkutano na maandamano aende akafanye kazi. Mtu yeyote
anayeipenda Tanzania kazi ataizungumza kama chanzo cha
maendeleo.Wenzetu
wanaitazama ardhi tofauti na sisi. Wenzetu wanajua nini
maana ya kazi. 

On Monday, March
28, 2016 9:15 AM, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:


Tukipata misaada
tukaitumia kuleta mifumo bora tutaendelea. Hata Japani
walifanya hivyo wakafanikiwa. Shida hapa ni kutaka kuiba
hiyo misaada na kutumia misaada kwa faida ya watu wachache.
Msaada unaombwa ukiwa umebeba administrative costs kubwa na
development budget kidogo pia nazo zinahusu posho za semina
zinazoendeshwa na walewale walioandaa miradi walioko
serikalini. No tangible development costs. Kwahiyo mamilioni
ya dola yanaishia mifukoni mwa watu badala ya kwenda kwenye
miradi. 
Nilibahatika kufanya budget analysis kwenye
sector ya kilimo ktk Halmashauri moja mambo niliyoyaona humo
ni aibu. Expenditure kubwa ni mafuta na posho. Hatuwekezi
kwenye miradi.
Tusilaumu Magharibi ils tujilaumu sisi wenyewe.
Misaada ikitumika vizuri inaweza kuleta maendeleo na
kuondokana na utegemezi.

Sent from Samsung
Mobile


-------- Original message --------
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Date:
To: wanabidii@googlegroups.com

Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?




Thanks, Ireneus Kakuru Mushongi na Elisa Muhingo amehoji
yote-Mbarikiwe!! Tunahitaji watu kama ninyi kutufunua sisi
vipofu TZ tupo wengi wa kufuata mikumbo na kujali tumboni
street.
HK

--------------------------------------------
On Sun, 27/3/16, Ireneus Kakuru Mushongi <ireneuskakurumushongi@gmail.com>
wrote:

Subject: Re: RE: [wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA
UCHAGUZI WA TANZANIA?
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 27 March, 2016, 14:05

Nawaogopa wale mnaoutukuza umagharibi na na
pia kupima mafanikio yenu kwa mizania ya kimagharibi!
Angalia China, India, Asian Tigers, hawaendekezi
U-Magharibi. Wana principles zao nzuri wanazitumikia
wanazifuata. Huku hatuna nidhamu ya kazi na kufuata kanuni
za mafanikia, hadi tusimamiwe na wa-Magharibi, kweli kwa
akili hii tutafika?
Hivi ni checklist gani ya
kimagharibi unadhania inatufaa sisi hadi tuifuate hatua
kwa
hatua ndio tufanikiwe? Ya Kisiasa, kiuchumi au
kiutamaduni?
Our
political, cultural, social and economical values in terms
of mission and visions should guide of undertakings. We
are
in a very different environment in any of the above; how
come their missions and visions guide our strategies? Hapa
kazi tu ni Kauli mbiu ambayo mission na vision yake
inaweza
kutukwamua hapa ilipo kama ikisimamiwa vizuri kwa vitendo
na
nidhamu ya hali ya juu. Kwa nini tunang'ang'ania
hizi dhana za kucopy na kupaste katika kuendesha mambo
yetu?
Can't we learn from others in the Eastern world?
Can't we come up with something African and
particularly
Tanzanian to guide of move?
Or simply because bwana mkubwa Uncle
Sam (US) is not happy, then we are in a wrong direction?
Because we not dancing in his tune? Yes it's time to
say
no!
For how long
should WE keep on licking their feet, kissing their ass to
please them love us? South Africa, North Korea, Iran,
Libya,
were all sanctioned and denied the foreign aid few years
ago; you all know what they did out of dependence to
change
their status.With exceptional of Libya where
these western thugs intervened, we are well informed of
the
situation right now. Gadhafi is dead and Libya is a mess.
US
and her western allies are there at large controlling oil
reserves! Similarly they intervened Libya government as
undemocratic, supported few individuals who took refuge in
UK and US, formed political movements, ousted Gadhafi;
those
individuals as they were not united previously, started
fighting for power distribution; the West have failed and
a
situation in not manageable right now; gone beyond
control;
some groups have turned into terrorist groups, joined ISIS
and Al-Qaeda; and surprising enough still few Tanzanians
are
hailing US as the remedy for our situation; come on guys;
be
serious and think ahead.
Ndugu zangu wengine najua
mnaishi huko nje/ ughaibuni, ama kwa kuamua ama kwa
kulazimishwa na mazingira. By the way Donald Trump
doesn't need you anymore; km uko US; you better come
back ili tujenge nchi yetu kwa kaulimbiu zetu wenyewe
badala
ya kuchochea vurugu na kulalamika tuuuu! We will never
make
it under US missions and visions to determine our fate as
a
country. Ndiyo changamoto zipo bado lakini collectively
sisi
wenyewe bila kuingiliwa na yeyote; we can make
it.
Just my
take!


Omukunirwa
Ireneus 



 

2016-03-27 12:56 GMT+03:00
'Mashaka Makana' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Kama demokrasia ya
chaguzi za viongozi kila baada ya miaka mitano wakati
chaguzi hizi ndiyo zinatufirisi na kuimarisha umasikini
basi
mh.magufuli mpaka 2050!

Sent
from Yahoo Mail on Android 
From:"'mashakamakana'
via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date:Sun, Mar 27, 2016 at 12:38
Subject:RE: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

  Tunalo
jembe limechongwa usukumani wala hatuna haja ya amri zao.
Dawa ni kuwapuuza wakileta yasiyotufaa. Hongera
wanyarwanda
mh. kagame mpaka 1937


'Bernard' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Mapenzi ni
chongo.From:
'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
Sent:
‎27/‎03/‎2016
00:52
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] MAREKANI INA
SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA TANZANIA?

Unazungumzia Marekani
ipi? Iliyomuunga mkono Savimbi ili Angola  angola
isiendelee na kuendeleza demokrasia? Hapo ndipo ilikuwa
inatetea democrasia? Marekani iliyovamia Panama?
Unaongelea
marekani gani inayoona kuwa Tanzania haikufuata
demokrasia?
Iliyomuunga Mkono Mobutu kufilisi Kongo?
--------------------------------------------
On Fri, 3/25/16, 'Elias Msuya' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

  Subject: Re:
[wanabidii] MAREKANI INA SHIDA GANI NA UCHAGUZI WA
TANZANIA?
  To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
  Date: Friday, March 25, 2016, 9:35 AM
 
  Marekani

ina shida na wizi wa kura unaoendelea Tanzania.
Kutofuatwa
  kwa misingi ya kidemokrasia
ikiwa ni pamoja na
  kuwa na Tume
  huru ya Uchaguzi ndiyo
tatizo. Hatuwezi kuwa na Tume
  iliyoundwa
naMwenyekiti wa CCM ambaye ndiye mgombea halafu
  useme kuta kuwa na uchaguzi hapo. Mwenyekiti
wa CCM (Rais)
  ndiye huyo huyo anayeelekeza
majeshi ya ulinzi na usalama
  yawanyanyase
wapinzani wake ili wasishinde uchaguzi, bado
  kutakuwa na uchaguzi hapo?

CCM
  inajua wazi kwamba haipendwi na
wananchi ndiyo maana
  inang'ang'ania
Katiba iliyopo inayompa madaraka
  makubwa
Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM ili kulinda
  masilahi yake madarakani.

Hili halikubaliki na Marekani na mataifa mengine
  ya Ulaya yako sawa kabisa kupinga.
 
 
 
 
    On Thursday, March
  24, 2016 11:05 PM, 'ELISA MUHINGO' via
Wanabidii
  <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
  
 
  Mara
  baada ya uchaguzi mkuu
October 2015 na yaliyotokea Marekani

ilisita kuruhusu msaada kwa serikali ya Tanzania.
  Sababu
  mbili ilizozitaja ni 1) Kufutwa kwa
Uchaguzi wa Zanzibar na
  2) Kutaka kujua
kama kweli sheria ya mtandao ina haki ya

kutumika kuwadhibiti waliokuwa wanatumia mtandao kuvuruga
  uchaguzi ambao baadhi walikuwa mikononi mwa
dola.
 
  Majuzi baada ya
uchaguzi
  Zanzibar Marekani ililalamika kwa
uchaguzi kufanyika bila
  waliogoma
kushirikishwa.
 
  Marekani
inajiona inakosa nini Tanzania kuwa
  salama
na chini ya viongozi waliodhibitishwa na tume za
  uchaguzi kuwa ndio waliochaguliwa?
  Send
  Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
   
 

  Kujiondoa Tuma Email kwenda
 
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya
 
kudhibitisha ukishatuma
 
   
 
 
Disclaimer:
 
 
  Everyone posting to this Forum bears the
sole
  responsibility
  for
any legal consequences

  of his or her postings, and hence
 
  statements and facts must be presented
responsibly. Your
  continued membership
signifies that you agree
  to this
  disclaimer and pledge to abide by
  our Rules and Guidelines.
 

 
  ---
 

  You received this

message because you are subscribed to the


  Google Groups "Wanabidii"
group.
 
 
  To unsubscribe from this group and stop
  receiving emails
  from it,
send an email to
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
 
  For more options,
visit
  https://groups.google.com/d/optout.
 
  --
  Send
Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
  Kujiondoa Tuma Email
kwenda
 
  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
  Disclaimer:

Everyone posting to
  this Forum bears the
sole responsibility for any legal

consequences of his or
  her postings, and hence statements
  and
facts must be presented responsi



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

[The entire original message is not
included.]



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.







--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment